Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio kweli, nchi gani hiyo?? Usafiri ni kama bure??Labda nchi za dunia ya tatu, kwa nchi nyingi usafiri wa umma ni kama bure sababu ya serikali zao wanawapa ruzuku.
Mwendokasi wana gharama nafuu labda sijui unapimaje.
Kutoka gerezani hadi kimara ni 650. Kapande daladala uone utatumia kiasi gani
Kwi-gleelinatamkwaje
Uko sahihi. Hata hizi Daladala, kuna sehemu Daladala tayari nauli zilikuwa juu kuliko hizi zonazotangazwa. Hivyo sasa nao wataongeza tena! Mfano nauli ya Moro - Mzumbe ya LATRA ilikuwa 750 wao walikuwa wanatoza 900 au 1000 na sasa ya LATRA ni 850. Ni kwa vyovyote vile itapanda sana. LATRA hapo wanaimba ngonjera tu labda wawe na magari yao ya usafirishaji.Hizi bei hata hawasimamii, hizi bei za awali watu walikuwa wanalipa zaidi ya hapo, dar to dom basi ilikuwa elfu 20 huko, 22 na hilo ndio basi la kawaida, wakati nauli halisi ilikuwa ni 16 hiv.. Sasa imepanda 18 tutegemee mtu kutozwa 25 elfu
Maombolezo au furaha? Mimi furaha bado haijaisha , na haitaisha milele. Maombolezo ni kwa sukuma gang na wanyonge.Pole sana mkuu. Maombolezo yameshaisha punguza uchungu
Swali hili linatakiwa kujibiwa na LATRA (mamlaka ya usafiri nchini tz)Mafuta yakishuka bei watashusha?
Mbona naona old fares ni tofauti na tulizokuwa tunalipa mfano DSM Morogoro ilikuwa 8000 japo wameandika 7600/-Mkeka huo hapoView attachment 2206032
Una mikogo 😀😀😀Sijui kutumia kabisa PM Ndugu yangu.
Maombolezo au furaha? Mimi furaha bado haijaisha , na haitaisha milele. Maombolezo ni kwa sukuma gang na wanyonge.
Yalishuka wakati wa corona, nauli haikushuka, walikula kwa urefu wa kamba zao,Swali hili linatakiwa kujibiwa na LATRA (mamlaka ya usafiri nchini tz)
Kwamba serikali iache kufanya mambo ya msingi ihangaike na bodaboda wa geita?Uku Geita Masumbwe bodaboda kwa safari moja wamepandisha kutoka 1000 kabla ya mafuta kupanda sasa hivi ni 2000 na asiyelipisha wanamfungia mnyororo na faini ya keti tatu za soda Serikali mngelitolea ufafanuzi na hili wananchi wanateseka kwa kutembea na miguu kilometa 10
Kwenye huo mkeka naona semi luxury Dar to Arusha ni 36,700/=
Na sisi tulishazoea nauli ya 36K wao wanaita ni full luxury.. gari ina choo, tv zipo za kutosha, nyingine zina WiFi, kipupwe OG, coffee/ milk, maji & pipi
Hiyo imekaaje? Kwamba tutalipia nauli ya semi luxury au?
Cc QUIGLEY na Kaskazini ilivyo na gari nzuri [emoji1787] si tutalipishwa 40K aisee
ShubutuuuuuuuMafuta yakishuka bei watashusha?
Kwa kutishiwa Kuuwawa au?Utafulahi
Ndege inategema mambo mengi, mfano ukibook ticket ya kesho bei itakuwa kubwa kuliko atakayebook ya miezi 3 kabla,Hivi kwenye ndege ni shirika lipi la umma linapanga bei za ndege? kwa maana nauli ya kwenda dubai ni nafuu zaidi kuliko nauli ya kwenda Bukoba
Wewe katoto huna adabu, umetumwa uje kumtusi jpm shetani? Shetani ni ukoo wako mzima.Mkuu kwani nimekukosea nini kwa kutoa maoni yangu? Kuna watu wanamwona yule shetani kama shujaa wao nami nachukulia kuwa ni maoni yao. Siyo lazima tuwe na maoni sawa
Haliwezi kutokea hiloMafuta yakishuka bei watashusha?
Kuna route nauli imepanda kutoka 1000 hadi 1500.Ongeza sh 100
Kama ulikua unalipa 300 basi itakua 400, kama ilikua 400 itakua 500, kamaa ilikua 500 itakua 600