Hahaha polepole unachanganyikiwa aisee. Vipi nikutafutie tiketi ukasaidie?Nilicho kujibu ni sawa sababu hata Hezbullah wako kwenye serekali, wanapinga siasa za Saud Arabia. Europe na America kuingilia siasa za ndani za Lebanon. We kama hujui hayo basi huna akili serekali ya Lebanon imegawanyika katika sehemu tatu Wakristo, Sunni na Shia hawa ni Waislam. Kama hujui hayo basi wachana na siasa ya nchi usio ijua.