Wyatt Mathewson
JF-Expert Member
- Dec 22, 2017
- 10,770
- 25,419
unajua kua officially chama kikuu cha upinzani wanahesabu nini na nini mkuu?Hata wangeshiriki wasingepata,
Me I can predict results before uchaguzi
Rais atapata 99%
Wabunge CCM atakosa majimbo 3 tu inchi mzima
Na wabunge wake watashinda kwa 98+%
So chadema wameliona hili
Ina maana jamaa wapo kwenye wheelchair?π
unajua kua officially chama kikuu cha upinzani wanahesabu nini na nini mkuu?
sio kushinda ubunge tu au udiwani
hadi idadi ya kura unazopata iwe urais,ubunge,udiwani,etc..kuna specific formula
unajua kwanini chadema imekua chama kikuu cha upinzani rasmi nchini?
hakuna wabunge wengi kama ACT,ila kina kura nyingi za urais nyuma ya ccm tu na kura zingine za ngazi za chini
otherwise ilikua kidogo tu ACT wachukue hiyo position,na in the coming October i doubt ACT will overtake them effectively
ni heri mkapambanie kwenye kituo cha kupiga kura upigwe mkono pale mwenye kuliko kukaa nyumbani kususa
thats a bad decision mzee!
Mkuu uko smart kichwani. Umeongea kweli na bayana. Niliwahi kusema, bleu na nyekundu ni watu wanapenda sana watu wenye jazba, matusi, maneno makali bila kujali anazungumza na nani na ni wapi. Hio tabia ilianzishwa na viongozi wao bahati mbaya wakajizolea wafuasi wengi sana wa aina hio. Hata kwenye mijadala isiyohitaji matusi, wao watatukana tu, wenyewe wanasema hawaogopi kitu wala mtu. Sasa unajiuliza, sasa hawa, hata kwao huwa wanatumia lugha hii kuzungumza na wakubwa wao? Blue na nyekundu wanawafuasi wengi sana ila ni waina hio, watu flani hivi hawana cha kupoteza, watu flani wa dk2 mbele.Hichi chama kwa bahati mbaya kimejitekea watu wenye chuki tu na kushikwa akili ambao hawana chochote zaid kwenda na upepo mana kikubwa wanachopenda na huu mchezo tu hawajali kuhusu ukwl wala kuangalia maswala ya msingi na hata kubadilishana maneno kwa hoja we ukija na hoja yako tu wao wanachojibu ni matusi au ww chama tawala na yawez ikawa ni mtu kawaida wala huna hufangamani na chama chochote....mi sijaon mtu yeyote anashabikia hicho chama kuja kistaarabu na hata kuja na hoja kwa kubadilishana maneno zaid ya matusi na kuja hiyo victim/inferior mentality kwamba ooh eti ww ni chama tawala
Mimi hii yote inajumlisha na kutoa taswira kuhus na chama chenyew brand yake na wanavyopenda kujiweka wanataka nguvu ya watu ila bahati mbaya hao watu wote wanao wateka akili zao hawana wajualo wao ni kupelekwa kwa upep tu na hawana hoja zaid ya matusi ndio akili yao ilipoishia
una malaria mkuuSasa hii idea yako inawafaa chauma
Ila kwa chama kama chadema wako mbaaaaaali kabisa
Wao wanataka dola
Wao wanataka nusu ya wabunge iwe chadema na wanajua uwezo huo wanao kinachowakwamisha ni hakuna fair ground
Ndio maana wanataka kuwe na mabadiliko ili mpimane ubavu vizuri
una malaria mkuu
kila chama kinataka dola
hizi nyege za chadema ku assume chenyewe tu ndio chama cha upinzani ndio exactly kinafanya watu kukihama
you are one among equals mzee
ACT anataka dola,chaumma kinataka dola na wengine...chadema kujifanya ni wao tu ndio hapo mnapofelia
huwezi shika dola bila kua chama kikuu cha upinzani kwanza,huwezi ruka steps
kwanza status yenu ya chama kikuu cha upinzani baada ya october ni questionable,hakikisha una retain kwanza then ndio uende kuchukua dola
unapokaa hapa na kujifanya eti sisi wengine sio vyama chama pekee ni chadema ndio mwanzo wa nyie kufeli
now wonder chaumma na ACT wakashirikiana pamoja kwenye uchaguzi na wakafika mbali kuwazidi....ndio mtajua maharage ni mboga!
