Wyatt Mathewson
JF-Expert Member
- Dec 22, 2017
- 10,770
- 25,419
ni weakness ya uongozi wao kupoteza kada ya wanachama wazoefu tena proven,tena wenye skills namna hiiAtakumbukwa kwa blunder ya kisiasa iliyoigharimu chadema kugawanyika na itakayomuweka kwenye historia ya makatibu wakuu wa vyama vya siasa wa hovyo zaidi duniani, walio wahi kutumbukiza vyama vyao vya siasa kwa makusudi, kwa ulevi tu wa vyeo au kukosa maono na kuvifanya vyama hivyo kupotea kabsa kwenye ramani ya kisiasa.
Msongo wa mawazo utakaombatana na lawama za wanachadema baadae, havitamuacha salama hususani kwenye suala la afya ya akili na roho.
Kinachoendelea CHAUMMA Lazima kitakua kina muumiza sana John Mnyika mpaka sasa, na kwamba maamuzi yake ya hovyo yameibomoa CHADEMA na yanaijenga CHAUMMA, huku waTanzania nchi nzima wakishuhudia.
Muda wa lawama ukifika, atajikuta kwenye mateso makali mno kifikra 🐒
Mungu Ibariki Tanzania
Wale waliojiunga chaumma wamekimbia CCM na Wana kinyongo na chadema!!!Sie wana CHADEMA hatuna kinyongo naye, kama nyie maFISIEM mna nyongo naye hayo ya kwenu!
hizo porojo zingine hazina haja sana kwenye mjadala huu gentleman,Because hawana ishu ambayo ni muhimu kwao, kila kitu wanapata tena kwa mseleleko,
Nenda Ngorongoro ukaone,
Ulisikiliza bajet ya wizara ya ujenzi?
Wakandarasi wageni wanapata sh ngapi? Na wabongo sh ngapi?
So hiyo ndio sababu
Get the point kwamba kama uchaguzi ni huru na haki CCM haitoboi na wewe unajua hilo
halafu wewe mwanaCCM ndiye msemaji wao sio??Wale waliojiunga chaumma wamekimbia CCM na Wana kinyongo na chadema!!!
Mnyika amewawakilisha wanacdm wote,hivyo kama kuna lawama tulishazizoea.Atakumbukwa kwa blunder ya kisiasa iliyoigharimu chadema kugawanyika na itakayomuweka kwenye historia ya makatibu wakuu wa vyama vya siasa wa hovyo zaidi duniani, walio wahi kutumbukiza vyama vyao vya siasa kwa makusudi, kwa ulevi tu wa vyeo au kukosa maono na kuvifanya vyama hivyo kupotea kabsa kwenye ramani ya kisiasa.
Msongo wa mawazo utakaombatana na lawama za wanachadema baadae, havitamuacha salama hususani kwenye suala la afya ya akili na roho.
Kinachoendelea CHAUMMA Lazima kitakua kina muumiza sana John Mnyika mpaka sasa, na kwamba maamuzi yake ya hovyo yameibomoa CHADEMA na yanaijenga CHAUMMA, huku waTanzania nchi nzima wakishuhudia.
Muda wa lawama ukifika, atajikuta kwenye mateso makali mno kifikra 🐒
Mungu Ibariki Tanzania
huo ni upotoshaji wa kujifariji na mnadanganya tu gentleman,
ukweli ni kwamba uongozi mpya wa chadema haujawahi kukaa kikao chochote tangu umechaguliwa na hawakua wahi kuamua chochote kuhusu hiyo nonsense.
Agenda ya siri ya chadema ambayo ilikua ikisukumwa na viongozi binafsi wa chadema, ni kueliminate team mbowe ndani ya uongozi mpya, na agenda nyingine zote chini ya uongozi mpya zilikua ni agenda binafsi na ndio maana zilipingwa kwa nguvu zote kuanzia kwenye uongozi hadi ground.
nakuhakikishia tu,
baada ya athari za kutoshiriki uchaguzi zitakapoanza kujidhihirisha, Mnyika na Lisu will be the enemies of Chadema
material ya ukweli kama haya hawayapendi kichizi hawa wangwana na sijui itakuaje,ni weakness ya uongozi wao kupoteza kada ya wanachama wazoefu tena proven,tena wenye skills namna hii
funny enough wameondoka wanawake wengi kuliko wanaume,which shows something else which is really bad
failure ya wao kama wao kuunganisha makundi yao ndani na kua kitu kimoja ni kosa lao wenyewe
wasimlaumu yeyote,naona wanajaribu kuleta propaganda za eti hela za ccm na blah blah zingine za ajabu,ni muendelezo wa propaganda zile zile za kukwepa majukumu
atajijua
kwenye ukatibu mkuu,salum mwalimu sio mwepesi mwepesi kiivyo,he can hold his own,game changer ni FAM akisema anaingia its on!
