LATRA anzisheni system kama hii ambayo inatumika UK. Haina mkwaruzano na mtu. Ni nidhamu yako barabaranni inakuhukumu

LATRA anzisheni system kama hii ambayo inatumika UK. Haina mkwaruzano na mtu. Ni nidhamu yako barabaranni inakuhukumu

Attachments

  • IMG_2379.jpeg
    IMG_2379.jpeg
    153.3 KB · Views: 13
Shida inakuja haya magari ya kuazimana! Muda huu anaendesha huyu, baadaye yule, kisha mimi. Bado kuna kazi ya kufanya kufikia level za the likes of UK.
Utaratibu wa UK ni kuwa kama ni kampuni wanalipia Bima fully com kwa madereva wote
Ila kama wewe una gari kumuazima mtu gari kama hana insurance ni kosa kubwa

Kuna siku mwanangu alitamani kuendesha gari langu ila hana insurance ikabidi nimkatie ya saa moja tu
Tukazunguka nae bila hofu
Hapo kama unajali licence
 
Vinaweza kutekelezeka step by step. Mbona miamala ya benki na app zake vitu vimewezekana. You need to start and you improve one step after another. Siku huzi mifumo karibu yote inasomama na NIDA.....Tuna mahali pa kuanzia, sema hakuna UTASHI
Zanzibar tayari wamewekewa unacho sema , ni system Nzuri sana, jabo wazenji baadhi wanapiga kelele coz walizoe kufunja sheria , I hope nao watakuwa watu wema wanaofuta sheria na adabu za barabara
 
Zanzibar tayari wamewekewa unacho sema , ni system Nzuri sana, jabo wazenji baadhi wanapiga kelele coz walizoe kufunja sheria , I hope nao watakuwa watu wema wanaofuta sheria na adabu za barabara
kuna watu wamenishambulia as if nimefanya kosa la uhaini..........kumbe na kwetu zanzibar wameanza....... yes kunaweza kuwa na variations lakini system kama hizo ziko all first world!
 
UK wana system ambayo plate number yako na "NIDA" zimeunganishwa na namba yako ie plate number ya gari na details zote eg mmiliki, place of domicile, anuani ya makazi, family information zote you can think of! Ukifanya kosa lolote barabaranni , automatically system ina detect na kukutoza faini automatically kutoka kwenye akaunti yako ya benki.


Mfano:
Ukivuka taa nyekundu, ukipita zebra wakati mwenda kwa miguu alitaka kuvuka, uki-overtake kusikoruhusiwa na vitu ka izo, kamera zinanasa na kutuma taarifa kwny central server ambapo dakika hiyo hiyo unapokea taarifa ya kukatwa fedha kwenye account kwa kosa ulilofanya eneo husika (utatajiwa na eneo) - kila ushahidi upo; hubishani na mtu, ni system inagenerate taarifa na kukupa mrejesho
Wakiweka wale yangeyange watalia njaa, hii ya kukata point ilitaka kuwaongezea ulaji.
 
kuna watu wamenishambulia as if nimefanya kosa la uhaini..........kumbe na kwetu zanzibar wameanza....... yes kunaweza kuwa na variations lakini system kama hizo ziko all first world!
How the System Works

• Automatic Detection: The smart cameras track offenses like speeding, using mobile phones while driving, not wearing seat belts, lack of motorcycle helmets, passenger overloading, and ignoring traffic signs. They also check for unroadworthy or uninsured vehicles.

• Instant Notifications: When a camera catches a violation, an automatic text message with the offense details, time, location, and fine payment info goes straight to the registered owner's mobile phone.

• Fines & Deadlines: Motorists are required to pay the issued fines within 14 days.

• Rollout & Expansion: Initial installation started in the West Urban Region and is expanding to other urban and rural areas to minimize human error and manual traffic policing
 
UK wana system ambayo plate number yako na "NIDA" zimeunganishwa na namba yako ie plate number ya gari na details zote eg mmiliki, place of domicile, anuani ya makazi, family information zote you can think of! Ukifanya kosa lolote barabaranni , automatically system ina detect na kukutoza faini automatically kutoka kwenye akaunti yako ya benki.


Mfano:
Ukivuka taa nyekundu, ukipita zebra wakati mwenda kwa miguu alitaka kuvuka, uki-overtake kusikoruhusiwa na vitu ka izo, kamera zinanasa na kutuma taarifa kwny central server ambapo dakika hiyo hiyo unapokea taarifa ya kukatwa fedha kwenye account kwa kosa ulilofanya eneo husika (utatajiwa na eneo) - kila ushahidi upo; hubishani na mtu, ni system inagenerate taarifa na kukupa mrejesho
Sasa sisi tuna camera kaka?
 
tz hatujafika huko miundombinu yetu bado sana hii system ipo rwanda lakini pia ujifunze kutofautisha Majukumu kati ya LATRA na jeshi la polisi kitengo cha barabarani hiyo ni kazi ya polisi sio LATRA.
 
Ushauri mzuri ila kabla latra hawajacopy mfumo huo hebu kwanza mahakama zetu na polisi wakopi mifumo ya huko kwanza.
La si vyo watu wataonewa sana.
Usisahau pia Tanzania tunatumia magari mitumba na hata haya mapya ya Kichina mengi hayawezi kuruhusiwa kukanyaga barabara za Uk. Kutokana na mifumo yao kuona ni risk.
 
Back
Top Bottom