shida ni nyie kuja hapa na kuanza kutukana waliopo vyama vingine ndio hatutakiSasa wao chadema hawataki tena, achaneni nao, mbona ni ishu simple tu
Mnaweza kujiunga na chauma, au chamudata, wao washasema hawataki mpaka kuwe na mabadiliko kwani ni lazima wao washiriki?
Kuna vyama vingapi vya upinzani Tanzania?
Au agenda yenu ni nini
shida ni nyie kuja hapa na kuanza kutukana waliopo vyama vingine ndio hatutaki
mkianza kuwatukana na sisi tunawatukana the same way
kaeni na chama chenu na sisi tukae na vyama vyetu,mambo ya dharau hatupendi
C4C kampeni na chopa juu,inaanza tarehe 30,siku 16 straight,baada ya hapo turudi hapa kuongea!
Maana mnajiona mmehodhi politics za hii nchi to the extent ya kutukana na kudharau wanadamu wengine!
Wewe jamaaa kichwani kwako ni mweupe hayo maamuzi yalifanywa na vikao halali vya chama .Kinachofanyika kwa sasa ni kuendelea na utekelezaji wake.huo ni upotoshaji wa kujifariji na mnadanganya tu gentleman,
ukweli ni kwamba uongozi mpya wa chadema haujawahi kukaa kikao chochote tangu umechaguliwa na hawakua wahi kuamua chochote kuhusu hiyo nonsense.
Agenda ya siri ya chadema ambayo ilikua ikisukumwa na viongozi binafsi wa chadema, ni kueliminate team mbowe ndani ya uongozi mpya, na agenda nyingine zote chini ya uongozi mpya zilikua ni agenda binafsi na ndio maana zilipingwa kwa nguvu zote kuanzia kwenye uongozi hadi ground.
nakuhakikishia tu,
baada ya athari za kutoshiriki uchaguzi zitakapoanza kujidhihirisha, Mnyika na Lisu will the enemies of Chadema
Wewe ndio mpotoshaji agenda ya no reforms.no election ni ya muda mrefu .huo ni upotoshaji wa kujifariji na mnadanganya tu gentleman,
ukweli ni kwamba uongozi mpya wa chadema haujawahi kukaa kikao chochote tangu umechaguliwa na hawakua wahi kuamua chochote kuhusu hiyo nonsense.
Agenda ya siri ya chadema ambayo ilikua ikisukumwa na viongozi binafsi wa chadema, ni kueliminate team mbowe ndani ya uongozi mpya, na agenda nyingine zote chini ya uongozi mpya zilikua ni agenda binafsi na ndio maana zilipingwa kwa nguvu zote kuanzia kwenye uongozi hadi ground.
nakuhakikishia tu,
baada ya athari za kutoshiriki uchaguzi zitakapoanza kujidhihirisha, Mnyika na Lisu will be the enemies of Chadema
Tuliza mshono wako,na ukilaza wako vyama vyote kama ww kweli una AKILI TIMAMU lzm unajua tulikotoka,toka mwaka ule wa 2019,2020 na 2024 mwaka wa jana tu hebu kama kweli ww una Akili TIMAMU nn kilitokea hadi John Mnyika alaumiwe kwa no reforms no election,hebu niambie hapa na wenye Akili TIMAMU hapa jamii forum wakuelewe kuwa nn kimewatokea wapinzani kupitia wagombea wao?Sema hapa ukiwa hauna mtindio wa ubongo watu watakuelewa maana jamii forum hili sio jukwaa la vilaza na slow learners.Atakumbukwa kwa blunder ya kisiasa iliyoigharimu chadema kugawanyika na itakayomuweka kwenye historia ya makatibu wakuu wa vyama vya siasa wa hovyo zaidi duniani, walio wahi kutumbukiza vyama vyao vya siasa kwa makusudi, kwa ulevi tu wa vyeo au kukosa maono na kuvifanya vyama hivyo kupotea kabsa kwenye ramani ya kisiasa.
