LATRA anzisheni system kama hii ambayo inatumika UK. Haina mkwaruzano na mtu. Ni nidhamu yako barabaranni inakuhukumu

Sio kwenda tu bali ninaishi huku mwaka wa 33
Wewe wadanganye hao wasiojua nje
Naomba yaishe kama unaishi au kujua sheria za uk niambie unalipaje kosa la mtu

Mimi nimeendesha miaka yote hiyo na Mwisho kukatwa point ni miaka zaidi ya 20 kwa sababu nimekuwa muangalifu sana

Tusibishane kama watoto wadogo
Sheria za huko nazijua sana na ninaishi nazo
Labda umeghafilika ukiwa unaongelea nchi nyingine ila sio UK
Uwe na siku njema
Hahaha! Mkuu wangu uliyoko UK, heshima yako sana. Mimi nilianza kumjibu huyu ndugu kwa kistaarabu na kwa lugha ya upole sana kupitia misingi ya sheria za kulinda data, lakini wewe mkuu wangu umeamua 'kumlipua' na kumshusha chini kwa uhalisia wa mambo ulivyo. Hongera sana kwa majibu ya kiwango cha juu sana.
Naomba nikuunge mkono 100% kwa hoja zako, na kuongezea nyama hapo kwenye suala la Vitambulisho vya Taifa (National ID) nchini Uingereza kwa faida ya wote wanaofuatilia mjadala huu:
Uko sahihi kabisa mkuu wangu. Huyu ndugu hajui kuwa nchini Uingereza hakuna kabisa sheria inayomlazimisha raia kutembea na kitambulisho mfukoni anapotembea barabarani. Polisi hana mamlaka ya kisheria kukusimamisha ukiwa kwa miguu na kukudai ID bila sababu ya msingi ya kijinai. Hata ukiwa unaendesha gari ukasimamishwa, sheria ya barabarani inakupa uhuru wa kwenda kuonyesha leseni yako kituo cha polisi ndani ya siku 7 kama huna nayo muda huo.
Kihistoria, kumbukumbu zangu bado ziko sahihi kabisa. Serikali ya chama cha Labour iliwahi kupitisha sheria ya kuanzisha Vitambulisho vya Taifa (Identity Cards Act 2006). Hata hivyo, vyama vya Conservative na Liberal Democrats vilipinga vikali mpango huo kwa misingi ya kulinda faragha ya raia (civil liberties) na kuzuia serikali kuwa na nguvu kubwa ya kufuatilia maisha ya watu binafsi. Walipoingia madarakani kwa muungano mwaka 2010, sheria yao ya kwanza kabisa ilikuwa ni kufuta na kuteketeza mfumo huo kupitia sheria ya Identity Documents Act 2010, na data zote zilizokuwa zimeanza kukusanywa ziliharibiwa rasmi.
Huyu ndugu baada ya kuona hoja ya UK imemshinda, sasa hivi amehamisha magoli na kukimbilia Japan. Lakini ukweli ni kwamba, hata huko Japan hakuna mfumo wa kompyuta unaokata fedha kwenye akaunti ya mtu ya benki kiotomatiki sekunde hiyo hiyo anapofanya kosa barabarani bila yeye kupewa nafasi ya kisheria ya kujitetea, kukataa kosa, au kwenda mahakamani. Kila nchi inayofuata Utawala wa Sheria na Demokrasia inalinda haki za msingi za raia wake dhidi ya uingiliaji wa faragha wa namna hiyo.
Kama gari ni la kampuni yenye madereva 20, au kama ni gari la kukodisha (Rental Car)—huo mfumo wa kufikirika ungekata akaunti ya nani?
Umempa darasa zuri sana mkuu wangu. 'Kutembea nchi za wenzetu' sio tu kuona barabara zao na kamera, bali ni kuelewa sheria zao, katiba zao, na jinsi wanavyolinda uhuru wa raia wao. Asante kwa kuweka kumbukumbu sawa!
 
Ni ushauri mzuri ila kwa huku nchi za weusi bado sana.
Fikiria mtu anawekewa taa barabarani bure kabisa ili imsaidie wakati wa giza, lakini anaiharibu na kwenda kuiuza kama chuma chakavu.
Ukifunga kamera ambayo inasimama badala ya askari...wa kwanza kuiharibu ni hao hao askari.

Bado tuko kipindi cha mabadiliko toka mnyama pori kwenda binadamu kamili.
Hapo N'gambo ya pili Rwanda wanayo hii system,na ni nadra sana traffic kukusimaimisha.
 
Hapo N'gambo ya pili Rwanda wanayo hii system,na ni nadra sana traffic kukusimaimisha
Hapo N'gambo ya pili Rwanda wanayo hii system,na ni nadra sana traffic kukusimaimisha.
Tofauti ni kwamba mfumo ukikupiga fine hukatwi moja kwa moja toka kwenye account ya mmiliki. Ila mumiliki wa chombo anapata msg kuwa chombo so and so kimepigwa fine maeneo fulani kwa kosa fulani.
 
UK wana system ambayo plate number yako na NIDA zimeunganishwa na namba yako ie plate number ya gari na details zote eg mmiliki, place of domicile, anuani ya makazi, family information zote you can think of! Ukifanya kosa lolote barabaranni , automatically system ina detect na kukutoza faini automatically kutoka kwenye akaunti yako ya benki.

