Lawrence Masha! Mpambanaji anayekaribia kupoteza pambano

Boss Mshana Jr Binadamu tuna hulka ya KUJISAHAU sana. Ndio maana walisema ... Mwanaume pata PESA tujue TABIA yako ... Na Wanawake ....

Watu wa karibu yake, Wamshauri tu ... Pombe si dawa.

Ndio liwe fundisho kwake na kwetu na kwangu pia, kuwa Uongozi ni DHAMANA, kuna maisha baada ya UONGOZI.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]kwenye msitu kuna majani na miti midogo pia, kuna vichaka pia na mimea mingine... Katika ujumla wake tunapata msitu /misitu

Jr[emoji769]
Hahaha hivyo hata majani yako msituni?! Anyway Masha katufunza kwamba kabla hatujafanya mambo tusikurupuke. Alijiona genius magazeti yalivyompamba kwamba kanunua share kubwa/nyingi za fastjet, kumbe hakusoma fine prints, him being a lawyer he was supposed to know all in and out about the contract agreement they had with the Tanzanian government. Sasa analalama mara madeni siyo yangu, mara madeni yanalipwa na Fast jet plc, watalipate na,wameshakuuzia msala na wameondoka?!
Alidhani kuhamia ccm kungembeba. Siasa na biashara ni vitu viwili tofauti.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kaingizwa mkenge vibaya. Mno... Waswahili husema za mkwezi mbili...
Being a lawyer haijamsaidia kwakuwa yeye sio competitive lawyer

Jr[emoji769]
 
Ila kumtoa huyu jamaa pale Nyamagana ilikuwa ni vita kwelikweli.

Vipi kule Tanga Cement bado ni mwenyekiti wa bodi?

Pia atakuwa bado ni mwenyekiti pale Ecoprotection na kule Gabriel & Co, Attorneys at Law

Si haba.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kaingizwa mkenge vibaya. Mno... Waswahili husema za mkwezi mbili...
Being a lawyer haijamsaidia kwakuwa yeye sio competitive lawyer

Jr[emoji769]
Hahaha kumbe huwa wanatudanganya sisi kwamba huwa tunashindwa kwasababu hatusomi fine prints kumbe na wao hawasomi hizo fine prints.
 
GT GENTAMYCINE ni PM basi story yote ya demu wa kichagga. Halafu kuna siku hapa ulichangiaga kigogo flani akiingiaga jumba flani zuri jeupe kawe mbezi beach kanuna akitoka anafurahiii ndiye huyu??

Please inform me
 
Ila kumtoa huyu jamaa pale Nyamagana ilikuwa ni vita kwelikweli.

Vipi kule Tanga Cement bado ni mwenyekiti wa bodi?

Pia atakuwa bado ni mwenyekiti pale Ecoprotection na kule Gabriel & Co, Attorneys at Law

Si haba.
Duu kote huko yuko?

Jr[emoji769]
 
We have the worst lawyers in Tanzania... Wengi wametuingiza mkenge

Jr[emoji769]
Hahaha poleni sana. Lakini kunasheria za kumlinda mteja ikiwa ataona wakili wake hamsaidii ipasavyo. Na unawrza kumshitaki kwenye chama chao akikutwa na kosa la makusudi anaweza nyang'anywa leseni.
 
We have the worst lawyers in Tanzania... Wengi wametuingiza mkenge

Jr[emoji769]
Kibatala?
Mpk ujue kesho,ye smart tu maneno meengi na ushirikiano na serikali,polisi,mahakama anao.
We utasema wakili,mwenzio yuko game
 
Hahaha poleni sana. Lakini kunasheria za kumlinda mteja ikiwa ataona wakili wake hamsaidii ipasavyo. Na unawrza kumshitaki kwenye chama chao akikutwa na kosa la makusudi anaweza nyang'anywa leseni.
Not in this country bro... Wafaidikaji ni wengi kwenye kila pigo... Tena wazito

Jr[emoji769]
 
Sijui Masha siku hizi ni mtu wa namna gani; ila miaka ya themanini wakati akiwa mwanafunzi wa sheria pale UDSM alikuwa mtu mnyenyekevu sana na mwenye maadili ya hali ya juu sana.

Wakati huo wengi tulidhani kuwa ni mmarekani kwa vile alikuwa akiongea kiingereza cha kimarekani vizuri sana huku akiwa anajifunza kiswahili.

Transformation aliyopitia hadi kuwa na hiyo tabia ya ya sasa inayoongelewa inashangaza sana kwa waliomjua enzi zile.
 
Pata pesa tujue tabia yako, kosa pesa tuone madhaifu yako

Jr[emoji769]
 
Waliosaidiwa wote leo kimyaaa

Jr[emoji769]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…