Lecturers wanatumalizia dada na wadogo zetu

Unakoseka kuwaita mabinti hao ni Wanawake kwa sababu usichana walishatolewa siku nyingi kutoka huko shule msingi, Vyuoni wanaingia kama wanamke asiyeolewa.

Kwanza kabisa wanawake wa Kibongo ni wavivu kupita maelezo kazi yao kubwa in kuonyesha waliovyo warembo hata kama si warembo, hawasomi kabixa, lazima wawe chakula cha wahadhili kwa mtindo huo.

Bado Nashaanga wanaume bado wanaoa wanawake hawa walioishi na wanaume kama kimada kwa zaidi ya miaka mitatu wakiwa vyuoni halafu wewe ndo unachukua na kuoa kwa mahari kubwa. Hii nafikiri haikubali kabixa, nyie wanaume acheni uzwazwa.
 
Hapo kwenye kiingereza inagusa pande zote. Sasa hawa wakiume wenye mapungufu hayo hizo degree zao sijui wanazipateje.

Ngoja nitafanya utafiti.
Usitafute utafiti utachanganyikiwa wallah, yanayoendelea vyuoni ni JAH asaidie tyuuh, vijana wanaharibiwa na hakna namna.
 
Sasa sahivi kibachofanyika vyuoni, sio watoto wa kiume wala wa kike wote wanapitia changamoto 1, na hivi hapa nchini kuna unafiki ipo siku kila kitu kitakua wazi.
Yani ni shida kweli huwa kukomoana tu vile wahadhiri Wana power kubwa sana. Mwanangu nitamtaftia chuo nje ya nchi. Nikikumbuka chuoni tulikuwa tunasoma na foreigners na walikuwa wanapendelewa licha ya kutokuwa smart ila wengi shule zilikuwa zinawashunda kwa sababu ya system za ku complicate mno
 
Tatizo la chuoni shida sio mwaanafunzi, ila lecturer ndo tatizo, mwanafunzi unaweza kuwa vizuri ktk upande wa taaluma, ila lecturer anakufelisha kusud ili apate chance ya kufanikisha lengo lake, na anajua mwanafunzi hawezi fanya chochote.

Vijana wa kiume wanavoharibika chuoni, hadi inasikitisha kwa kweli.
 
Hawa wanawake wehu, hawanaga msimamo
 
mabinti wenyewe wanajirahisisha kwa wakufunzi, unakuta binti hasomi kafeli test one kafeli test two na group assignment huenda hajahudhuria.

Anamfuata mkufunzi na kumwambia mwalimu naomba nisaidie kunipa coursework nzuri jaman.Nipo tayari kwa lolote lile mwalimu jamaan. Nakuahidi.

Na sisi wanaume kama tujuanavyo ukishaskia hivyo baas kichwa cha chini kinaanza kufanya kaz cha juu kinakuwa kimevurugwa.

Na log out[emoji2089][emoji2089]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We acha tu! Hata watawa wanaathirika. Kama ni daktari si atauwa badala ya kutibu!
 
Kama ni kweli basi serikali haijawahi kufanya juhudi za makusudi kukomesha hii hali,maana mimi nimeyasikia haya mambo kwa miaka mingi sana lakini sijawahi kusikia lecturer au mwanafunzi kakamatwa...
 
Kuharibika kimaadili kwa mtoto wa kike ni kushindwa kwa mwanaume kutumia mamlaka yake ya kiuongozi na kiutawala, anayetakiwa kutoa directives za kimaadili na kimalezi kwa mtoto wa kike na kiume ni nani? Let say, lecturer aliyetembea na mwanafunzi wa kike jinsia yake ni ipi? don't cast your blames to ladies na mi thread yenu ya kijinga jinga namna hii wakati nyie wenyewe ndo mnaowajibika kuondoa tatizo lenyewe.....haya wanaume wote tujipigepige kifuani tuseme kibwagizo hiki 'Sisi wanaume ni wajinga sana' rudia mara tano......
 
Na ndio hutumia huo udhaifu kukukomesha na hivi hakuna wakuhoji in short hyo tabia ni mbovu na ni kichefu chefu mno kwa kweli
 
Mods. napendekeza hii thread isomeke hivi "Sisi ma-lecturer wanaume tumekuwa wajinga sana kuwataka wanafunzi wa kike kimapenzi" halafu mjadala uanze upya....
 
Vipi wale wavulana wenye GPA 4.0 na ni mbumbumbu kama mbumbumbu wengine?
 
.... ila lecturer anakufelisha kusud ili apate chance ya kufanikisha lengo lake, na anajua mwanafunzi hawezi fanya chochote.
Anakufelishaje? Hebu acha kupayuka kama mwehu!!!!

Chuo gani hicho Lecturer anafelisha mwanafunzi makusudi?

Unajua kwamba kila chuo kina idara ya QAB (Quality Assurance Bureau)? Unajua ina kazi gani?
 
Hili suala ni gumu sana kulizungumzia kwa upande mmoja ila ukweli ni kuwa hawa wanafunzi wa kike kama sio asilimia 90 basi ni 98. Ni weupe mno Vichwani mwao, ni weupe hasaa! Bure kabisa hawa mabinti. Utamkuta yupo busy na vitu visivyokuwa na msingi wowote kwenye maisha yake na anavishadadia hatari ila mgusie kwenye mambo ya shule, atakwambia maksi ntapata tu mi mtoto wa kike.

Mwisho wa siku anapata kweli. Kiukweli inatia uchungu sana kwa haya ninayoyaona huku niliko, nipo jirani kabisa na chuo cha TIA Kurasini. Mambo wanayoyafanya huku kiukweli hapana aisee, na hiki chuo elimu ya hapa ilivyokuwa rahisi ndio kabisaaa! Wanakuwa wanaalikana tu huku mteremkoni.
 
K
Kwani hawatumii kinga?
 
Wakiolewa ndio wanaita waume zao vibamia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…