LATRA anzisheni system kama hii ambayo inatumika UK. Haina mkwaruzano na mtu. Ni nidhamu yako barabaranni inakuhukumu

UK wana system ambayo plate number yako ya say NIDA imeunganishwa na namba yako ie olate number ya gari na details zote eg mmiliki, place of domicile, anuani ya makazi, family information zote you can think of! Ukifanya kosa lolote barabaranni , automatically system ina detect na kukutoza faini automatically kutoka kwenye akaunti yako ya benki.

Mfano:
Ukivuka taa nyekundu, ukipita zebra wakati mwenda kwa miguu alitaka kuvuka, uki-overtake kusikoruhusiwa na vitu ka izo, kamera zinanasa na kutuma taarifa kwny central server ambapo dakika hiyo hiyo unapokea taarifa ya kukatwa fedha kwenye account kwa kosa ulilofanya eneo husika (utatajiwa na eneo) - kila ushahidi upo; hubishani na mtu, ni system inagenerate taarifa na kukupa mrejesho
Ni ushauri mzuri ila kwa huku nchi za weusi bado sana.
Fikiria mtu anawekewa taa barabarani bure kabisa ili imsaidie wakati wa giza, lakini anaiharibu na kwenda kuiuza kama chuma chakavu.
Ukifunga kamera ambayo inasimama badala ya askari...wa kwanza kuiharibu ni hao hao askari.

Bado tuko kipindi cha mabadiliko toka mnyama pori kwenda binadamu kamili.
 
Anachomaanisha, umewaza vitu ambavyo haviwezi kutekelezeka Tz.Miundo mbinu n.k.Umewaza mbali sana.
Vinaweza kutekelezeka step by step. Mbona miamala ya benki na app zake vitu vimewezekana. You need to start and you improve one step after another. Siku huzi mifumo karibu yote inasomama na NIDA.....Tuna mahali pa kuanzia, sema hakuna UTASHI
 
UK wana system ambayo plate number yako ya say NIDA imeunganishwa na namba yako ie olate number ya gari na details zote eg mmiliki, place of domicile, anuani ya makazi, family information zote you can think of! Ukifanya kosa lolote barabaranni , automatically system ina detect na kukutoza faini automatically kutoka kwenye akaunti yako ya benki.

Mfano:
Ukivuka taa nyekundu, ukipita zebra wakati mwenda kwa miguu alitaka kuvuka, uki-overtake kusikoruhusiwa na vitu ka izo, kamera zinanasa na kutuma taarifa kwny central server ambapo dakika hiyo hiyo unapokea taarifa ya kukatwa fedha kwenye account kwa kosa ulilofanya eneo husika (utatajiwa na eneo) - kila ushahidi upo; hubishani na mtu, ni system inagenerate taarifa na kukupa mrejesho
vipi kama sina ela kwenye account
 
Wazo ni zuri ila haitekelezeki Tanzania klwa sababu zifuatazo.
  1. Watawala wamezoea rushwa. Unataka kuleta jambo litakalokata mizizi ya rushwa.
  2. Nchi haina miundo mbinu ya kutosha, hizo cameras zitawekwa ngapi kila barabara kila kona kila baada ya umbali gani, yaani inahitaji bajet flani kubwa.
  3. Hizo sheria zinazowatesa madereva wetu, ndizo hizo ambazo wakubwa wanazivunja na hawafanywi kitu. Sasa unataka na wao waanze kukatwa. Hii nchi tumeshazoea kuambiwa unajua mimi ni nani? Tupo nchi ya connection, yaani ukishakuwa na connection wewe vunja sheria na unatoboa maisha.
  4. Hatuna ustaarabu. Unaweza kuzifunga hizo camera baada ya muda utaambiwa zina hitilafu hazifanyi kazi. Kumbe hujuma. Wabongo hata ukiweka dustbean ya kukusanyia taka stend wanaiba.
 
