Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 35,204
- 61,081
Aisee hii UK ya wapi ambapo wanakata hela juu kwa juu?
labda uwe Unafanya utani tu
Hata details za familia yote ni utani pia umechomekea
Unaishi sehemu gani?
Huku wanakujua wewe kama wewe
Unaweza kuwa Owner wa gari lakini sio keeper
Sasa hapo Nani atakatwa
Ukifanya kosa anatumiwa aliesajili hilo gari na anaulizwa aandike aliekuwa anaendesha wakati huo
Kama sio wewe unaandika jina la dereva
Sasa niambie kama ni kampuni na madereva 20 wanaendesha kwa wiki unafikiri Nani anakatwa hizo point na faini?
Ningeshauri huu Uzi urudiwe upya
Samahani lakini