LATRA anzisheni system kama hii ambayo inatumika UK. Haina mkwaruzano na mtu. Ni nidhamu yako barabaranni inakuhukumu

LATRA anzisheni system kama hii ambayo inatumika UK. Haina mkwaruzano na mtu. Ni nidhamu yako barabaranni inakuhukumu

ipo, kuna wenzako walikuwa wanabisha kuwa hata mifumo haipo. Hiyo publication ni kukuonesha kuwa system hizi zilianza zamani, (haiongelei kukata hella kwenye akaunti) zikawa improved with time kuweza kulipa fine directly from your account............definitely kama una akaunti......asiyekuwa nayo haimhusu..
Mkuu why unakua mgumu kuelewa??hakuna aliesema hilo halipo au aliwezekani,hapa tumekosoa uliposema UK,sababu UK hakuna mfumo huo labda huko kwingine..
 
sasa ubishi ni nini? Sijakosea popote, kuna wafuasi wako wanasema hakuna kitu hicho kabisa.

Nimekuwa Sweden angalau na kuna kijana wangu alifanya PhD on road aaaaaaaaaaaaaaaaaSeden..... soma hii.....

Sweden has a digitalised system for traffic violation detection known as ATK (Automated Traffic Safety Control / Automatisk trafiksäkerhetskontroll).

How the ATK System Works
    • Technology: The system uses fixed digital roadside or gantry-mounted cameras paired with radar technology to measure vehicle speeds.
    • Operation: Cameras only photograph vehicles that exceed the posted speed limit. Newer deployments on overhead gantries also offer broader multi-lane coverage and sharper images that allow authorities to spot secondary offenses like illegal mobile phone use.
    • Management: The nationwide program is managed jointly by the Swedish Transport Administration (Trafikverket) and the Swedish Police Authority (Polisen).
    • Processing: Recorded images are sent digitally to the police processing section in Kiruna. Passenger seats are automatically masked for privacy, and the driver is identified and verified against national license or passport registers.
Under Swedish law, the specific individual driving the vehicle at the time of the infraction—rather than just the registered owner—is prosecuted for the speeding violation

Unabisha kwa vile umekaa kula ukaona hakuna kitu kama hicho/ Let me tell you, Nilikuwa west, at one time nilikuwa natoka remote area . The next few hours to come tulikuwa na issue ya ku attend. Akasema itabidi nikimbie bila kujali alama KUU za barabarani tuwahi, watanipiga fine huko kwenye akaunti yangu. na kweli kesho yake alinionesha makato na maelezo yake...
Ndugu yangu, sasa hivi naona umeamua kuhama kutoka Uingereza na Japan na kukimbilia Sweden, lakini bado unaendelea na lile lile kosa la kunakili maandishi usiyoyaelewa.
Umeleta maelezo ya mfumo wa ATK (Automatisk trafiksäkerhetskontroll) wa Sweden ukiamini unakubeba, lakini ukweli ni kwamba andiko hilo unalolitumia linakupinga palepale. Ngoja nikupe darasa lingine la kusoma na kuelewa kile ulichokileta wewe mwenyewe:

1. Maandishi Yako ya Sweden Yanakupinga Waziwazi
Kwenye aya ya nne ya maelezo uliyoweka kuhusu Sweden, imeandikwa hivi:

"Recorded images are sent digitally to the police processing section in Kiruna... and the driver is identified and verified against national license or passport registers."
Tafsiri: Picha zilizopigwa na kamera zinatumwa kwa Kitengo cha Polisi kule Kiruna kwa ajili ya uchambuzi, na hapo polisi wanaanza kumtafuta dereva kwa kumlinganisha na picha za leseni au pasipoti.
Swali la kujiuliza: Kama polisi ndio wanaanza kukaa chini kuchambua picha ili wamtambue dereva kwanza, hiyo kompyuta inayokata hela benki kiotomatiki sekunde hiyo hiyo inapata wapi data za akaunti yako wakati bado polisi wanajadili picha kule Kiruna?

2. Sheria ya Sweden Inakataza Kumhukumu Mtu Papo Hapo
Kwenye aya ya tano uliyoweka mwenyewe, imeandikwa hivi:

"Under Swedish law, the specific individual driving the vehicle at the time of the infraction—rather than just the registered owner—is prosecuted for the speeding violation."
Tafsiri: Chini ya sheria za Sweden, mtu aliyekuwa anaendesha gari wakati wa kosa ndiye anayeshtakiwa (prosecuted), na sio mmiliki wa gari.
Maana yake ni kwamba, kama gari limepigwa picha, sheria hairuhusu kukata hela ya mmiliki wa gari kwa sababu huenda sote tulikuwa hatuendeshi sisi. Polisi wanapaswa kutuma barua ya kisheria kwanza kukuuliza nani alikuwa anaendesha gari. Neno "prosecuted" linaashiria mchakato wa kisheria (Due Process of Law), sio makato ya papo hapo ya kompyuta.

