Lazaro Nyalandu ataongea na Watanzania kesho kuelezea udhaifu wa Upinzani kupitia kipindi cha Clouds 360

Lazaro Nyalandu ataongea na Watanzania kesho kuelezea udhaifu wa Upinzani kupitia kipindi cha Clouds 360

Wacha tumuone kesho kama ataweza kuitunza heshima yake ama lah, so far amejitahidi sema tu shetani kampitia
Si unajua mambo ya siasa tena
Ila tukimtoa na shuguli zake za kisiasa
Huyu mwamba mtu wa connection sana
Na miaka ya nyuma nyuma kabla ya uwazir nk,aliwapa watu connection sana
Scholarship,sisi wazamiaji wote tulinufaika

Ova
 
Mi nna maswali mawili,
1) yeye kama kiongozi imara kwa muonekano,ni kitu gani kinamfanya abadili vyama? Ni watu au misingi na sera za taasisi?
2) kwa vile tayari ameingia upinzani na kaona struggles na malengo ya upinzani, nini anatarajia ku-neutralize baina ya pande hizi mbili ya upinzani na utawala,yaani ni mambo gani anayokubalina nayo pande zote mbili alete pamoja ili kusaidia wanajamii.
 
Maswali mazuri kabisa, itategemea na Mtangazaji sema Watangazaji wa Clouds hawawezi kuwa Neutral, wataonyesha UKADA wao tu
 
Hapa ndipo ninapomheshimu Zitto Kabwe hata kama watu wanamuita Msaliti!!

Licha ya Zitto kuifahamu vizuri CHADEMA, huku akiondoka kwenye chama hicho kwa terms zisizofaa, lakini bado sikuwahi kumsikia Zitto akiizungumzia vibaya CHADEMA!

Lakini ajabu ya siasa, waasisi wa mijadala ya usaliti wa Zitto, wengi wao hivi sasa ama wapo CCM au wanakula pesa za CCM in one way or another!
 
Mi nna maswali mawili,
1) yeye kama kiongozi imara kwa muonekano,ni kitu gani kinamfanya abadili vyama? Ni watu au misingi na sera za taasisi?
2) kwa vile tayari ameingia upinzani na kaona struggles na malengo ya upinzani, nini anatarajia ku-neutralize baina ya pande hizi mbili ya upinzani na utawala,yaani ni mambo gani anayokubalina nayo pande zote mbili alete pamoja ili kusaidia wanajamii.
Mwana siasa yoyote ni mtu wa kubadilika mzee we subiri 2025 ifike kuna watu watakuja pinzani kama kawaida na watapokelewa tena

Ova
 
Mtu kama Nyalandu namheshimu halafu anaongea yote hayo juu ya upinzani. Alipewa uennyekiti kanda ya kwao. Akapewa nafasi ya kujinadi urais. Akapewa nafasi ya kugombea ubunge, ccm wakafanya yao. Alitaka nini tena?
 
Aliyekuwa mwenyekiti wa CHADEMA kanda ya kati na mjumbe wa kamati kuu ya chama hicho mh Nyalandu kesho 3/5/2021 asubuhi atazungumza na taifa kupitia kipindi cha Clouds 360 kinachorushwa na runinga ya Clouds.

Wananchi wote mnaombwa kufuatilia ili muyselewe madhaifu ya upinzani na hasa Chadema na kwanini CCM itaendelea kutawala kwa miaka 50 ijayo.

Maswali na hoja zenu zitajibiwa na mwanasiasa huyu nguli na aliyetegemewa sana na Chadema.

Kazi Iendelee!
Anaongea nini huyu jamaa aisee

Mbona tayari tumerudi kule kwenye siasa ucwhara za kuwapa hata wasaliti airtime

Watanzania tunataka maendeleo, sio kuwa agenda za wachumia tumbo
 
Kuwa mvumilivu bwashee!
Ina kera eroo
Nyalandu alienda mwenywe Chadema baada ya kunyanganywa kitalu cha uwindaji lake natron.
Juzi wame mrudishia kitalu ana jifanya kashindwa kuimba nyimbo za kule.
Kesho atuambie basi kahongwa ili arudi Ccm. Nachukia siasa za maji ya dampo.
 
Back
Top Bottom