Wanajuwa kwenye kupiga kura hamuwawezi [emoji41]Mkuu weka "figures" ili tuone nauli zimepanda kwa kiasi gani ili tuweze kufanya tathimini kupitia ongezeko la bei ya mafuta. Tukumbuke kuwa ijapokuwa wananchi wanaumia lakini wamiliki wa mabasi nao pia ni wawekezaji, na hutaka kuendesha biashara zao kwa faida.
Kitu ambacho serikali inaweza kukifanya ni kuweka ruzuku ili pande zote zisiweze kuumia. Lakini wanachi wanayo silaha moja kubwa ya kuitumia, nayo si nyingine bali kutumia turufu ya kura zao na kuzilinda kwa hali na mali ili kutoa fundisho, endapo wanaona serikali yao inawachukulia kimchezo mchezo.
Wangegoma kupanda mabasiShinda yenu Watanganyika mnajua sana kulalama ila kuchukua hatua ndio kimbembe. Ata viongozi wenu wameisha wajua na ndio maana wanawageuza wanavyo taka wao na wako kimya tu. Maana wanajua mtapinga nduru tu kisha mtasahau na maisha yataendelea.
Amkeni nyie mazombi ipiganieni haki yenu, haki yenu haiwezi patika kwenye foleni ya masanduku.
Daladala zitaitwa Dala elfuFanyeni nauli za daladala ziwe 5000 kabisa au unasemaje
Ova
Wangegoma kupanda mabasi
Angalau kwa siku 5 tu
Ova
Jana nilifanya the same kutoka Tegeta kuja Mbezi. Kuna mama alisema yeye Huwa hapigi kura nikamwambia aache kulalamika sasaLeo nilipanda daladala ya Tandika _kariakoo ,kazi yangu ilikuwa moja tu kupandisha sauti kuwaelimisha watu mchawi wenu ni CCM ,nimewaambia ilitakiwa nauli iwe 5000 ili vijana Kwa wazee tutoke barabarani Kwa lazima ili mchawi ajulikane ,nikawaambia nyinyi kila siku Simba na yanga Kwa hiyo nauli hizo zinatakiwa ziongezeke ,akina mama nikawaambia muwaulize maswali hao viongozi wa ccm Kwa nini Hali hii!!! Mwisho nikashuka kwenye gari lakini ujumbe uliwakolea sana
Pole ....bila fikira tunduizi... lazima sauti utasikia ipo Chini sanaOna hili nalo π
Nilimsikia Mwamba wa Zamani aliyekuwa akisimamia masuala ya usafiri hapa Dar David Mwaibula alipohojiwa na ITV kwenye kipindi cha dakika 45 alisema kwamba Duniani kote nauli ya mabasi ya abiria mijini huwa haipandi kwa sababu ya Logic moja tu kwamba mabasi ya mjini hupakia na kushusha vituoni na kila kituo hadi kituo bei ni ile ile na mabasi hujaza mpaka abiria wengine husimama ndani ya Basi !!Nilichoshangazwa na LATRA, hali ilikuwa imetulia na wametoka kupandisha nauli mwaka jana.. kwanini wakakaa na kuleta sintofahamu ambayo haikuwepo! Gharama gani za uendeshaji zilizoongezeka ambazo mwaka jana hawakuziweka kwenye consideration wakati wanapandisha nauli mara ya kwanza.
Wafanyabiashara wanataka faida kubwa kuelekea wasafiri wa mwisho wa mwaka wakalobby Latra..
Na huyo bibi yako aliyekufanya uwe maskini?Shida siyo LATRA shida ni yule bibi pale juu
Mfuate Magufuli we mbwa. Lile lilikuwa jizi km majizi mengine ila aliweza kupumbaza mazuzu yasioelewa km weweTatizo waandishi watanzania na wenyewe wamekua magoigoi hii nchi maskini ametelekezwa tangu magu amekufa mchwa wako Kila mahali mama hata Hana habari kabisa
Kuna ile ya Dom singida yaani 61000
Una matumaini na mabariliko kupitia masanduku ya kura kweli?Viongozi hawawezi kujali maisha ya watu wa chini Mkuu.
ACHA WANANCHI WAPITIE MAGUMU ILI NEXT TIME WAJUE CHA KUFANYA KWENYE MASANDUKU YA KURA.
KaziKweliKweli/JobTrueTrue
Ingekuwa 2500 ingependeza zaidiTegeta /kariakoo kutoka Tsh 700 hadi 900
Sasa bibi kumbe hana akili?
Anashauriwa vibaya alafu kakaa kimya tu huku mambo yakimuendea vibaya?
Too bad,she's here to lead till 2030 Inshallah, Guess what I hope between these years tutaandaa mpango kabambe wa kuwaghulikia majizi yoote ya kanisa ambao yako specialized kwenye wizi na ufisadi.25 muwe makini kwenye kuchagua sasa huyu ni accidentally tu!