Lawrence Masha! Mpambanaji anayekaribia kupoteza pambano

Lawrence Masha! Mpambanaji anayekaribia kupoteza pambano

Boss Mshana Jr Binadamu tuna hulka ya KUJISAHAU sana. Ndio maana walisema ... Mwanaume pata PESA tujue TABIA yako ... Na Wanawake ....

Watu wa karibu yake, Wamshauri tu ... Pombe si dawa.

Ndio liwe fundisho kwake na kwetu na kwangu pia, kuwa Uongozi ni DHAMANA, kuna maisha baada ya UONGOZI.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]kwenye msitu kuna majani na miti midogo pia, kuna vichaka pia na mimea mingine... Katika ujumla wake tunapata msitu /misitu

Jr[emoji769]
Hahaha hivyo hata majani yako msituni?! Anyway Masha katufunza kwamba kabla hatujafanya mambo tusikurupuke. Alijiona genius magazeti yalivyompamba kwamba kanunua share kubwa/nyingi za fastjet, kumbe hakusoma fine prints, him being a lawyer he was supposed to know all in and out about the contract agreement they had with the Tanzanian government. Sasa analalama mara madeni siyo yangu, mara madeni yanalipwa na Fast jet plc, watalipate na,wameshakuuzia msala na wameondoka?!
Alidhani kuhamia ccm kungembeba. Siasa na biashara ni vitu viwili tofauti.
 
Hahaha hivyo hata majani yako msituni?! Anyway Masha katufunza kwamba kabla hatujafanya mambo tusikurupuke. Alijiona genius magazeti yalivyompamba kwamba kanunua share kubwa/nyingi za fastjet, kumbe hakusoma fine prints, him being a lawyer he was supposed to know all in and out about the contract agreement they had with the Tanzanian government. Sasa analalama mara madeni siyo yangu, mara madeni yanalipwa na fastjwt plc, watalipate na,wameshakuuzia msala na wameondoka?!
Alidhani kuhamia ccm kungembeba. Siasa na biashara ni vitu viwili tofauti.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kaingizwa mkenge vibaya. Mno... Waswahili husema za mkwezi mbili...
Being a lawyer haijamsaidia kwakuwa yeye sio competitive lawyer

Jr[emoji769]
 
Siandiki masimango! Sio hulka yangu... Hadhira hushangilia anguko la mtu kuliko mafanikio yake.... Washindwa wengi ndio huwa wa kwanza kunyoosha vidole vya lawama, kejeli, matusi, dharau nknk... Utawasikia wakisema kiko wapi sasa.... Hii ndio hulka za washindwa, wale wenye roho za kwanini....! Ndio maana daima ukitaka mafanikio learn from the best....!!!
Masha anapitia katika kikaango cha moto... Na hadhira isiyo na jema imeanza kumnyooshea vidole kila kona....

Kuna jambo kubwa sana la kujifunza katika maisha ya huyu bwana! Elimu bora, akili kubwa, kupambana, ngekewa, upigaji, mitandao iliyonyooka na mahitaji ya nyakati
Masha ni mmojawapo wa vijana waliosoma nje ya nchi kisha kurudi kufanya kazi nyumbani.. Kwa mtazamo tu wa maramoja unaona kabisa ni mtu mwenye kiu ya kupata zaidi na zaidi (tamaa ya wengi hii), bila kujali unapataje... Kwakuwa the end justifies the means!!
Pengine udogoni alitamani kusomea kingine ama la, lakini aliona future iliyoko kwenye sheria na akaingia huko kwa nguvu zote.... Japo sina hakika sana kama ni mwanasheria makini, mahiri na mweledi....

