mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Wanajuwa kwenye kupiga kura hamuwawezi [emoji41]Mkuu weka "figures" ili tuone nauli zimepanda kwa kiasi gani ili tuweze kufanya tathimini kupitia ongezeko la bei ya mafuta. Tukumbuke kuwa ijapokuwa wananchi wanaumia lakini wamiliki wa mabasi nao pia ni wawekezaji, na hutaka kuendesha biashara zao kwa faida.
Kitu ambacho serikali inaweza kukifanya ni kuweka ruzuku ili pande zote zisiweze kuumia. Lakini wanachi wanayo silaha moja kubwa ya kuitumia, nayo si nyingine bali kutumia turufu ya kura zao na kuzilinda kwa hali na mali ili kutoa fundisho, endapo wanaona serikali yao inawachukulia kimchezo mchezo.
Ova