Hayo maboresho yanahitaji uwekezaji mkubwa sana kwenye miundombinu kwa maana ya barabara ziwe na cameras zenye number reading capability pia zinaunganishwa na central database yenye taarifa husika. Kwa mfano ukienda China ni nadra sana kuona polisi barabarani. Faini zote ni automated.​
 
Ni kweli, lkn kuanza tuanze, changamoto zitatatuliwa humo humo , tuanze kwa selected barabara..........
GePS ilianza kwa vikwazo, nadhani sasa imeshafikia perfection ya over 95 pc
 
Hayo maboresho yanahitaji uwekezaji mkubwa sana kwenye miundombinu kwa maana ya barabara ziwe na cameras zenye number reading capability pia zinaunganishwa na central database yenye taarifa husika. Kwa mfano ukienda China ni nadra sana kuona polisi barabarani. Faini zote ni automated.​
Fine, tuanze na sehemu sehemu za barabara zeru, say ambako ajali ni nyingi...
 
Wangekuwa wanasikiliza tungewaandikia proposal ya namna ya kufanya hivyo ili wafanye pilot phase kwenye maeneo machache waangalie inakaaje na experience iwasaidie kuifanya nchi nzima. Pia wafikirie askari wote wa barabarani wavae body cams ili kila interaction ya askari na dereva kwenye maeneo ya lazima iwe recorded.​
 
All possible, ni utashi tu unakosekana kama ulivyosema, tufanye pilot study.....GePS ilianza na matatizo now it is at its perfection.

Loss report from police sasa wanafanya watu binafsi, they can generate control numbers and within a few minutes unapata loss report.
 
Wangekuwa wanasikiliza tungewaandikia proposal ya namna ya kufanya hivyo ili wafanye pilot phase kwenye maeneo machache waangalie inakaaje na experience iwasaidie kuifanya nchi nzima. Pia wafikirie askari wote wa barabarani wavae body cams ili kila interaction ya askari na dereva kwenye maeneo ya lazima iwe recorded.​
Wakusikilize who are you? Tanzania wasomi wenye akili zao na PhD zao wanasota hawana tofauti na walimu wa sekondari au msingi. Washauri wakuu wa watawala wetu ni machawa Pro Max ambao either elimu yao ni levels za akina Baba level na Mwijaku. Au kama ana elimu hata Prof hiyo elimu yake haitumiki kushauri serikali badala yake kazi kusifia. Laiti kama tungezifanyia kazi tafiti za wasomi wetu japo hata kwa 50% Tanzania tungekuwa mbali sana.
Nikupe mfano. Vyuo Vikuu kama UDSM na matawi yake yote kila mwaka wanafanya research week, ambapo watafiti wengi wanashindanishwa tafiti zao na jinsi inavyosaidia kutatua matatizo ya watanzania kwenye sekta mbali mbali kama kilimo, sayansi na teknolojia, mazingira, na mengineyo. Washindi hupata tuzo na zawadi lakini jiulize baada ya hao washindi kupata zawadi zao na kupanda madaraja yao ya kitaaluma, vipi hizo tafiti zinapelekwaje kwa wananchi ambao ndio walaji wa mwisho wa hizo tafiti?
 
Ni mfumo mzuri japo kwa nchi yetu bado mifumo na taarifa haijaunganishwa hivo haidomani ila pia sijui kwa wamiliki wa magari ila madereva wa magari ya biashara wengi hawana account bank.
 
Wakusikilize who are you? Tanzania wasomi wenye akili zao na PhD zao wanasota hawana tofauti na walimu wa sekondari au msingi. Washauri wakuu wa watawala wetu ni machawa Pro Max ambao either elimu yao ni levels za akina Baba level na Mwijaku. Au kama ana elimu hata Prof hiyo elimu yake haitumiki kushauri serikali badala yake kazi kusifia. Laiti kama tungezifanyia kazi tafiti za wasomi wetu japo hata kwa 50% Tanzania tungekuwa mbali sana.
Nikupe mfano. Vyuo Vikuu kama UDSM na matawi yake yote kila mwaka wanafanya research week, ambapo watafiti wengi wanashindanishwa tafiti zao na jinsi inavyosaidia kutatua matatizo ya watanzania kwenye sekta mbali mbali kama kilimo, sayansi na teknolojia, mazingira, na mengineyo. Washindi hupata tuzo na zawadi lakini jiulize baada ya hao washindi kupata zawadi zao na kupanda madaraja yao ya kitaaluma, vipi hizo tafiti zinapelekwaje kwa wananchi ambao ndio walaji wa mwisho wa hizo tafiti?
Ukitaka kujua, kasikilize hotuba za akina Kabudi na Kitila Mkumbo kabla ya kulamba asali, alafu linganisha na baada ya kulamba asali
 
UK wana system ambayo plate number yako na NIDA zimeunganishwa na namba yako ie plate number ya gari na details zote eg mmiliki, place of domicile, anuani ya makazi, family information zote you can think of! Ukifanya kosa lolote barabaranni , automatically system ina detect na kukutoza faini automatically kutoka kwenye akaunti yako ya benki.