Masha si mwanasiasa... Siasa ni kipaji kinachohitaji uzushi, uongo na ndimi nyingi.. Masha ni mwanasheria mpambanaji kimjini, mpigaji kupitia fani yake... Mahitaji ya nyakati kupitia utawala uliokuwepo, mitandao na mamlaka zenye maamuzi, vilimbeba yeye na wenzake mpaka kuweza kutengeneza kampuni ya mawakili na wanasheria yenye nguvu sana (IMMA ADVOCATES)
Kampuni hii ikapata kazi kubwa kubwa za serikali zenye pesa nyingi kwenye malipo, fidia na ndani na nje ya nchi... Lakini taratibu kwa kule kujihusisha na serikali, kampuni ikaanza kuachana na maadili ya taaluma na kuanza kuingiza ama kuchanganya taaluma na siasa.... Unajua mwisho wa siku unaangalia unapata nini kwenye nini (kwahiyo kimaisha sio kosa, labda kitaaluma na kimaadili)
Nyota yake sasa ikiwa inang'aa hasa katika maisha na kuelekea kilele cha mafanikio, katika hali iliyowangaza wengi akaingizwa kwenye siasa na kuukwaa uwaziri wa mambo ya ndani... Bwana mdogo tu, pesa ipo elimu? Ipo, na kwenye siasa yupo... Kila mtu angetamani kuwa kama yeye...

Wakati si milele... Wakati hausimami kamwe unatembea... Mahitaji ya nyakati yakaleta ukomo wa madaraka kwa waliong'arisha nyota yake... Kama nilivyotangulia kusema huyu si mwanasiasa.... Hivyo changamoto za taaluma hii mpya ya siasa akashindwa kuzikabili... Fitina uzushi majungu nk, vikamfungashia virago na kutimkia upinzani
Mambo hayakuwa mazuri sana huko ugenini... Huyu kazoea kuwa juu muda wote, kutoa amri na kutuma... Huku ugenini alipwaya na nyakati zikawa zinabadilika kwa kasi.... Biashara zikaanza kuyumba... Taaluma ya sheria akiwa kaipa kabisa kisogo akaamua kutubu na kurudi nyumbani, lakini si kwamba anaipenda siasa na vyama vyake la hasha... Ni mpigani mpambanaji anayeangalia fursa

Amerudi nyumbani hakunogi tena kama zamani, nyakati si rafiki tena! Hakuna lobbing tena na kupanga mikakati huku mnafyonza vikali vya bei mbaya... Mitandao yote imepigwa pini.... Ni dakika hizi za lala salama anapojaribu kusimama kwa miguu yake mwenyewe... Ndio anagundua kuwa kina ni kirefu kuliko alivyofikiri....
Ametengeneza LEGACY yake... Ni mfano wa kuigwa pia hasa kwenye kutimiza ndoto... Hata akiwa chapombe saivi ni sahihi kwa haya anayopitia... Tusimbeze bali tujitafakari kama tunaweza nasi kupitia njia aliyopitia
Dunia ni hadaa ulimwengu ni shujaa

Jr[emoji769]

Ila kumtoa huyu jamaa pale Nyamagana ilikuwa ni vita kwelikweli.

Vipi kule Tanga Cement bado ni mwenyekiti wa bodi?

Pia atakuwa bado ni mwenyekiti pale Ecoprotection na kule Gabriel & Co, Attorneys at Law

Si haba.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kaingizwa mkenge vibaya. Mno... Waswahili husema za mkwezi mbili...
Being a lawyer haijamsaidia kwakuwa yeye sio competitive lawyer

Jr[emoji769]
Hahaha kumbe huwa wanatudanganya sisi kwamba huwa tunashindwa kwasababu hatusomi fine prints kumbe na wao hawasomi hizo fine prints.
 
