Uchaguzi 2020 Lazaro Mambosasa ametoa tamko kwa wanaopanga kupinga matokeo ya Urais

YANA MWISHO HAYA.
Mzee wa malofa yupo wapi?

Hata wewe pia yatakukuta.ni suala la muda tu. No one is safer as long as una Uhai, my friend you are heading to it . TAFAKARI.
 
Bora ufe ukiwa raia .
Kuliko kufa ukiwa na damu za watu mikononi mwako..
Ubabe una mwisho .Hitler yupo wapi?
Ishu na watu vizuri uje ukumbukwe baadae.
Mzee wa malofa nani anayemkumbuka?
Hata wewe pia yatakukuta.ni suala la muda tu. No one is safer as long as una Uhai, my friend you are heading to it . TAFAKARI.
 
Ww si mtu wa mamlaka, probably hujamaliza shule au umemaliza juzi juzi, au ni polisi/mgambo/kuruta.

Hatahivyo upo sahihi, watu watulie tuendelee kufurahia maisha pamoja na changamoto zilizopo.

Kwa wale wenye hasira sana wawaambie wake/rafiki zao wasonge ugali mkubwaa wale na mboga za majani na maji mengi, inasaidia sana.
 

Vyema.
 
Bora ufe ukiwa raia .
Kuliko kufa ukiwa na damu za watu mikononi mwako..
Ubabe una mwisho .Hitler yupo wapi?
Ishu na watu vizuri uje ukumbukwe baadae.
Mzee wa malofa nani anayemkumbuka?

Akumbukwe ili iweje au itamsaidia nini? Hakuna mantiki yoyote.

Tulieni Majumbani na Mfanye kazi kwa Bidii. Itoshe kusema hivyo.
 
Huyu ni kati ya watu wa hovyo kuwahi kutokea katika jeshi la polisi, hana weledi kabisa, mdomo wake huwa unahara
 
Mtoto wa nyani aliona vichaka vinaungua akawa anaruka na kushangilia ilipofika jioni ndio akajua hana pa kulala.
 
Anashindwa kujua hata kwenye kupigania uhuru, wazee wetu walisacrifice maisha yao mbele ya mkoloni ndio maana tukapata uhuru, the same has to be done ili kuondokana na utawala huu wa kijinga kuwahi kutokea
Mbona wako too defensive, kuna kitu wanaogopa.
 
Mbona wako too defensive, kuna kitu wanaogopa.
Mtu mwenye akili timamu lazima aogope, watanzania wote hawajaridhika na matokeo, huzuni, hasira na chuki vimetawala na hii itasababisha bomu kubwa ndio maana unaona thread za kumwambai Lissu akubali matokeo zimezidi humu
 
Kwani mtaandamana lini? Mkuu
Vipi jombi? Wewe ndiyo mamboleo kwenye ubora wako wa kukusanya taarifa za kintelijensia? Unataka tarehe?

Za mwizi 40. Kama mlidhani ipo nyingine bado mjue imekula kwenu, ya forty ndiyo hiyo imeshagota.

Mnaposimama sasa hivi nyie adversaries. Nothing more nothing less.

Subirieni stahiki zenu.

Endeleeni kujifariji na hasa kujitekenya na kujichekesha.
 
Mambo sasa angetulia kwanza.Tatizo kubwa la polis wetu kukurupuka..

Hamna cha kutulia, hao wajinga ni kuambiwa ukweli tu, wakiingia barabarani wanatandikwa virungu waende kupiga picha kuwaonyesha mabwana zao USA na wake zao, baada ya hapo huu ujinga utakoma.
 
Tusitishane hakuna dola itakayoua mamia ya wanachi wake.
Hakuna mamia wa kuandamana, mkiandamana mnatandikwa virungu tu kesho yake hakuna ujinga utakao endelea. Mkimaliza msisahau kuwatumia picha USA mabwana zenu.
 
Mtu mwenye akili timamu lazima aogope, watanzania wote hawajaridhika na matokeo, huzuni, hasira na chuki vimetawala na hii itasababisha bomu kubwa ndio maana unaona thread za kumwambai Lissu akubali matokeo zimezidi humu
Eti nini 'Watanzania wote'? You must be kidding!!! Karibu90% ya watanzania tumeonesha maamuzi yetu kupitia kura zetu kwa JPM. Tafadhali usitumie hilo neno. Heshimu maamuzi yetu
 
Viongozi wa juu wa ACT Wazalendo na CHADEMA Kesho, Jumamosi, Oct 31, watazungumza na vyombo vya habari saa nne asubuhi. Watakua Makao Makuu ya CHADEMA Kinondoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…