Lebanon yaishutumu Iran kwa kuingilia masuala yake ya ndani

Lebanon yaishutumu Iran kwa kuingilia masuala yake ya ndani

Nilicho kujibu ni sawa sababu hata Hezbullah wako kwenye serekali, wanapinga siasa za Saud Arabia. Europe na America kuingilia siasa za ndani za Lebanon. We kama hujui hayo basi huna akili serekali ya Lebanon imegawanyika katika sehemu tatu Wakristo, Sunni na Shia hawa ni Waislam. Kama hujui hayo basi wachana na siasa ya nchi usio ijua.
Hahaha polepole unachanganyikiwa aisee. Vipi nikutafutie tiketi ukasaidie?
 
Wambie waote Hezbullah itabaki na wakijifanya ujuaji kumsikiliza US Lebanon itagawanyika nusu kule South Mashia na hicho kitu Israel hataki wala US sababu hawawezi kuwatumia wanafiki wao kina Saad Al Harir ambaye ni Sunni na Samir Jaajah na Samie Gamil ambao ni wakristo.
Samahani! Wew ni Sunni au shia? Na huko middle East uko nchi gani ndugu?
 
Nani anaye kuambia kule South Lebanon yote ni mashia na North ni Sunni na Wakristo. Hao mashia walisha wambia nyie bakini North na sisi tubaki South au taigawe Lebanon, US akaona moto sababu hata kuwa na faida tena.

Kwani US, Europe na Saud Arabia wakingilia hakuna Shia wanao lalamika? Hio ni pressure ya US na Europe wanaitumia bada ya kuona Israel hawezi ingiza boots zake Lebanon, akabaki hata nusu siku 😄

Ngoja tuisafishe kusini ya Lebanon kwanza.
 
Nani anaye kuambia kule South Lebanon yote ni mashia na North ni Sunni na Wakristo. Hao mashia walisha wambia nyie bakini North na sisi tubaki South au taigawe Lebanon, US akaona moto sababu hata kuwa na faida tena.

Kwani US, Europe na Saud Arabia wakingilia hakuna Shia wanao lalamika? Hio ni pressure ya US na Europe wanaitumia bada ya kuona Israel hawezi ingiza boots zake Lebanon, akabaki hata nusu siku 😄

Hao Hizbulla waondolewe Lebanon wapelekwe Iran. Waiache Lebanon yenye amani.
 
Wambie waote Hezbullah itabaki na wakijifanya ujuaji kumsikiliza US Lebanon itagawanyika nusu kule South Mashia na hicho kitu Israel hataki wala US sababu hawawezi kuwatumia wanafiki wao kina Saad Al Harir ambaye ni Sunni na Samir Jaajah na Samie Gamil ambao ni wakristo.

Kusini gani?. Tunawaondoa kusini kwa nguvu ikiwezekana hata kwa nguvu. Muondoke kirusi nyie.
 
Hizbollah ndani ya wiki moja itakuwa historia. Kwa Sasa hawana pesa Wala mawasiliano kila mtu anafanya la kwake.. ndio maana wanachapika kirahisi.
Hukatazwi kuota hata US, Europe na Israel hawafikiri kama wewe wanajua wazi usalama wa Israel ni kufanya ceasefire na Hezbullah time will tell.
 
Umu mijinga mingi unachowaambia wao wanaangalia milengo yao kiimani basi ukweli awataki. Ipo ivi Lebanon wamewai kupigana na adui aliwachonganisha alikuwa zayuni Israel fake. Walipigana vita mbaya sana kati ya waislam suni na cristian kwaiyo mjuwe Shia awakupigana upande wa waislam ktk vita badala yake waliwasaidia cristian kwamisaada mbalimbali tangu ile vita wkt ule Shia aikuwa na jeshi bali walikuwa kidini zaid mgogolo ule Shia alijua chanzo ni nini Israel alikuwa nayy anatwaa maeneo ya Lebanon kwaiyo waache wapigane mm natwaa ardhi yao. Ndipo Shia ikaanza alakati za kijesh uku wakisapotiwa na cristian wa kusini ambao mkombozi wao alikuwa Shia kipindi chote tangu ile vita mfaam pia Shia Lebanon sio wengi lkn wanasapotiwa kukubwa na cristian wa uko kusini Shia ona hezbollah wanawabunge kati ya 30+ ktk bunge la Lebanon na wao ndio wanatoa spika w bunge. Jiulize nani anawapigia kura hezbollah jua na waislam wa kishia na cristian w kusini ndio wanaowapigian kura hezbollah. Cristian w kusini awawaoni hezbollah kama kitisho kwao bali ni waislam w suni ndio wanawaogopa nakuwaona hezbollah kama kitisho kwao rais w Lebanon anatokana na cristian rais yoyote w Lebanon anashaka na wala wasiwasi wowote na kuwepo na hezbollah badala yake upata amani kuwepo kwa hezbollah mana wanshilikia zaid kuliko waislam wa suni. Kijumla suni unaonekana kama wanafiki wanafadhiliwa kuleta migogolo ndani ya Lebanon waislam w suni wao utoa PM w Lebanon yani wazili mkuu w Lebanon. Sasa tuje kwenye maswali na majibu cristian ya bongo baadhi yao wanajitoa ufaamu au awataki kujua ukweli kuusu Lebanon hezbollah inavikosi vingi sio tu vyakijesh ktk hezbollah wapo wanajesh cristian na kila kikosi wapo cristian wakutosha kampuni za ulinzi wapo adi mabint w cristian wanashilikiana kulinda misikiti makanisa mashule mbalimbali yani wapo kitu kimojo kila seem lkn awa jehova w uku kwetu ndio umbumbumbu umewapalama. Nawao wameukumbatia usiwaponyoke.😂😂😂 wanadanganywa sana usiposifia mossad upati mibaraka😂😂 naishia kuwapa pole ile kazi ngumu mzigo wameubeba mzito sana. Tuwaonea uruma. weenzetu awa.,
 