Mfano:
Ukivuka taa nyekundu, ukipita zebra wakati mwenda kwa miguu alitaka kuvuka, uki-overtake kusikoruhusiwa na vitu ka izo, kamera zinanasa na kutuma taarifa kwny central server ambapo dakika hiyo hiyo unapokea taarifa ya kukatwa fedha kwenye account kwa kosa ulilofanya eneo husika (utatajiwa na eneo) - kila ushahidi upo; hubishani na mtu, ni system inagenerate taarifa na kukupa mrejesho
Tatizo la bongo, muendesha chombo si mmiliki hivyo hata akaunti hawana. Sasa boda utawakamata vipi hata nida hawama
 
Tatizo ni bongo ni muendesha chombo si mmiliki hivyo hata akaunti hawana. Sasa boda utawakamata vipi hata nida hawama
anayewajibika ni mwenye chombo....wwe utajuana na uliyemuazima..... mbona first world wameweza?
 
Hahaha! Mkuu wangu uliyoko UK, heshima yako sana. Mimi nilianza kumjibu huyu ndugu kwa kistaarabu na kwa lugha ya upole sana kupitia misingi ya sheria za kulinda data, lakini wewe mkuu wangu umeamua 'kumlipua' na kumshusha chini kwa uhalisia wa mambo ulivyo. Hongera sana kwa majibu ya kiwango cha juu sana.
Naomba nikuunge mkono 100% kwa hoja zako, na kuongezea nyama hapo kwenye suala la Vitambulisho vya Taifa (National ID) nchini Uingereza kwa faida ya wote wanaofuatilia mjadala huu:
Uko sahihi kabisa mkuu wangu. Huyu ndugu hajui kuwa nchini Uingereza hakuna kabisa sheria inayomlazimisha raia kutembea na kitambulisho mfukoni anapotembea barabarani. Polisi hana mamlaka ya kisheria kukusimamisha ukiwa kwa miguu na kukudai ID bila sababu ya msingi ya kijinai. Hata ukiwa unaendesha gari ukasimamishwa, sheria ya barabarani inakupa uhuru wa kwenda kuonyesha leseni yako kituo cha polisi ndani ya siku 7 kama huna nayo muda huo.
Kihistoria, kumbukumbu zangu bado ziko sahihi kabisa. Serikali ya chama cha Labour iliwahi kupitisha sheria ya kuanzisha Vitambulisho vya Taifa (Identity Cards Act 2006). Hata hivyo, vyama vya Conservative na Liberal Democrats vilipinga vikali mpango huo kwa misingi ya kulinda faragha ya raia (civil liberties) na kuzuia serikali kuwa na nguvu kubwa ya kufuatilia maisha ya watu binafsi. Walipoingia madarakani kwa muungano mwaka 2010, sheria yao ya kwanza kabisa ilikuwa ni kufuta na kuteketeza mfumo huo kupitia sheria ya Identity Documents Act 2010, na data zote zilizokuwa zimeanza kukusanywa ziliharibiwa rasmi.
Huyu ndugu baada ya kuona hoja ya UK imemshinda, sasa hivi amehamisha magoli na kukimbilia Japan. Lakini ukweli ni kwamba, hata huko Japan hakuna mfumo wa kompyuta unaokata fedha kwenye akaunti ya mtu ya benki kiotomatiki sekunde hiyo hiyo anapofanya kosa barabarani bila yeye kupewa nafasi ya kisheria ya kujitetea, kukataa kosa, au kwenda mahakamani. Kila nchi inayofuata Utawala wa Sheria na Demokrasia inalinda haki za msingi za raia wake dhidi ya uingiliaji wa faragha wa namna hiyo.
Kama gari ni la kampuni yenye madereva 20, au kama ni gari la kukodisha (Rental Car)—huo mfumo wa kufikirika ungekata akaunti ya nani?
Umempa darasa zuri sana mkuu wangu. 'Kutembea nchi za wenzetu' sio tu kuona barabara zao na kamera, bali ni kuelewa sheria zao, katiba zao, na jinsi wanavyolinda uhuru wa raia wao. Asante kwa kuweka kumbukumbu sawa!
Shukran sana kwa masahihisho yake
Mimi niko huku bado licence zilikuwa za karatasi bila picha
Wazamiaji wakawa wanatumia kwa kuwapa wenzao kwa kukariri jina na anuani za mhusika
Ikawa shida kwa traffic Dept

Suluhu ikawa licence zibadilishwe kwa kuweka picha
Wazawa waligoma katakata na kusema ni kuingilia Uhuru wa mtu.
Lakini sheria ikapitishwa na kuanza kubadili hizi licence
Mimi sikubadilisha mpaka ilipoisha mda na nilipotuma kubadili ikalazimu waweke picha

Sisi tuna NI number tu hapa na hatuna vitambulisho vya taifa
Ni kuwekana sawa wala sikuwa na nia mbaya
 
Kilichoandikwa hakiwezekani kwa basi la abiria au la umma.
Kwa yote tu Mkuu
Kama gari limeandikwa kwa jina lako unaweza kunipa mimi kama keeper tu na likitokea jambo unatumiwa wewe kama mwenye mali na unajaza kuwa mwendeshaji ni mimi
Lazima nilipie insurance mimi na kujulikana kama mtumiaji tu
Sasa hata kama ni basi au lorry la kampuni utajulikana kwa routes na siku hiyo nani alikuwa anaendesha na utakatwa point au faini au vyote kutokana na kosa lako
Lakini huwezi kukwepa maana details zote wanazo Nani alikuwa anaendesha siku hiyo
 
Back
Top Bottom