mtayeshelwa
JF-Expert Member
- Oct 28, 2011
- 1,170
- 390
Siasa za bongo zina utofauti mkubwa sana na nchi nyingine.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna haja yeye,ajae kimya tuAliyekuwa mwenyekiti wa CHADEMA kanda ya kati na mjumbe wa kamati kuu ya chama hicho mh Nyalandu kesho 3/5/2021 asubuhi atazungumza na taifa kupitia kipindi cha Clouds 360 kinachorushwa na runinga ya Clouds.
Wananchi wote mnaombwa kufuatilia ili muyselewe madhaifu ya upinzani na hasa Chadema na kwanini CCM itaendelea kutawala kwa miaka 50 ijayo.
Maswali na hoja zenu zitajibiwa na mwanasiasa huyu nguli na aliyetegemewa sana na Chadema.
Kazi Iendelee!
Naona hii siasa ya Tanzania ni Sayansi kimuSiasa ni sayansi bwashee, ngoja tumsikilize kwanza.
Mwamba haambilikiKwa nini hayo madhaifu asingewaambia hao CHADEMA kabla ya kutoka huko ili kuwapa mbinu za kuwakabili wapinzani wao, mpaka asubir abadili Chama zen ayaanike hadharani?? Yatasaidia nini?
Asituchoshe!
Huyu naye! Kama anadai upinzani ni dhaifu si aanzishe chama chake ambacho kitakuwa imara badala ya kulamba matapishi yake kama alivyofanya kwa kurudl kwenye chama alichohama na kukishif??!!Aliyekuwa mwenyekiti wa CHADEMA kanda ya kati na mjumbe wa kamati kuu ya chama hicho mh Nyalandu kesho 3/5/2021 asubuhi atazungumza na taifa kupitia kipindi cha Clouds 360 kinachorushwa na runinga ya Clouds.
Wananchi wote mnaombwa kufuatilia ili muyselewe madhaifu ya upinzani na hasa Chadema na kwanini CCM itaendelea kutawala kwa miaka 50 ijayo.
Maswali na hoja zenu zitajibiwa na mwanasiasa huyu nguli na aliyetegemewa sana na Chadema.
Kazi Iendelee!
Hongera kwa kuja meku!Uharo mtupu ulioweka hapa
Kwan wakat mnampokea aliwaambia nini kuhusu ccmKabla ya kuongelea hayo atueleze kilichomtoa CCM na kuhamia Chadema.
Ataongea nini ambacho watangulizi wake hawajaongea?Aliyekuwa mwenyekiti wa CHADEMA kanda ya kati na mjumbe wa kamati kuu ya chama hicho mh Nyalandu kesho 3/5/2021 asubuhi atazungumza na taifa kupitia kipindi cha Clouds 360 kinachorushwa na runinga ya Clouds.
Wananchi wote mnaombwa kufuatilia ili muyselewe madhaifu ya upinzani na hasa Chadema na kwanini CCM itaendelea kutawala kwa miaka 50 ijayo.
Maswali na hoja zenu zitajibiwa na mwanasiasa huyu nguli na aliyetegemewa sana na Chadema.
Kazi Iendelee!
Msikilize kesho utakijua!Ataongea nini ambacho watangulizi wake hawajaongea?
Wacha tumuone kesho kama ataweza kuitunza heshima yake ama lah, so far amejitahidi sema tu shetani kampitiaNje ya mambo ya siasa huyu mwamba namkubali sana
Ova
Amkimbie jiwe kwa kwenda chadema? Kwani ni nje ya nchi? Kwa uchafu aliokuwa nao huyu jamaa, kwenda upinzani ilikuwa ni ticket ya Dpp kupewa maagizo. Lakini hakuguswa wala hata traffic kumsumbua bus lake kipindi anagombea. Huyu alitegeshwa awe 'lowasa', sema cdm walikuwa na hesabu nyingine.Nyalandu Hana jipya.Ccm aliondoka kumkimbia jpm.Huo ndo ukweli.Mengine Ni uwongo mtupu.Wapinzani Wana mapungufu yao, Ila kikubwa wanakwamishwa kwa chama dola ccm na kukosekana kwa tume huru.Yaliyofanyika uchaguzi mkuu mwaka Jana yanajulikana.Mnyonge mnyongeni, haki zake mpeni
Unaumwa wewe, kilichomuweka 5yrs ni kituo gani?muyselewe madhaifu ya upinzani na hasa Chadema na kwanini CCM itaendelea kutawala kwa miaka 50 ijayo