Kwaiyo kusikia kauri kutoka kwa wazili mkuu ambaye ni suni iyo sio habari kwao Lebanon habari ingekuwa kaongea rais ambaye ni cristian ataivyo kwasasa Lebanon bado awana rais alikuwepo alimaliza muda wake na akuna mwengine kachukua iyo nafasi, rais w Lebanon upatikana kwa kupigiwa kura na bunge la Lebanon. Kwaiyo suni wao kama nilivosema uhonekana kama wanafiki na wanafadhiliwa na ulaya marekani lkn zaid wapo kwasasa kama kupambana na hezbollah ukisikia kauri kutoka wanasiasa w Lebanon wakiiponda hezbollah au Iran jua uyo mwanasiasa ni muislam w suni. Sio Shia au cristian sababu mmelewa alimikeni cristian na hezbollah Lao moja ikitokea vita ya kidini kama ile ya miaka 90 ujuwe hezbollah ndio itapiganab na masuni kwaniaba ya washia na kwaniaba ya cristian w kusini
 
Kuna watu watashangaa kujua ayo ya Lebanon., kabla ujamaliza kushangaa ongezea na ili chap Armenia vs Azerbaijan awa majilani wanyewe na pia majilani w Iran wanapigana vita mala kadhaa. Armenia ni cristian na Azerbaijan ni waislam wa kishia %90 Azerbaijan ni Shia lkn Iran anasapoti Armenia tangu vita vyamwanzo. Kwaiyo Iran akijua adui asa ni yupi mnafiki yupi anaungana na adui yako. Siwaachi ivi ivi endelea kusoma Azerbaijan kwan Iran awaelewani wapo na ukaribu na Israel kupitiliza massed wamejaa sana apo Azerbaijan Iran kukupitia drone yake yaupepelezi aligundua uwanja wakurukia ndege umejengwa Azerbaijan sio mbali sana n mpaka wa Iran kwenye misitu kumejegwa uwanja w ndege kwaiyo Iran anaiyona Azerbaijan asa utawala wao upo kwamaslai ya Israel mkisikia Iran anawaambia majilani zake yoyote ataonekana kasaidia Iwe Israel au USA kuishambulia Iran kupitia kwake chamoto atakiona jua macho zaid kayaelekeza kwa Azerbaijan sio warabu. Mana Azerbaijan ilipo Google maps utaoana Iran anawaiswasi zaid na Azerbaijan kuliko waarabu kwaiyo akichimba bit zaid anamlenga uyo Azerbaijan na wengine..
 
Kwaiyo kusikia kauri kutoka kwa wazili mkuu ambaye ni suni iyo sio habari kwao Lebanon habari ingekuwa kaongea rais ambaye ni cristian ataivyo kwasasa Lebanon bado awana rais alikuwepo alimaliza muda wake na akuna mwengine kachukua iyo nafasi, rais w Lebanon upatikana kwa kupigiwa kura na bunge la Lebanon. Kwaiyo suni wao kama nilivosema uhonekana kama wanafiki na wanafadhiliwa na ulaya marekani lkn zaid wapo kwasasa kama kupambana na hezbollah ukisikia kauri kutoka wanasiasa w Lebanon wakiiponda hezbollah au Iran jua uyo mwanasiasa ni muislam w suni. Sio Shia au cristian sababu mmelewa alimikeni cristian na hezbollah Lao moja ikitokea vita ya kidini kama ile ya miaka 90 ujuwe hezbollah ndio itapiganab na masuni kwaniaba ya washia na kwaniaba ya cristian w kusini
Fuatlia mambo vizuri,usiongozwe na umadhehebu,juzi tu chama cha kikristu lebanon kimetoa kauli dhidi ya hizbullah
 
Kwaiyo kusikia kauri kutoka kwa wazili mkuu ambaye ni suni iyo sio habari kwao Lebanon habari ingekuwa kaongea rais ambaye ni cristian ataivyo kwasasa Lebanon bado awana rais alikuwepo alimaliza muda wake na akuna mwengine kachukua iyo nafasi, rais w Lebanon upatikana kwa kupigiwa kura na bunge la Lebanon. Kwaiyo suni wao kama nilivosema uhonekana kama wanafiki na wanafadhiliwa na ulaya marekani lkn zaid wapo kwasasa kama kupambana na hezbollah ukisikia kauri kutoka wanasiasa w Lebanon wakiiponda hezbollah au Iran jua uyo mwanasiasa ni muislam w suni. Sio Shia au cristian sababu mmelewa alimikeni cristian na hezbollah Lao moja ikitokea vita ya kidini kama ile ya miaka 90 ujuwe hezbollah ndio itapiganab na masuni kwaniaba ya washia na kwaniaba ya cristian w kusini
Tatua tatizo la 'r' na 'l' mkuu, disgusting!!
 
Back
Top Bottom