3. Ufafanuzi wa Kisa Chako cha Kufikirika
Kuhusu huyo jamaa yako uliyesema alikuwa anakimbia na akakwambia "watanipiga fine huko kwenye akaunti yangu", kisha kesho yake akakuonyesha makato:
  • Mifumo ya kidijitali ya Ulaya (ikiwemo Sweden) inaruhusu raia kuunganisha mifumo yao ya ankara au barua kupitia programu za kidijitali za serikali kama vile Kivra. Ukipatikana na kosa na ukakiri, faini inatumwa kama ankara (invoice) kwenye simu yako, na unaweza kuidhinisha ulipe kwa kutumia mifumo yao ya malipo.
  • Yeye alichokuonyesha kesho yake ni ankara ya malipo aliyoidhinisha au kuitambua mwenyewe, au ilikuwa ni makato ya kampuni ya kukodisha gari (Rental Car Administration Fee) kama alikuwa ametumia gari la kukodi, ambapo faini zake huenda kwanza kwenye kampuni kabla ya kumfikia mteja.
  • Hakuna taasisi yoyote ya polisi duniani inayoruhusiwa kuingia ndani ya akaunti ya benki ya mtu binafsi na kuvuta hela bila ridhaa yake, bila yeye kupewa nafasi ya kukataa kosa, au bila amri ya mahakama. Hiyo inaitwa ni wizi wa kimtandao na inakiuka sheria kali za Ulaya za kulinda data na faragha ya raia (GDPR).

Hitimisho: Angalizo Kuhusu Matumizi ya AI
Mwisho kabisa, nikupe ushauri wa kirafiki. Pamoja na kwamba mimi ni mtumiaji mkubwa wa AI, lakini ningekuomba sana usitegemee sana AI kama hujui nini unachokitafuta. AI itakusaidia tu kama utaielezea kwa ukweli nini unakitaka ili ikupatie jawabu mujarabu. Ulichokifanya hapa, umeilisha uongo ili ikuunge mkono, nayo ikakutengenezea maelezo ya Sweden uliyoya-copy bila kuyasoma vizuri, na matokeo yake imekupatia majibu ya kukuaibisha hapa mbele za watu.
Soma kwanza, kuelewa mambo ya kisheria, kisha ndio uje upige hoja!
 
Mkuu why unakua mgumu kuelewa??hakuna aliesema hilo halipo au aliwezekani,hapa tumekosoa uliposema UK,sababu UK hakuna mfumo huo labda huko kwingine..
anadanganya tu hakuna nchi ya Ulaya yenye huo mfumo ni kinyume na sheria hata hilo famba aliloliweka nimesha rebuttal point kwa point. Na nimemuasa kama hajui kuitumia vizuri AI aache maana itakua haimsaidii
 
1000308015.jpg
 
sasa ubishi ni nini? Sijakosea popote, kuna wafuasi wako wanasema hakuna kitu hicho kabisa.

Nimekuwa Sweden angalau na kuna kijana wangu alifanya PhD on road aaaaaaaaaaaaaaaaaSeden..... soma hii.....

Sweden has a digitalised system for traffic violation detection known as ATK (Automated Traffic Safety Control / Automatisk trafiksäkerhetskontroll).

How the ATK System Works
    • Technology: The system uses fixed digital roadside or gantry-mounted cameras paired with radar technology to measure vehicle speeds.
    • Operation: Cameras only photograph vehicles that exceed the posted speed limit. Newer deployments on overhead gantries also offer broader multi-lane coverage and sharper images that allow authorities to spot secondary offenses like illegal mobile phone use.
    • Management: The nationwide program is managed jointly by the Swedish Transport Administration (Trafikverket) and the Swedish Police Authority (Polisen).
    • Processing: Recorded images are sent digitally to the police processing section in Kiruna. Passenger seats are automatically masked for privacy, and the driver is identified and verified against national license or passport registers.
Under Swedish law, the specific individual driving the vehicle at the time of the infraction—rather than just the registered owner—is prosecuted for the speeding violation

Unabisha kwa vile umekaa kula ukaona hakuna kitu kama hicho/ Let me tell you, Nilikuwa west, at one time nilikuwa natoka remote area . The next few hours to come tulikuwa na issue ya ku attend. Akasema itabidi nikimbie bila kujali alama KUU za barabarani tuwahi, watanipiga fine huko kwenye akaunti yangu. na kweli kesho yake alinionesha makato na maelezo yake...
Sawa.
 
Hili litakuwa wazo la kijinga, ni sawa na mtu anaemiliki baiskeli unamshauri jinsi ya ku service LC300. Tanzania haina miundombinu ya kufanikiaha hilo wazo lako.
Mfano Tanzania ukila Jackpot ya sportpesa ile 1B, unalipa kodi 180m maximum. Unabaki na 820m, Huko
Your content
nje ukila 1B, unaweza kulipa kodi hadi 550m ukabaki na 450m pekee.
Matusi ya nini? Unaweza kujibu hoja bila matusi. Mjinga mama yako shenzi.
 
