Lecturers wanatumalizia dada na wadogo zetu

Shida yako ukimwi?je kama anatumia ndomu hapo unasemaje..halafu hao mabinti wenyewe hawasomi wantaka wafaulu..sasa wanafuli vipi kama hawasomi? And there its comes the lecturer..hata mimi siwaachi asee.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizi degree za chupi zinatusumbua sana huku maofisini kazi zenyewe hawawezi. Kutwa majungu na masafari tu ruhusa mwanzo mwisho matatizo ya kifamilia.
Na hata ninyi maofisini ni kuwavua wake na dada zetu chupi kutwa na wakati mwingine humo humo ofisini
Msiwalaumu walimu aka malecturers, wanafunzi wa kike wasiojitambua ndo wanaliwa wanaojitambua hata akisumbuliwa vipi anabaki kuwa na msimamo. Kama una demu au mke asikidanganye kuwa eti analazimishwa, kama ndivyo akatoe taarifa polisi na mhusika achukuliwe hatua.
Suala la wanawake kuliwa lipo kila eneo, halijaanza leo wala Jana, Mimi nilishuhudia mwalimu shule ya msingi akimtafuna mwanafunzi wake gesti, tumeshuhudia hata viongozi wa dini wakitafuna waumini.Ma-housegirl ndo usiseme.Bodaboda na abiria wa kike ni mwendo mdundo.ILA KAMA UNA SPECIAL CASE, ITOE HAPA AU KWA MAMLAKA ZINAZOHUSIKA.KAMA NI DEMU WAKO KALIWA, TULIA TAFUTA MWINGINE, ACHA SHOBO
 
Pisi kali zinapendelewa kupata kazi big 4 auditing firms soon after graduations.. huko ndipo wanapopata cpa kiurahisi, maana kuna majembe mengi yanawamezesha majibu ya maswali. Na ofisi za big 4 zinawapa sapoti ya kila mbinu ili wapate cpa haraka
Hizo big 4 firms ndio zipi kwa hapa bongo?

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
leta ushahidi. kama huna ushahidi acha kuchafua watu
 
Hayo mambo ua kuolewa utayajua wewe wenzako wanatafuta kumaliza chuo salama..bila kusoma..na sikuhizi wanakwambia aliolewa mam inatosha...wao ni mwendo wa kula ujana..wewe endelea na mapenzi ya kihindi na hauna pesa.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jambo la msingi ni kusoma, kama binti atakuwa mzembe atatumika mpaka anamaliza. Kama anajiona Lopez hata class haji mitego ya ma 'lecturer' itamsakama tu.
#Happy77
 
Mkuu speaking from experience hii sio suluhu. Wakati mwingine haya yanayoitwa rushwa ya ngono vyuoni kiuhalisia sio rushwa ya ngono bali ukosefu wa maadili kwa wahusika wote wawili. Watoto wetu hatupati nafasi ya kusema nao, hawana maadili tena. Kwao ngono ni jambo la kawaida ambalo anaweza kufanya na yoyote na wakati wowote. Imagine walinzi, madereva, na hata wafanya usafi wa taasisi hizi ni wanufaika wakubwa wa hawa vibinti.
Kama wapo waalimu wanaowala wala hawafanyi hivyo kwa sababu ya course work, wanawala katika mazingira ya kawaida sana ya binadamu wa kawaida. Hii ndio maana mara zote hizi kesi zimebaki kuwa hisia tu kwani huwa hazipati ushahidi hata pale zinapokwenda mahakamani.
Habari ya ngono ni janga kubwa kwa kizazi hiki sio kwenye taasisi za elimu tu, iko kila mahala; sokoni, kanisani, misikitini, majumbani, barabarani na kila mahali.
Na hawa watoto wanaoitwa wa chuo wako salama zaidi wawapo chuoni kuliko hayo maeneo mengine.
Suluhu ni mitihani na coursework na usahihishaji itoke nje ya chuo husika. Either chuo kingine au bodi maalum ya taifa ya mitiani vyuoni. Vyuo viwe vinafundisha tu na kutoa majaribio. Hapo lactures watakuwa hawana kisu cha kumtishia mwanafunzi.
 
Duu.
 
Yaani mtu anakufata sister nitafutie miso

Unamuuliza ya nini anakwambia imenasa [emoji28]

Yaani wanaume nawahurumia na hii generation mpo,

Wanatumia p2 kama panadol, badae wataanza kutafutana uchawi
Hizo P2 kuna mshkaji wangu anaishi nazo ghetto kwake yani yeye hiyo ni mojawapo ya package katika vitendea kazi. Mpaka leo hii anadai alishawahi tungisha mimba tatu ila hana mtoto hata mmoja
 
Umeandika uhalisia mtupu na hasa vyuoni ukiwa mgumu wanaume Wana mtandao mkubwa ku disco nje nje kwa sababu za kijinga. Wanaume msilaumu wanawake bana tunapitia mengi ni neema tu ya Mungu hutuvusha aisee kitu haki yako lakini Hadi upate lazima uzalilike kimwili na kihisia na hata huko makazini ni hvo hvo
 
Bahati yangu mbaya sikupata GPA ya 3.8 Bachelor. Ningeutafuta ulecturer kwa nguvu zote kufaidi hawa watoto.
 
Suluhu ni mitihani na coursework na usahihishaji itoke nje ya chuo husika. Either chuo kingine au bodi maalum ya taifa ya mitiani vyuoni. Vyuo viwe vinafundisha tu na kutoa majaribio. Hapo lactures watakuwa hawana kisu cha kumtishia mwanafunzi.
Udsm kwa post graduate dissertation husaishwa na internal na ma extrnal hata external alikupa marks nzuri wa ndani wanabana na kukusumbua na wao huteteana Sana, in short ngono chuoni na makazini hupunguza ufanisi mkubwa
 
Kuna Prof mmoja, msabato, chuo kikuu Fulani analamba vibint Kati ya miaka 19-22 zaidi ya hapo hapana.
 
Kwani degree na kiingereza vinahuusiano gani.. basi wananchi wate wa uwingereza wanadegree wale..

Hili ni swala la kimaadili zaidi na halihusiani na lugha.
 
Kwote umeongea vizuri, but kwenye kingereza hapo why kitumike ku judge ability ya mtu? Tena yule aliyekijulia secondary?
Kwasababu bila kujua kiingereza huwezi kufaulu chuo kikuu. Research uliandikaje mkuu bila kujua kiingereza?
 
Why Kingereza mkuu....!nikikutana na binti hajui Kingereza sawia nijue....vipi kuhusu wavulana!
Hapo kwenye kiingereza inagusa pande zote. Sasa hawa wakiume wenye mapungufu hayo hizo degree zao sijui wanazipateje.

Ngoja nitafanya utafiti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…