Lazaro Nyalandu: Tatizo kubwa la CHADEMA ni Uongozi wa juu, CCM imejaliwa mfumo

Lazaro Nyalandu: Tatizo kubwa la CHADEMA ni Uongozi wa juu, CCM imejaliwa mfumo

Katumwa na mama kama shariti la kupata uteuzi.
Usimsingizie mama wa watu. Huyu hajatumwa na mtu yeyote, kwa wepesi wa siasa za Nyalandu hakuna wa kumtuma popote kufanya chochote. Huyo karudi tu akae karibu na jikoni apate kupewa chakula mapema.
 
Usimsingizie mama wa watu. Huyu hajatumwa na mtu yeyote, kwa wepesi wa siasa za Nyalandu hakuna wa kumtuma popote kufanya chochote. Huyo karudi tu akae karibu na jikoni apate kupewa chakula mapema.
Anaandaliwa ubalozi hivyo unaropoka kama Slaa
 
Lazaro Nyalandu alimgaragaza Tundu Lisu kwenye kura za kamati kuu.!

Huyu mzee wa MIGA ,mwanasheria a Acacia anaaminika na nani sasa kama hadi kamati kuu anashindwa kura??
We kweli kimburu!
Screenshot_20210503-141646_Twitter.jpg
 
"..Nyalandu alipata 100 wajumbe walikuwa 30 nilipata kura zote Tundu Lissu alipata kura 24 nilimgalagaza kweli kweli" . Ebu nieleweshe hii hesabu.
Kama kamati kuu Chadema walimkataa je vipi kura za ubunge, chadema ndio pia walimfelisha kwenye ubunge?
Waandishi wetu wa habari nao wakati mwingine hawahoji sijui nikwanimakusudi au hawawezi gani ni utopolo mtupu
 
Kama kamati kuu Chadema walimkataa je vipi kura za ubunge, chadema ndio pia walimfelisha kwenye ubunge.
Waansishi wetu wa habari nao wakati mwingine ni utopolo
Unategemea maswali gani wakati chombo chenyewe kinajikomba na kashfa ya milioni 600, pili yule mkenya atauliza maswali magumu afutiwe kibali cha kazi?
 
Kavua nguo badala ya kuchutama yeye kakimbilia mtaa wa kongo bila nguo. Mwambie aache ''ubinafsi''
 
NYALANDU HANA NGUVU NA HAKUA NA NGUVU YA KUMSHINDA LISSU.

UPEPO WA LISSU HATA MAGUFULI NA VYOMBO VYAKE VYA USALAMA, WALIUOGOPA
Yaani anajiona wa kupimana ubavu na lissu

Huyu hata angewekwa na Hilda Newton bado Hilda angeshinda [emoji1]

Magufuli mwenyewe ilibidi atumie mabavu Kama ungekuwa fair and free election Magufuli angekuwa the first one term president

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
 
Unategemea maswali gani wakati chombo chenyewe kinajikomba na kashfa ya milioni 600, pili yule mkenya atauliza maswali magumu afutiwe kibali cha kazi?
Kumbe pamejaa makanjanja na uzamiaji ndani yake.
Mwandishi ninaemuona anajielewa na kujiamini kwa asilimia kubwa ni Farhia Middle.
Anauliza maswali fikirishi
 
Magu mwenyewe kila eneo alikuwa analia watanzania wanampa term moja tuu kwa musiki wa Lissu yeye angeweza wapi?
 
Kumbe pamejaa makanjanja na uzamiaji ndani yake.
Mwandishi ninaemuona anajielewa na kujiamini kwa asilimia kubwa ni Farhia Middle.
Anauliza maswali fikirishi
Farhia ni mbongo huyo mkenya wa 360 hawezi uliza maswali magumu atafukuzwa
 
Nadhani Mbowe amechoka, apumzike. Tatizo ukimtaja Mbowe CDM watakurushia mawe hadi chupa za bia.

Kwani Mbowe ndio pekee anaweza kuwa mwenyekiti wa chama? Kwa nini asije mwingine mwenye vision tofauti?
Kachukue fomu
 
Kuna point kaongea Nyarandu hapo kila siku huwa tunawaambia hawa bavicha hawataki kuelewa
 
Nadhani Mbowe amechoka, apumzike. Tatizo ukimtaja Mbowe CDM watakurushia mawe hadi chupa za bia.

Kwani Mbowe ndio pekee anaweza kuwa mwenyekiti wa chama? Kwa nini asije mwingine mwenye vision tofauti?
Wanasema wakimpa mwingine atauza chama.
 
Farhia ni mbongo huyo mkenya wa 360 hawezi uliza maswali magumu atafukuzwa
Hapa bongo kuna makanjanja kibao.
Kuna mmoja wa Star TV anaendesha kipindi chake ambacho kimepoteza muelekeo. Anatia aibu
Hivi juzi amemtetea Kasesela bingwa wa lugha chafu
Anawakilisha makanjanja
 
Back
Top Bottom