LBL: Pyramid Scheme Inayowatapeli Watu kwa Kisingizio cha Uwekezaji

Status
Not open for further replies.
Njooni FIC huku hakuna utapeli kampuni imesajiliwa yaani unabet kupigwa hamna
 
Umewahi ona you tube wanalazimisha ulete watu wa kujiunga?
Umejuaje kuwa wanalazimisha,kwanini wewe?wakati kila msanii anatangaza kuwa tembelea YouTube account yangu Kuna tofauti gani,kujenga team ni priority ya mtu,in my case najenga platform za muda 120 days 100 days.wakisepa na Kijiji poa,last year niliwekeza kwenye mitaji ya wakulima elnino ikaja hapo kati lakini mtaji ulirudi na mwaka huu Kuna mvua kidogo,hivyo ndivyo Dunia inaenda ,Haina utulivu kabisa. Hata TBL wako na hard time this time sababu watu hawana mapenzi na bia Tena wemebadiri mwelekeo wanapenda Serengeti product na product ndogondogo za take away,ni swala la muda tuu utajua kuwa AI inaleta vitu vingi vipya kama vile Ask na Chatgtp.Technology is running the world.
 
Hawa jamaa wajanja sana. Sio matapeli. Wanakwambia wanakupa faida 2% kwa siku alafu Hela yako wanaenda izalisha kwa at least 10%-15%. Wakiwa na hiyo mitaji yenu yote mliowakusanyia, kutengeneza 10% kwa siku sio issue. Sio wapigaji
Unaweza kunisaidia inavyowezekana kuzalisha asilimia kumi ya mtaji kwa siku.
 
Mpaka leo kuna Wajinga wanapigwa hela zao na utapeli huu wa DECI.
Kweli wajinga ndio waliwao
 
Wacha watapeliwe wao
Wakitapeliwa wewe unapata hasara gani?
Hata kama ni kweli ni kampuni ya kitapeli sidhani kama kuna unalolipoteza
Wacha watapeliwe watajifunza kupambana na yanayowahusu
We huna tofauti na mchawi
 
Kwa ufupi haya ni kweli ni makampuni ya kitapeli ,kwangu binafsi nimejiunga na LBL na F.I.C tangu mwaka jana na pesa niliyowekeza imesharudi sahivi nakula tu pesa zao na najua siku moja watasepa na kijiji hivyo nipo makini na sijaongeza pesa tena maana najua muda wowote watapotea.
 
SAWA, UMEELEWEKA.
HIYO MICHONGO YENU NINYI WAJANJA.
ENDELEENI KUPIGA MPUNGA BOSS.
 
Mkuu FIC ndo ikoje tukapigwe na huku
 
Unishtue mkuu, tuungane tuwapige.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…