Hahaha polepole unachanganyikiwa aisee. Vipi nikutafutie tiketi ukasaidie?Nilicho kujibu ni sawa sababu hata Hezbullah wako kwenye serekali, wanapinga siasa za Saud Arabia. Europe na America kuingilia siasa za ndani za Lebanon. We kama hujui hayo basi huna akili serekali ya Lebanon imegawanyika katika sehemu tatu Wakristo, Sunni na Shia hawa ni Waislam. Kama hujui hayo basi wachana na siasa ya nchi usio ijua.
IshiiiiiiMbona US, Europe na Saud Arabia pia wanaingilia hata Iran ana haki.
Samahani! Wew ni Sunni au shia? Na huko middle East uko nchi gani ndugu?Wambie waote Hezbullah itabaki na wakijifanya ujuaji kumsikiliza US Lebanon itagawanyika nusu kule South Mashia na hicho kitu Israel hataki wala US sababu hawawezi kuwatumia wanafiki wao kina Saad Al Harir ambaye ni Sunni na Samir Jaajah na Samie Gamil ambao ni wakristo.
Huyo yuko Tandahimba huko,Samahani! Wew ni Sunni au shia? Na huko middle East uko nchi gani ndugu?
Basi lileeleweka. ndo maana viongozi wa Hezbollah wanauawa kama kuku. Kumbe usaliti upo ndani ya lebaanoni. Inaonesha Hezbolah haipendwi Lebanon.
Nani anaye kuambia kule South Lebanon yote ni mashia na North ni Sunni na Wakristo. Hao mashia walisha wambia nyie bakini North na sisi tubaki South au taigawe Lebanon, US akaona moto sababu hata kuwa na faida tena.
Kwani US, Europe na Saud Arabia wakingilia hakuna Shia wanao lalamika? Hio ni pressure ya US na Europe wanaitumia bada ya kuona Israel hawezi ingiza boots zake Lebanon, akabaki hata nusu siku ๐
Nani anaye kuambia kule South Lebanon yote ni mashia na North ni Sunni na Wakristo. Hao mashia walisha wambia nyie bakini North na sisi tubaki South au taigawe Lebanon, US akaona moto sababu hata kuwa na faida tena.
Kwani US, Europe na Saud Arabia wakingilia hakuna Shia wanao lalamika? Hio ni pressure ya US na Europe wanaitumia bada ya kuona Israel hawezi ingiza boots zake Lebanon, akabaki hata nusu siku ๐
Wambie waote Hezbullah itabaki na wakijifanya ujuaji kumsikiliza US Lebanon itagawanyika nusu kule South Mashia na hicho kitu Israel hataki wala US sababu hawawezi kuwatumia wanafiki wao kina Saad Al Harir ambaye ni Sunni na Samir Jaajah na Samie Gamil ambao ni wakristo.
Hezbolah ni magaidi hawatakiwi lebanon,wakopale kwa mkono wa iranBasi lileeleweka. ndo maana viongozi wa Hezbollah wanauawa kama kuku. Kumbe usaliti upo ndani ya lebaanoni. Inaonesha Hezbolah haipendwi Lebanon.
Tuko hapa Hezbullah hakuna nchi yoyote ile inaweza kuitoa Lebanon
Hukatazwi kuota hata US, Europe na Israel hawafikiri kama wewe wanajua wazi usalama wa Israel ni kufanya ceasefire na Hezbullah time will tell.Hizbollah ndani ya wiki moja itakuwa historia. Kwa Sasa hawana pesa Wala mawasiliano kila mtu anafanya la kwake.. ndio maana wanachapika kirahisi.
Israel wanaongeza askari kusini mean lebanon,maana kila siku tangu wameanza,hupata majeruhi walau 40Ngoja tuisafishe kusini ya Lebanon kwanza.
Fuatlia mambo vizuri,usiongozwe na umadhehebu,juzi tu chama cha kikristu lebanon kimetoa kauli dhidi ya hizbullahKwaiyo kusikia kauri kutoka kwa wazili mkuu ambaye ni suni iyo sio habari kwao Lebanon habari ingekuwa kaongea rais ambaye ni cristian ataivyo kwasasa Lebanon bado awana rais alikuwepo alimaliza muda wake na akuna mwengine kachukua iyo nafasi, rais w Lebanon upatikana kwa kupigiwa kura na bunge la Lebanon. Kwaiyo suni wao kama nilivosema uhonekana kama wanafiki na wanafadhiliwa na ulaya marekani lkn zaid wapo kwasasa kama kupambana na hezbollah ukisikia kauri kutoka wanasiasa w Lebanon wakiiponda hezbollah au Iran jua uyo mwanasiasa ni muislam w suni. Sio Shia au cristian sababu mmelewa alimikeni cristian na hezbollah Lao moja ikitokea vita ya kidini kama ile ya miaka 90 ujuwe hezbollah ndio itapiganab na masuni kwaniaba ya washia na kwaniaba ya cristian w kusini
Watajaa wapi zaidi ya eneo karibu na 'nchi yao'!?..eneo hilo ndiyo kuna adui yaoMossad wamejaa Azerbaijan+ kunaseem nilikosea juu pale.
Tatua tatizo la 'r' na 'l' mkuu, disgusting!!Kwaiyo kusikia kauri kutoka kwa wazili mkuu ambaye ni suni iyo sio habari kwao Lebanon habari ingekuwa kaongea rais ambaye ni cristian ataivyo kwasasa Lebanon bado awana rais alikuwepo alimaliza muda wake na akuna mwengine kachukua iyo nafasi, rais w Lebanon upatikana kwa kupigiwa kura na bunge la Lebanon. Kwaiyo suni wao kama nilivosema uhonekana kama wanafiki na wanafadhiliwa na ulaya marekani lkn zaid wapo kwasasa kama kupambana na hezbollah ukisikia kauri kutoka wanasiasa w Lebanon wakiiponda hezbollah au Iran jua uyo mwanasiasa ni muislam w suni. Sio Shia au cristian sababu mmelewa alimikeni cristian na hezbollah Lao moja ikitokea vita ya kidini kama ile ya miaka 90 ujuwe hezbollah ndio itapiganab na masuni kwaniaba ya washia na kwaniaba ya cristian w kusini