Lazaro Nyalandu arudi rasmi Chama cha Mapinduzi akitokea CHADEMA

Hahahahaaaaa wimbo umekuwa mgumu sana kuuimba kule kwa wahuni wa kisiasa nyumbani kutamu bwanaa karibu nyarandu na wengine wataelewa tu hata mbowe karibu CCM
 
Hata kavideo mpepo!
 
Kuunga mkono juhudi kumbe hakujaisha!
 
Siyo wa kumuamini, huenda anamission fulani hivi, wanatakiwa kumuangalia kwa jicho la ziada. Huyo fisadi siyo wa kumuamini hata kidogo.
Huyo ashawakuwa compromised
 
Walichukuliwa na bwana gani?
Kwasasa huyo bwana wamemwacha wapi?
 
Funny enough almost all politicians are hungry, as such, "as dangerous as lions". With any politician, there is always a price tag...
 
Aliyekuwa Waziri wa Maliasili na Utalii Lazaro Nyalandu ametangaza rasmi kurejea CCM mbele ya Rais wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM Taifa, Samia Suluhu kupitia Mkutano Mkuu Maalum wa CCM Dodoma leo, akitokea CHADEMA.

Chadema haitatetereka kwa kuondoka kwa watu kama huyu wala kwa kuondoka awaye yote.

Chadema ni movement ya wenye imani zao kuhusiana na haki na usawa. Katiba muafaka, haki na maendeleo ya watu ni misingi ya imani ambazo zitaendelea kuishi milele with and without everyone.

Au nasema uongo ndugu zangu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…