Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa sindio maana amerudi maana huyo Magufuli hayupo tena.Mara hii?
Si mlisema hataki kumramba miguu Magufuli?
Kwani kuna mtu anashikikiwa at gunpoint huku Chadema?watarudi wote tu tatizo CDM hawasomi mambo ya nyakati.wanatakiwa kuwa fexible na siyo rigid.wakubali tu kubadilika.dunia inabadilika kwa kasi nao yawapasa kubadilika pia.
Mkuu, jipange jinsi ya kuanza kumshambulia Nyarandu.Nyie nguruwe wa CCM si ndiyo mlisema kuwa huyu ni mhujumu uchumi kwa kuuza Twiga wetu? Au hukumbuki Kigwangwala alisema atamshitaki huyo Nyalandu kwa kuuza Twiga wetu? Huyu tunajua alikuja Chadema kuomba hifadhi ya kisiasa akikimbia ukatili wa Magufuli, sasa ameona ni salama kwake kurudi huko kwa vile mtesi wake hayupo tena duniani hatuna neno naye tunamtakia maisha mema. Swali jee azma yenu ya kumfungulia mashata ya uhujumu uchumi kwa kuuza Twiga wetu bado ipo? Tunawatakia mashataka mema.
Tushampuuza huyu dogo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndio maana huwa anademka sana kumbe.
Juzi tu walisema nyarandu fisadi sio mzarendo leo wanaongea ujinga ujingaUmeonaeeeeeeeeeee!!!!
Hao wote walikimbia udikiteeta uliokuwa umeshamili ndani ya chamaUpo slow sana, kama hadi sasa hujagundua Tanzania hamna uhusiana wowote kati ya vyama vya siasa na sera ingekuwa hivyo EL, Nyalandu na wenzao wasingekaribishwa CDM ama kudhubutu kurudi CCM.
Alafu wanashangilia kama mazuzu tuJuzi tu walisema nyarandu fisadi sio mzarendo leo wanaongea ujinga ujinga
Si unajua yeye na Mama ndiyo viongozi pekee wa CCM waliokwenda kumjulia hali Tundu Lissu alivyopigwa risasi, they have something in common. Walichukizwa na kukerwa na ukatili wa mwendazakeNyalandu naona ameona kuna fursa anaweza ipata kwa kutokuwepo kwa Mwendazake
Hawa ndio wale malaya Mwalimu Nyerere aliwaona kabla hajafa.Ndivyo ninavyosikiliza hapa nikiwa Live kutoka Dodoma.
===
Lazaro Nyalandu amerejea CCM akitokea CHADEMA. Amerejea Aprili 30 katika Mkutano Mkuu Maalum wa CCM ulifanyika Dodoma.
Nyalandu aliwahi kuwa mtia wa kugombea urais kupitia Uchaguzi Mkuu 2020 kupitia CHADEMA. Ambapo katika hotuba yake ameshukuru kwa kumpokea.
Kabla ya kurejea CHADEMA, Nyalandu alikuwa ni Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Kati
Amesema katika nchi ya Ugenini wimbo hauimbiki.
Unaafiki haujawahi kuisha!!Watanzani tunajifunza nini kwa wanasiasa kama hawa?
Kamanda vipi?Alafu wanashangilia kama mazuzu tu
We mtu wewe!!Kwa sasa Sugu ndiye tajiri pekee aliyebakia Chadema!
Kwahiyo sasa hivi Nyarandu unamtafsiri vipi?Sasa sindio maana amerudi maana huyo Magufuli hayupo tena.
Hujielewi!Hao wote walikimbia udikiteeta uliokuwa umeshamili ndani ya chama
Mmeshindwa kuwa na taasisi Imara halafu unadhani katiba ndiyo ije iimarishe Chama chenu?Upinzani utakuwa na maana pale tutapata katiba mpya, reform ya sheria zinazohusiana na siasa na chaguzi, watu kuwa na vipato binafsi huru na upinzani utakapoacha kuchukua makapi.
Mkuu, Nyarandu kuhamia na kupewa vyeo chadema hakuhusiani na ubovu wa katiba yetu.Upinzani utakuwa na maana pale tutapata katiba mpya, reform ya sheria zinazohusiana na siasa na chaguzi, watu kuwa na vipato binafsi huru na upinzani utakapoacha kuchukua makapi.