LATRA yatangaza bei mpya za mabasi, daladala

Labda nchi za dunia ya tatu, kwa nchi nyingi usafiri wa umma ni kama bure sababu ya serikali zao wanawapa ruzuku.
Mwendokasi wana gharama nafuu labda sijui unapimaje.
Kutoka gerezani hadi kimara ni 650. Kapande daladala uone utatumia kiasi gani
 
Ukitoka gerezani hadi magomeni unalipa bei gani?
 
Ukitoka gerezani hadi magomeni unalipa bei gani?
Ni 650, kwa kuwa wasingeweza kudhibiti wanaoshukia njiani ndio maana imekua mwanzo wa kituo hadi mwisho wa kituo.
Sasa ww unakwenda magomeni kutokea gerezani unapanda mwendokasi kwa 650, wakati Kuna daladala za mabibo, makumbusho zinapita hapo tena hadi kwa 300. Utakua juha
 
Unajuwa ni kwanini watu wanapanda mwendo kasi?
 
Mkuu “Kigli” jina lako lina maana gani? Nataka nimpe mwanangu mtarajiwa(samahani naomba maelezo kama hutajali) QUIGLEY
Hili jina limetumika sehemu nyingi na maana yake hutegemea na jamii..
Limetumika sana Irish..wanasema asili yake ni uzao wa Coigleach...kwa wanaume na wanawake ni uzao wa Choighigh.

Kwa kiebrania maana yake...ni Yehova anaishi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…