Le Mutuz has done it again! Well done king of Bongo social media, Le bebez

Status
Not open for further replies.
Unaanzia wapi kumfatilia mtu kama le mutuz na mange kwa mfano??? Unajifunza nini kupitia watu hao!!!!
 
Huwezi kuwa litoto la kulelewa na mama wa kambo wewe loh!!!!!!!!! mtoto unavizia hadi man,dogo khaa!!!!!
Mama leo shuleni kuna kitu nimekula tumbo limeuma,nimeambiwa na mwl nije nyumbani unipe "maziwa",naomba nitulie mamaaa,ili nitoe sumu...ila watu wasione...
 
Mama leo shuleni kuna kitu nimekula tumbo limeuma,nimeambiwa na mwl nije nyumbani unipe "maziwa",naomba nitulie mamaaa,ili nitoe sumu...ila watu wasione...

Leo mzee hajaacha hela ya kula ivo usinisemeshe kabisa.

Hahahahaha!!!!!!!!!!!!!! Umenikumbusha LITTLE MAN
 
Leo mzee hajaacha hela ya kula ivo usinisemeshe kabisa.

Hahahahaha!!!!!!!!!!!!!! Umenikumbusha LITTLE MAN
Please check pm nimekutumia attachment ya cheque,kabla hujatoa nijulishe nijue unaenda bank gani.Nimekutumia pia free voucher ya Nakumaat.
 
Please check pm nimekutumia attachment ya cheque,kabla hujatoa nijulishe nijue unaenda bank gani.Nimekutumia pia free voucher ya Nakumaat.

Tatizo cheque yako tsh umeiba kwa baba, hv hapa baba ako kisha nipa cheque ya $.

Hizo hela zako kanunue visheti
 
mwanzilishi wa mada,hata wewe akili yako ni kama ya LEMUTUZ. Picha za yeye na mademu muda wote zimekufikisha mbali? Ptuuuuuuu...........
 
- Yaani page moja na nusu tayari viewers 3,500 thanks guy ndio maana ya big Celebrity, nipo busy sana no time for this uchaguzi ukiisha tutaonana tena ila not now kwa herini guys!!

Le Mutuz
 
- Yaani page moja na nusu tayari viewers 3,500 thanks guy ndio maana ya big Celebrity, nipo busy sana no time for this uchaguzi ukiisha tutaonana tena ila not now kwa herini guys!!

Le Mutuz

Msalimie Slaa
 
Mange Kimambi kwenye blogu yake ya U turn amewataja wauuza madawa ya kulevya wakubwa hapa Dar.

Miongoni mwa aliyewataja Ni mfadhili mkubwa WA Le Mutuz. Bwana huyu ambaye Mutuz hupenda kumuita Le Super Billionaire ndiye walikuwa wafungue nae radio na tv station.

Siku ya nne Leo mgombea ubunge huyo aliyeshindwa hajakanusha
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…