hizo porojo zingine hazina haja sana kwenye mjadala huu gentleman,
but wanachadema watamtukana sana mnyika baada ya uchaguzi mkuu
kukurupuka na kuropoka kwa viongozi wapya wa chadema sio jambo la kawaida gentleman kwenye siasa,Tatizo yule mtu wenu ambae mlikuwa mnaweza kuongea nae hayupo tena
Lazima mkubali hilo
Ni kama wapendwa wa magu wanavyoishi maisha magumu now kwenye utawala wa Mama
Ni mambo ya kawaida kwenye siasa,
Chauma kimezaliwa upya wekeni nguvu huko achaneni na chadema ambayo ishakufa
ujasiri wa wanachadema kumtukana mnyika utakua mbaya zaidi wakati muafaka ukifika gentleman
asubiri matusi yake ya uhakika kutoka kwa wanachadema baada ya athari za kutoshiriki uchaguzi zitakapoanza kuitafuna chademaMnyika amewawakilisha wanacdm wote,hivyo kama kuna lawama tulishazizoea.
Piga kazi Mnyika songa mbele hadi ukombozi wa fikra upatikane.
Gentlelady Chauma oyee , Machawa oyee , CCM oyee tupige pesa za mafisadi sasaandikia uzi mahususi hayo malalamiko yako gentleman na itapendeza zaidi
kukurupuka na kuropoka kwa viongozi wapya wa chadema sio jambo la kawaida gentleman kwenye siasa,
hakuna mwenye hekima na busara anaweza kuishi kwenye jumuiya isiyo na utaratibu.
yaan mropokaji ndio anaonekana shujaa? Mmambo ya kushangaza sana aise..
nikuhakikishie tu gentleman,
mnyika ataropokewa kwa fedheha sana na wanachadema waliomsifia baada ya uchaguzi mkuu
uzuri ushindani sio yowe ni utendaji kwa groundmaterial ya ukweli kama haya hawayapendi kichizi hawa wangwana na sijui itakuaje,
well done gentleman
ofoz,Haha mnyika alikuwepo wakati wanapata jimbo moja tu,
Mnyika alikuwepo wakati wanaibiwa kura zao,
Nyie mlitaka washiriki ili muwafanye ile michezo yenu then mseme hawapendwi haha
Sasa wameona bora Wawaachie wenyewe mpate Mia kwa mia
Nalo pia hamtaki haha
Really?Atakumbukwa kwa blunder ya kisiasa iliyoigharimu chadema kugawanyika na itakayomuweka kwenye historia ya makatibu wakuu wa vyama vya siasa wa hovyo zaidi duniani, walio wahi kutumbukiza vyama vyao vya siasa kwa makusudi, kwa ulevi tu wa vyeo au kukosa maono na kuvifanya vyama hivyo kupotea kabsa kwenye ramani ya kisiasa.
Msongo wa mawazo utakaombatana na lawama za wanachadema baadae, havitamuacha salama hususani kwenye suala la afya ya akili na roho.
Kinachoendelea CHAUMMA Lazima kitakua kina muumiza sana John Mnyika mpaka sasa, na kwamba maamuzi yake ya hovyo yameibomoa CHADEMA na yanaijenga CHAUMMA, huku waTanzania nchi nzima wakishuhudia.
Muda wa lawama ukifika, atajikuta kwenye mateso makali mno kifikra 🐒
Mungu Ibariki Tanzania
Sisi ndo wanachadema,na ndo sisi tunamtuma ndo maana tunachanga tone toneasubiri matusi yake ya uhakika kutoka kwa wanachadema baada ya athari za kutoshiriki uchaguzi zitakapoanza kuitafuna chadema
ofoz,
nimefanya nae kazi pia pamoja na zito, kwenye taasisi moja ya kiraia ilikua ikiitwa CGG maeneo ya sinza kabla hawaja kimbilia kwenye siasa.
In fact ana hulka ya uoaga, hawezi kujisimamia, ana nidhamu ya uoga, ni mnafiki sana, mfano kuna jambo linaweza kua la hovyo but yeye akakubali hovyo huo kama faida.
kwenye hili la kutoshiriki uchaguzi, ameiingiza chadema choo cha kike nae anaingia kwenye record ya miongoni mwa makatibu wakuu wa hovyo sana wa vyama vya siasa kuwahi kutokea nchini
gentleman?uzuri ushindani sio yowe ni utendaji kwa ground
wanaanza na C4C mwanza siku 16 none stop na chopper
chadema washaanza kulia faulo eti chadema wanapata wapi pesa as if wewe tu ndio wana ruksa ya kushika pesa dunia hii
what i heard kuna tajiri atawazawadia jengo la HQ bigger than ya lile la chadema
next they will beg FAM kuja kuwasaidia kukimbiza......
upinzani utakua mkali sana..i cant wait to see!
chadema walifanya monopoly ya siasa za nchi hii of which heri imetokea alternative kuongeza ushindani!