LATRA anzisheni system kama hii ambayo inatumika UK. Haina mkwaruzano na mtu. Ni nidhamu yako barabaranni inakuhukumu

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
52,815
Reaction score
103,955
UK wana system ambayo plate number yako na "NIDA" zimeunganishwa na namba yako ie plate number ya gari na details zote eg mmiliki, place of domicile, anuani ya makazi, family information zote you can think of! Ukifanya kosa lolote barabaranni , automatically system ina detect na kukutoza faini automatically kutoka kwenye akaunti yako ya benki.

Mfano:
Ukivuka taa nyekundu, ukipita zebra wakati mwenda kwa miguu alitaka kuvuka, uki-overtake kusikoruhusiwa na vitu ka izo, kamera zinanasa na kutuma taarifa kwny central server ambapo dakika hiyo hiyo unapokea taarifa ya kukatwa fedha kwenye account kwa kosa ulilofanya eneo husika (utatajiwa na eneo) - kila ushahidi upo; hubishani na mtu, ni system inagenerate taarifa na kukupa mrejesho
 
UK wana system ambayo plate number yako ya say NIDA imeunganishwa na namba yako ie olate number ya gari na details zote eg mmiliki, place of domicile, anuani ya makazi, family information zote you can think of! Ukifanya kosa lolote barabaranni , automatically system ina detect na kukutoza faini automatically kutoka kwenye akaunti yako ya benki.

Hii nzuri ila kwa nchi hii ya utawala wa ccm hawawezi ileta maana trafik watakosa hela na police wetu ndio ccm wenyewe
 
UK wana system ambayo plate number yako ya say NIDA imeunganishwa na namba yako ie olate number ya gari na details zote eg mmiliki, place of domicile, anuani ya makazi, family information zote you can think of! Ukifanya kosa lolote barabaranni , automatically system ina detect na kukutoza faini automatically kutoka kwenye akaunti yako ya benki.

Mfano:
Ukivuka taa nyekundu, ukipita zebra wakati mwenda kwa miguu alitaka kuvuka, uki-overtake kusikoruhusiwa na vitu ka izo, kamera zinanasa na kutuma taarifa kwny central server ambapo dakika hiyo hiyo unapokea taarifa ya kukatwa fedha kwenye account kwa kosa ulilofanya eneo husika (utatajiwa na eneo) - kila ushahidi upo; hubishani na mtu, ni system inagenerate taarifa na kukupa mrejesho
Hili litakuwa wazo la kijinga, ni sawa na mtu anaemiliki baiskeli unamshauri jinsi ya ku service LC300. Tanzania haina miundombinu ya kufanikiaha hilo wazo lako.
Mfano Tanzania ukila Jackpot ya sportpesa ile 1B, unalipa kodi 180m maximum. Unabaki na 820m, Huko nje ukila 1B, unaweza kulipa kodi hadi 550m ukabaki na 450m pekee.
 
Sioni connection na mada yangu! Kwaheri

Next time tumia lugha ya staha. Nitakujibu accordingly
 
Hili litakuwa wazo la kijinga, ni sawa na mtu anaemiliki baiskeli unamshauri jinsi ya ku service LC300. Tanzania haina miundombinu ya kufanikiaha hilo wazo lako.
Mfano Tanzania ukila Jackpot ya sportpesa ile 1B, unalipa kodi 180m maximum. Unabaki na 820m, Huko nje ukila 1B, unaweza kulipa kodi hadi 550m ukabaki na 450m pekee.
toa suluhisho lako pia, usiishie njiani kwa maneno tu... mtoa mada ame- suggest suluhisho.. la kwako ni lipi?
 
Acha roho mbaya wewe......unataka sisi POLICCM tukale wapi.....!??
20250530_173533.jpg
 
UK wana system ambayo plate number yako ya say NIDA imeunganishwa na namba yako ie olate number ya gari na details zote eg mmiliki, place of domicile, anuani ya makazi, family information zote you can think of! Ukifanya kosa lolote barabaranni , automatically system ina detect na kukutoza faini automatically kutoka kwenye akaunti yako ya benki.

Mfano:
Ukivuka taa nyekundu, ukipita zebra wakati mwenda kwa miguu alitaka kuvuka, uki-overtake kusikoruhusiwa na vitu ka izo, kamera zinanasa na kutuma taarifa kwny central server ambapo dakika hiyo hiyo unapokea taarifa ya kukatwa fedha kwenye account kwa kosa ulilofanya eneo husika (utatajiwa na eneo) - kila ushahidi upo; hubishani na mtu, ni system inagenerate taarifa na kukupa mrejesho
Na hao wasiojulikana itakuwaje? maana hata plate namba ya pikipiki utaikuta kwenye gari.
 
Watanzania mnapenda mawazo ya Ulaya kwenye kodi na makato yote tufanane nao ila kwenye miundombinu mpo kimya kabisaa unataka watu waibiwe pesa zao bank sasa..
UK ipi ambayo watu wanasafiri na Bajaji kwa umbali mrefu harafu unasikia imegongana na Scania..
Ni moja ya mawazo ya hovyo kuwahi kutolewa JF.
Tanzania hizo leseni tu sio za kupata taarifa mtu akiwa nje ya Nchi lazima usome ndio uone hao UK na kwingineko unaweza ku scan tu kama simu ina data unatumia camera yake unapata taarifa za Leseni yako wengine wanaweka QR code..
 
Siyo kwamba kila mtu ana akaunti benki. Hata walimu wenye akaunti na ist, passo, vitz et al, akaunti zinatumika kupitishia tu mishahara na baada ya masaa yasiyozidi 18 pesa inatolewa yote.
 
Network itasumbua, camera zitaharibika, madereva wanatumia acount ambazo si za benk na zinadaiwa,trafiki watakosa elfu 5 zetu, mabosi wa trafiki watakosa hesabu za siku...
The whole idea kuweza kufanya kazi kwetu bado sana sana
 
Back
Top Bottom