Kuna Mwanamke mmoja wa Kichagga alikuwa anaishi Kawe na sasa anaishi Mbezi Afrikana ( Jina lake nalihifadhi ) aliwahi kuniambia alichomfanyia huyu Jamaa baada ya Jamaa Kumtongoza, Kumsumbua na Kutishia Kumfukuzisha Kazi katika hiyo Hotel maeneo ya Baharini ambapo Dada huyu alikuwa ni Receptionist hapo hatokuja Kukisahau na ilibaki kidogo tu angemchafua katika Media ila aliamua tu Kumtunzia Heshima yake. Hilo la Wake za Watu nakuunga mkono kwa 100% zote Mkuu. Naomba niishie hapa tafadhali.
GT GENTAMYCINE ni PM basi story yote ya demu wa kichagga. Halafu kuna siku hapa ulichangiaga kigogo flani akiingiaga jumba flani zuri jeupe kawe mbezi beach kanuna akitoka anafurahiii ndiye huyu??

Please inform me
 
Ila kumtoa huyu jamaa pale Nyamagana ilikuwa ni vita kwelikweli.

Vipi kule Tanga Cement bado ni mwenyekiti wa bodi?

Pia atakuwa bado ni mwenyekiti pale Ecoprotection na kule Gabriel & Co, Attorneys at Law

Si haba.
Duu kote huko yuko?

Jr[emoji769]
 
We have the worst lawyers in Tanzania... Wengi wametuingiza mkenge

Jr[emoji769]
Hahaha poleni sana. Lakini kunasheria za kumlinda mteja ikiwa ataona wakili wake hamsaidii ipasavyo. Na unawrza kumshitaki kwenye chama chao akikutwa na kosa la makusudi anaweza nyang'anywa leseni.
 
We have the worst lawyers in Tanzania... Wengi wametuingiza mkenge

Jr[emoji769]
Kibatala?
Mpk ujue kesho,ye smart tu maneno meengi na ushirikiano na serikali,polisi,mahakama anao.
We utasema wakili,mwenzio yuko game
 
Hahaha poleni sana. Lakini kunasheria za kumlinda mteja ikiwa ataona wakili wake hamsaidii ipasavyo. Na unawrza kumshitaki kwenye chama chao akikutwa na kosa la makusudi anaweza nyang'anywa leseni.
Not in this country bro... Wafaidikaji ni wengi kwenye kila pigo... Tena wazito

Jr[emoji769]
 
Sijui Masha siku hizi ni mtu wa namna gani; ila miaka ya themanini wakati akiwa mwanafunzi wa sheria pale UDSM alikuwa mtu mnyenyekevu sana na mwenye maadili ya hali ya juu sana.

Wakati huo wengi tulidhani kuwa ni mmarekani kwa vile alikuwa akiongea kiingereza cha kimarekani vizuri sana huku akiwa anajifunza kiswahili.

Transformation aliyopitia hadi kuwa na hiyo tabia ya ya sasa inayoongelewa inashangaza sana kwa waliomjua enzi zile.
 
Sijui Masha siku hizi ni mtu wa namna gani; ila miaka ya themanini wakati akiwa mwanafunzi wa sheria pale UDSM alikuwa mtu mnyenyekevu sana na mwenye maadili ya hali ya juu sana. Wakati huo wengi tulidhani kuwa ni mmarekani kwa vile alikuwa akiongea kiingereza cha kimarekani vizuri sana huku akiwa anajifunza kiswahili.Transformation aliyopitia hadi kuwa na hiyo tabia ya ya sasa inayoongelewa inashangaza sana kwa waliomjua enzi zile.
Pata pesa tujue tabia yako, kosa pesa tuone madhaifu yako

Jr[emoji769]
 
Kiukweli huyu jamaa ukiweza kukaa nae Karibu ni mtu Poa na amesaidia wenye shida wengi.

Sasa anapitia kipindi Cha wingu la ukata linalompitia kila mmoja wetu.

Dada yetu wenyewe walikuwaga wanamshobokea hili ndio tatizo la wasichana wa kibongo hela ya mwanaume anaipenda kutoa kwichi kisanii.

Sent using Jamii Forums mobile app
Waliosaidiwa wote leo kimyaaa

Jr[emoji769]
 
Back
Top Bottom