mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Ng'ombe aliyekatwa mkia hatuna time naye!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si unajua mambo ya siasa tenaWacha tumuone kesho kama ataweza kuitunza heshima yake ama lah, so far amejitahidi sema tu shetani kampitia
Maswali mazuri kabisa, itategemea na Mtangazaji sema Watangazaji wa Clouds hawawezi kuwa Neutral, wataonyesha UKADA wao tuMi nna maswali mawili,
1) yeye kama kiongozi imara kwa muonekano,ni kitu gani kinamfanya abadili vyama? Ni watu au misingi na sera za taasisi?
2) kwa vile tayari ameingia upinzani na kaona struggles na malengo ya upinzani, nini anatarajia ku-neutralize baina ya pande hizi mbili ya upinzani na utawala,yaani ni mambo gani anayokubalina nayo pande zote mbili alete pamoja ili kusaidia wanajamii.
Utajibiwa kesho na Nyalandu!Hivi Man U mnakwama wapi??
Samahani lakini
Lazaro Nyalandu aliyerudi CCM kama kawaida yao, kesho asubuhi atakua Clouds, hata hivyo hajaweka wazi agenda anayokwenda nayo huko.
Unahisi ataongea nini? Na ungependa kumshauri nini?
View attachment 1771438
Sizitaki mbichi hizi!Ng'ombe aliyekatwa mkia hatuna time naye!
Mwana siasa yoyote ni mtu wa kubadilika mzee we subiri 2025 ifike kuna watu watakuja pinzani kama kawaida na watapokelewa tenaMi nna maswali mawili,
1) yeye kama kiongozi imara kwa muonekano,ni kitu gani kinamfanya abadili vyama? Ni watu au misingi na sera za taasisi?
2) kwa vile tayari ameingia upinzani na kaona struggles na malengo ya upinzani, nini anatarajia ku-neutralize baina ya pande hizi mbili ya upinzani na utawala,yaani ni mambo gani anayokubalina nayo pande zote mbili alete pamoja ili kusaidia wanajamii.
Makamanda uchwara wa ufipa usiku wa leo hawatapata usingizi.Amedai Chadema ni dhaifu sana!
Anaongea nini huyu jamaa aiseeAliyekuwa mwenyekiti wa CHADEMA kanda ya kati na mjumbe wa kamati kuu ya chama hicho mh Nyalandu kesho 3/5/2021 asubuhi atazungumza na taifa kupitia kipindi cha Clouds 360 kinachorushwa na runinga ya Clouds.
Wananchi wote mnaombwa kufuatilia ili muyselewe madhaifu ya upinzani na hasa Chadema na kwanini CCM itaendelea kutawala kwa miaka 50 ijayo.
Maswali na hoja zenu zitajibiwa na mwanasiasa huyu nguli na aliyetegemewa sana na Chadema.
Kazi Iendelee!
Malaya wa kisiasa khaAeleze sababu zilizomfanya atoke CCM na kuhamia Chadema hizi tabia za kimalaya malaya za wanasiasa zimetuchosha.
Hana jipya huyu mchumia tumbo Mkuu.
Kumbe!
Ina kera erooKuwa mvumilivu bwashee!
Ila hawa jamaa wametufunza pakubwa sanaHabari ya MUJINI ndiyo hiyo Mkuu.