Mfano:
Ukivuka taa nyekundu, ukipita zebra wakati mwenda kwa miguu alitaka kuvuka, uki-overtake kusikoruhusiwa na vitu ka izo, kamera zinanasa na kutuma taarifa kwny central server ambapo dakika hiyo hiyo unapokea taarifa ya kukatwa fedha kwenye account kwa kosa ulilofanya eneo husika (utatajiwa na eneo) - kila ushahidi upo; hubishani na mtu, ni system inagenerate taarifa na kukupa mrejesho
Hicho ndiyo hawataki kusikia, hata trafiki hawataki kusikia habari hizo maana watakuwa hawana kazi ya kufanya barabarani. Mi ktk kuishi kwangu Uingereza sijawahi kumwona polisi akisimamisha gari kwenye highway! Mambo.haya ya kipuuzi yanaendekezwa na viongozi wetu wakuu. Wazo zuri
 
Hili litakuwa wazo la kijinga, ni sawa na mtu anaemiliki baiskeli unamshauri jinsi ya ku service LC300. Tanzania haina miundombinu ya kufanikiaha hilo wazo lako.
Mfano Tanzania ukila Jackpot ya sportpesa ile 1B, unalipa kodi 180m maximum. Unabaki na 820m, Huko nje ukila 1B, unaweza kulipa kodi hadi 550m ukabaki na 450m pekee.
We una unaumwa, ulichomtukana ni kitu gani. Si ukae kimya badala ya kuandika huu uchafu wako
 
UK wana system ambayo plate number yako na NIDA zimeunganishwa na namba yako ie plate number ya gari na details zote eg mmiliki, place of domicile, anuani ya makazi, family information zote you can think of! Ukifanya kosa lolote barabaranni , automatically system ina detect na kukutoza faini automatically kutoka kwenye akaunti yako ya benki.

Mfano:
Ukivuka taa nyekundu, ukipita zebra wakati mwenda kwa miguu alitaka kuvuka, uki-overtake kusikoruhusiwa na vitu ka izo, kamera zinanasa na kutuma taarifa kwny central server ambapo dakika hiyo hiyo unapokea taarifa ya kukatwa fedha kwenye account kwa kosa ulilofanya eneo husika (utatajiwa na eneo) - kila ushahidi upo; hubishani na mtu, ni system inagenerate taarifa na kukupa mrejesho
Hii umeitoa wapi mkuu? Iko hivi gari na mmiliki wako registered na DVLA. Ukifanya kosa barabarani unatumiwa notification kwenye address yako ambapo kwa makosa madogo kuna fine ya £100. Wewe utaamua ulipe hio faini au uende kupinga mahakama ni. Hakuna utaratibu wa polisi kuchukua hela kwenye account yako moja kwa moja bila ridhaa yako. Faini utailipa kwa muda uliopangwa kwa mujibu wa sheria.
 
Watanzania mnapenda mawazo ya Ulaya kwenye kodi na makato yote tufanane nao ila kwenye miundombinu mpo kimya kabisaa unataka watu waibiwe pesa zao bank sasa..
UK ipi ambayo watu wanasafiri na Bajaji kwa umbali mrefu harafu unasikia imegongana na Scania..
Ni moja ya mawazo ya hovyo kuwahi kutolewa JF.
Tanzania hizo leseni tu sio za kupata taarifa mtu akiwa nje ya Nchi lazima usome ndio uone hao UK na kwingineko unaweza ku scan tu kama simu ina data unatumia camera yake unapata taarifa za Leseni yako wengine wanaweka QR code..
Kwa wapumbavu km huyu tunahitaji Rais km Paul Kagame (PK), ukitafuta mawazo ya watanzania utakutana na wapumbavu km huyu, ni Rais kufanya maamuzi kazi inaendelea.
 
Punguza dharau basi mazee na matusi sisi wengine hatuwezi kutukana humu ila pia hatuwezi kutukanwa live nikakuangalia tu ila ulale na ndoo za maji na gesi ndani harafu mitandaoni unatukana watu wapumbavu sio kweli.
 
Back
Top Bottom