LATRA: Mabasi 759 yanayofanya safari za Usiku yanazidisha Speed na kuchezea mfumo wa ufuatiliaji taarifa za gari (VTS)

Sikuelewi kabisa! Kwamba ni speed ndogo? Kwamba ukiendesha kwa speed kubwa biashara za viongozi zitakufa hivyo wanalazimisha speed iwe 80?
Speed 80 inawatosha sana maana wamebeba roho za watu, waache kulialia.....tunaoendesha gari binafsi speed 80 ni mwendo wa kasi kubwa tu na unakuta mtu unaifikia mara chache tu.
 
Kati ya mabasi 246, asilimia 80 (mabasi 197) yamebainika yanaendeshwa kwa mwendo kasi kati ya kilomita 86 hadi 89 kwa saa, huku asilimia tisa yakiendeshwa kwa kilomita 90 hadi 103 kwa saa,” ilisema.

Yaani hawa watu bado tu wapo na mawazo ya miaka ya uhuru, barabara nzuri sheria za miaka ya uhuru, kweli wameshindwa kabisa kuongeza hiyo speed 20 ili ikamilike 100 kwa mabasi?

Hivi hawa wanapoenda nchi za watu huko huwa hajifunzi!?
 
RUSHWA Rushwa
 
Wezi saaana Hao,, Dili zimekata
 
Uongo uo mmeona hesabu haziji hamkai loud usiku mnakaa nawake zenu na usiku toch hakuna mabosi wa mabasi wote wamekaza wanatembea usiku mnahisi mtakufa njaa zamani tuliwahisi mabosi wa hakuna kulala ndo wanazuia izi route kumbe ni nyie
Kabisaaa njaaa imeanza Baba
 
Hayo machadomo akili zao ni finyu sana 🤣🤣🤣🤣🤣

Inahitaji kuwa mpumbavu ndio uwaelewe. Akili zao zinakosa consistency na utulivu Kwa sababu wamejaa chuki.
CHADEMA walikufanya nini??
 
Yaani hawa watu bado tu wapo na mawazo ya miaka ya uhuru, barabara nzuri sheria za miaka ya uhuru, kweli wameshindwa kabisa kuongeza hiyo speed 20 ili ikamilike 100 kwa mabasi?

Hivi hawa wanapoenda nchi za watu huko huwa hajifunzi!?
Usiku speed 80 inatosha na pia barabara sehemu kubwa ya nchi sio nzuri kwa mwendokasi.
 
Nawapongeza LATRA na Kikosi cha Polisi cha Usalama Barabarani kwa hili.
 
Speed 80kph izingatiwe, mchana ama usiku. Barabara zetu sio rafiki sana kuruhusu watu watembee zaidi ya 80kph.
Ila hao Kaprikon wametia fora, kutuma taarifa kwa kurukaruka na kuchezea mfumo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…