Lecturers wanatumalizia dada na wadogo zetu

Kwani degree na kiingereza vinahuusiano gani.. basi wananchi wate wa uwingereza wanadegree wale..

Hili ni swala la kimaadili zaidi na halihusiani na lugha.
Unawezaje kusoma chuo kikuu kinachotumia kiingereza kama medium of instruction bila kujua kiingereza?

Je research/thesis yako unawezaje kuiandaa na kufaulu bila kujua hicho kiingereza?

Hapa ndio madhaifu ya elimu yetu ya bongo yanapoonekana na ndio maana tunakosa credibility nje ya nchi. Haiwezekani graduate amefanya research amepata A+ halafu kiingereza hajui. Hapo lazima kuna walakini.

Ni sawa na wale watoto mtu anamaliza form four hata kuandika na kusoma hajui. Huo ni wenda wazimu.

Kwahiyo nyie graduates mnaosema degree haina uhusiano na lugha basi inabidi mkapimwe akili na mkojo. Maana inawezekana kama sio mna mtindio wa ubongo basi kuna madawa mnatumia ambayo hayafai.
 
[emoji3][emoji3][emoji3]Degree za Victoria Secret's bikini.

Sent using Jamii Forums mobile app
U
 
Itasikitisha sana endapo hizi taarifa zitakua na ukweli...
 
Udsm kwa post graduate dissertation husaishwa na internal na ma extrnal hata external alikupa marks nzuri wa ndani wanabana na kukusumbua na wao huteteana Sana, in short ngono chuoni na makazini hupunguza ufanisi mkubwa
Basi iwe kama NECTA yaani kazi yao ni kufindisha tu ili wapimwe pia uwezo wao wa kufaulisha
 
Nendeni secondary ni hatari, nakumbuka kipindi nipo form 4,kulikuwa binti mmoja ana maziwa makubwa halafu hajalala yamejaa vizuri,sasa akivaa shati vifungo viwili vya juu hafungi,alikuwa na mitego.

Sasa na kumbuka kuna siku nimechelewa nipo wenzangu pamoja na yule binti,kuna ticha mmoja alikuwa anatufundisha Physics ndiye alikuwa zamu, sisi wengine tulipewa adhabu ya kufagia na fimbo tatu tatu. Ilipo fika zamu ya yule binti akawa anabishana na mwalimu mara wajibizane, kumbe kuna wana wakaniambia ticha anapona hapo,mwishoe akamwachia,aingie darasani bila adhabu yoyote.

Sasa ukija huku secondary hasa za kata ndio husiseme na wadogo zetu wanavyo penda hela, kuanzia walimu, madereva wa bodaboda na bajaj wana wa gonga kwa tamaa zao. Sasa binti kama huyu akiingia chuo, kwake rushwa ya ngono ni kitu kidogo sana kwani kishazoea KUTOA ili APATE kile anacho kihitaji.

Ila kweli wapo malecture ambao wanashindwa kujizuia tamaa zao za kimwili na wa nongwa si kidogo,hawa mabinti wa kiwakataa basi mtoto wa watu anakuwa na wakati mgumu.
 
Mkuu uko sahihi sana. Pamoja na hayo walimu na wahadhiri wengi ni wa kiwango cha chini sana halafu kikubwa MAADILI hawana kabisa. Popote pale iwe mashuleni, vyuoni , maofisini na hata majumbani kama wazazi maadili ni muhimu na yanafundishwa. Tusiwalaumu binti zetu peke yake.

Rushwa hizi ni dalili ya kuporomoka kwa kiwango chetu cha Elimu yaani maadili kwa upande mmoja na maslahi kwa upande mwingine. Mwanafunzi wa Masters au PhD anasimamiwa na mhadhiri ambaye amechoka kuliko mwanafunzi unategemea nini?
Suluhisho tujipange upya kuhusu elimu yetu tunayoitoa kwa vijana wetu.
 
Toa ushahidi acha UMBEA UMBEA
 
Ninacho jiuliza kwa hasira kubwa ni kwamba viongozi wengi tuliyo nayo setikalini ni wakike na asilimia kubwa nauhakika wameyapitia wanayo yapitia watoto wakike huko mashukeni na hata vyuoni, je inakuwaje wanayamaza na hawabuni mbinu mbadala angalau wa kumaliza ama kupunguzia tatizo Hilo, kwani Nini kinawashinda kutoa Amri mitihani yote itungwe na kusahishwa na NECTA?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Daaaah mnasaga kunguni kweli kweli [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Duuuuh poleeeh sana.
 
Wamekamatwa wengi... NIT, ATC, UDSM... Mtafute Madam mmoja pale Udsm anaitwa Shule ni alikuwa ana pambana na hili janga pale udsm nazani mpaka sasa, kama jamii Inge muunga mkono basi angalau kitu kikubwa kinge tokea
IFM? [emoji23][emoji23]
 
Mnawapa lawama walimu sana mmesahau changamoto wakutanazo mabinti chuoni,unataka kuniambia wale wanafunzi wanaojiuza nao wanatafuta GPA? Wazazi wapeni mahitaji binti zenu sio kuwaacha kama vifaranga wanapofika chuo.
Nakubali hapa.
 
Udsm kwa post graduate dissertation husaishwa na internal na ma extrnal hata external alikupa marks nzuri wa ndani wanabana na kukusumbua na wao huteteana Sana, in short ngono chuoni na makazini hupunguza ufanisi mkubwa
Sasa sahivi kibachofanyika vyuoni, sio watoto wa kiume wala wa kike wote wanapitia changamoto 1, na hivi hapa nchini kuna unafiki ipo siku kila kitu kitakua wazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…