Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwa msaada wa BASATA na wasanii wake [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
na sisi tukaona isiwe tabu ngoja tuvunje ngome
View attachment 1771961
Usimsingizie mama wa watu. Huyu hajatumwa na mtu yeyote, kwa wepesi wa siasa za Nyalandu hakuna wa kumtuma popote kufanya chochote. Huyo karudi tu akae karibu na jikoni apate kupewa chakula mapema.Katumwa na mama kama shariti la kupata uteuzi.
Anaandaliwa ubalozi hivyo unaropoka kama SlaaUsimsingizie mama wa watu. Huyu hajatumwa na mtu yeyote, kwa wepesi wa siasa za Nyalandu hakuna wa kumtuma popote kufanya chochote. Huyo karudi tu akae karibu na jikoni apate kupewa chakula mapema.
We kweli kimburu!Lazaro Nyalandu alimgaragaza Tundu Lisu kwenye kura za kamati kuu.!
Huyu mzee wa MIGA ,mwanasheria a Acacia anaaminika na nani sasa kama hadi kamati kuu anashindwa kura??
Kama kamati kuu Chadema walimkataa je vipi kura za ubunge, chadema ndio pia walimfelisha kwenye ubunge?"..Nyalandu alipata 100 wajumbe walikuwa 30 nilipata kura zote Tundu Lissu alipata kura 24 nilimgalagaza kweli kweli" . Ebu nieleweshe hii hesabu.
Hili jamaa kumbe bwabwa hivi,tungejua mapema tungelipakuwa kabla halijarudi hukoWe kweli kimburu!View attachment 1772092
Unategemea maswali gani wakati chombo chenyewe kinajikomba na kashfa ya milioni 600, pili yule mkenya atauliza maswali magumu afutiwe kibali cha kazi?Kama kamati kuu Chadema walimkataa je vipi kura za ubunge, chadema ndio pia walimfelisha kwenye ubunge.
Waansishi wetu wa habari nao wakati mwingine ni utopolo
Yaani anajiona wa kupimana ubavu na lissuNYALANDU HANA NGUVU NA HAKUA NA NGUVU YA KUMSHINDA LISSU.
UPEPO WA LISSU HATA MAGUFULI NA VYOMBO VYAKE VYA USALAMA, WALIUOGOPA
Kumbe pamejaa makanjanja na uzamiaji ndani yake.Unategemea maswali gani wakati chombo chenyewe kinajikomba na kashfa ya milioni 600, pili yule mkenya atauliza maswali magumu afutiwe kibali cha kazi?
Farhia ni mbongo huyo mkenya wa 360 hawezi uliza maswali magumu atafukuzwaKumbe pamejaa makanjanja na uzamiaji ndani yake.
Mwandishi ninaemuona anajielewa na kujiamini kwa asilimia kubwa ni Farhia Middle.
Anauliza maswali fikirishi
Kachukue fomuNadhani Mbowe amechoka, apumzike. Tatizo ukimtaja Mbowe CDM watakurushia mawe hadi chupa za bia.
Kwani Mbowe ndio pekee anaweza kuwa mwenyekiti wa chama? Kwa nini asije mwingine mwenye vision tofauti?
Wanasema wakimpa mwingine atauza chama.Nadhani Mbowe amechoka, apumzike. Tatizo ukimtaja Mbowe CDM watakurushia mawe hadi chupa za bia.
Kwani Mbowe ndio pekee anaweza kuwa mwenyekiti wa chama? Kwa nini asije mwingine mwenye vision tofauti?
Huijui ccm na haujafuatilia siasa za nchii hii na upinzani tafiti kwa nini mbowe utajua?Kachukue fomu
Hapa bongo kuna makanjanja kibao.Farhia ni mbongo huyo mkenya wa 360 hawezi uliza maswali magumu atafukuzwa
Ungejuaje sasa wakati ubongo wako anao MboweHili jamaa kumbe bwabwa hivi,tungejua mapema tungelipakuwa kabla halijarudi huko
makanjanja ni wengi kwenye tasnia hiyoHapa bongo kuna makanjanja kibao.
Kuna mmoja wa Star TV anaendesha kipindi chake ambacho kimepoteza muelekeo. Anatia aibu
Hivi juzi amemtetea Kasesela bingwa wa lugha chafu
Anawakilisha makanjanja
Unaonaje lakini baada ya meko kufariki chama kimepata jembe lingine fasta tu.Corona inaakili sana imempiga meko muuaji kafa chapuuu...mungu ni fundi