Msongo wa mawazo utakaombatana na lawama za wanachadema baadae, havitamuacha salama hususani kwenye suala la afya ya akili na roho.
Kinachoendelea CHAUMMA Lazima kitakua kina muumiza sana John Mnyika mpaka sasa, na kwamba maamuzi yake ya hovyo yameibomoa CHADEMA na yanaijenga CHAUMMA, huku waTanzania nchi nzima wakishuhudia.
Muda wa lawama ukifika, atajikuta kwenye mateso makali mno kifikra π
Mungu Ibariki Tanzania
Ni maamuzi gani hayo yaliyofanywa na mnyika yanayokigharimu chama?Atakumbukwa kwa blunder ya kisiasa iliyoigharimu chadema kugawanyika na itakayomuweka kwenye historia ya makatibu wakuu wa vyama vya siasa wa hovyo zaidi duniani, walio wahi kutumbukiza vyama vyao vya siasa kwa makusudi, kwa ulevi tu wa vyeo au kukosa maono na kuvifanya vyama hivyo kupotea kabsa kwenye ramani ya kisiasa.
Msongo wa mawazo utakaombatana na lawama za wanachadema baadae, havitamuacha salama hususani kwenye suala la afya ya akili na roho.
Kinachoendelea CHAUMMA Lazima kitakua kina muumiza sana John Mnyika mpaka sasa, na kwamba maamuzi yake ya hovyo yameibomoa CHADEMA na yanaijenga CHAUMMA, huku waTanzania nchi nzima wakishuhudia.
Muda wa lawama ukifika, atajikuta kwenye mateso makali mno kifikra π
Mungu Ibariki Tanzania
Ukombozi dhidi ya nini?.Ukombozi wako utakuja siku ukifa.Duniani hapa kama huna mbele wala nyuma purukushani hadi siiku unaondoka.Vinginevyo utaimba wimbo wa ukombozi hadi utakoma uku wenzako wakiila nchi kwa mrija.Watu wapo kwa ajili ya ukombozi na si vyeo! Wananchi wanataka ukombozi na si kushiriki chaguzi ambazo wanajua wazi mtabebwa na kutangazwa washindi!
Kama hauoni hilo basi mnaona umbali wa vidole vyenu!
Ina maana jamaa wapo kwenye wheelchair?π
Idea ya No reform No election ingekuwa na maana kama wanaowapigania wangetoka kuwaunga mkono basi badala hii ya kuunga mkono kwenye keyboards tuunajua kua officially chama kikuu cha upinzani wanahesabu nini na nini mkuu?
sio kushinda ubunge tu au udiwani
hadi idadi ya kura unazopata iwe urais,ubunge,udiwani,etc..kuna specific formula
unajua kwanini chadema imekua chama kikuu cha upinzani rasmi nchini?
hakuna wabunge wengi kama ACT,ila kina kura nyingi za urais nyuma ya ccm tu na kura zingine za ngazi za chini
otherwise ilikua kidogo tu ACT wachukue hiyo position,na in the coming October i doubt ACT will overtake them effectively
ni heri mkapambanie kwenye kituo cha kupiga kura upigwe mkono pale mwenye kuliko kukaa nyumbani kususa
thats a bad decision mzee!
Kwa hiyo sasa ndio munamuiga sio?πIna wananchi wakiwamo wale wanyonge vipenzi wa jiwe!
No reforms No "ERECTION"Wana chadema wenyewe wanasemaje?
Kwa hiyo sasa ndio munamuiga sio?π