Mfano:
Ukivuka taa nyekundu, ukipita zebra wakati mwenda kwa miguu alitaka kuvuka, uki-overtake kusikoruhusiwa na vitu ka izo, kamera zinanasa na kutuma taarifa kwny central server ambapo dakika hiyo hiyo unapokea taarifa ya kukatwa fedha kwenye account kwa kosa ulilofanya eneo husika (utatajiwa na eneo) - kila ushahidi upo; hubishani na mtu, ni system inagenerate taarifa na kukupa mrejesho
Ndugu hayo mambo yanafanyika nchi zilizoendelea kiuchumi. Askari wanajitambua na idara mbalimbali zinafanya mambo yake bila kusubiri kauli toka juu.

Huku kwetu miundombinu tu ya barabara ni kichomi
 
Ndugu hayo mambo yanafanyika nchi zilizoendelea kiuchumi. Askari wanajitambua na idara mbalimbali zinafanya mambo yake bila kusubiri kauli toka juu.

Huku kwetu miundombinu tu ya barabara ni kichomi
Nakubali, but we have to start. Mbona GePG imefanikiwa ingawa ilianza na matatizo. We have to start, we will improve with time and technology innovations in that area
 
Nakubali, but we have to start. Mbona GePG imefanikiwa ingawa ilianza na matatizo. We have to start, we will improve with time and technology innovations in that area
Ni kwasababu ilikua kwenye uhitaji zaidi baada ya makelele. Kwahiyo system inazuia upigaji na utaambiwa itahitaji uwekezaji mkubwa hivyo watataka wajipe muda wa upembuzi yakinifu.
 
UK wana system ambayo plate number yako na "NIDA" zimeunganishwa na namba yako ie plate number ya gari na details zote eg mmiliki, place of domicile, anuani ya makazi, family information zote you can think of! Ukifanya kosa lolote barabaranni , automatically system ina detect na kukutoza faini automatically kutoka kwenye akaunti yako ya benki.

Mfano:
Ukivuka taa nyekundu, ukipita zebra wakati mwenda kwa miguu alitaka kuvuka, uki-overtake kusikoruhusiwa na vitu ka izo, kamera zinanasa na kutuma taarifa kwny central server ambapo dakika hiyo hiyo unapokea taarifa ya kukatwa fedha kwenye account kwa kosa ulilofanya eneo husika (utatajiwa na eneo) - kila ushahidi upo; hubishani na mtu, ni system inagenerate taarifa na kukupa mrejesho
UK mbona mbali sana? 😳 Wavuke tu mpaka wa Rusumo wakajifunze jinsi Rwanda inavyomudu usimamizi wa magari barabarani japo iko hapa hapa Africa.
 
madereva wa kibongo hawataki hii system wanasema kuwa wanaonewa
 
UK mbona mbali sana? 😳 Wavuke tu mpaka wa Rusumo wakajifunze jinsi Rwanda inavyomudu usimamizi wa magari barabarani japo iko hapa hapa Africa.
Afrika labda siuo Ulaya wenzetu wanaheshimu haki za watu, ndiyo maana watu walioishi Ulaya na ambao bado wanaishi Ulaya wamemshangaa huyu kiongozi katika nchi zote bora angetaja za eastern Europe maana wao na sisi hatuna tofauti kubwa lakini siyo hizo nchi alizozitaja. Rahisi muno kumbomoa
 
Ingwezekana Kabisa mkuu.
Rwanda wameweza.
(Hiyo Camera inaitwa Sophia).
Rwanda hata simu yako ikiibiwa kuipata ni Dakika tu.

Huku Tanzania wanafanya Makusudi.
Ni miradi ya watu kuiba na kupokea Rushwa.

CCM ni laana kwa Taifa.
 
Mkuu wanatoa fedha kwenye account au unaletewa bill ulipe? Hizi nchi za wenzetu serikali tu kupata bank information za mteja ni mtihani ndio watoe kwenye account moja kwa moja, halafu kuna ile kukosea au unaenda kudispute sasa hapo inakuwaje. Nilitaka kushangaa hakuna kitu Kama hicho
 
Attachments

  • IMG_2379.jpeg
    IMG_2379.jpeg
    153.3 KB · Views: 11
Upo sahii but ulipokosea uliposema wanakata hela direct, sio kweli faini hadi uikubali ndio unalipa,ukiona unaonewa unaenda mahakamani, ukikutwa na kosa mahakamani faini haiwi tena £100,inakua £2500.

Hapo pa kukata directly hakuna kitu kama hicho nchi za wenzetu labda Bongo
 
Back
Top Bottom