Lecturers wanatumalizia dada na wadogo zetu

Kama ni kweli kina mama tuna Hali mbaya mana mzigo wa mtoto mpumbavu hutupiwa mama[emoji24]

Kwa nini unasema KAMA NI KWELI! Ina maana wewe hujui haya mambo na upo hapa hapa bongo?
 
Wamekamatwa wengi... NIT, ATC, UDSM... Mtafute Madam mmoja pale Udsm anaitwa Shule ni alikuwa ana pambana na hili janga pale udsm nazani mpaka sasa, kama jamii Inge muunga mkono basi angalau kitu kikubwa kinge tokea

Huyu madam anashinda Twitter kila siku
 

Kwani kuna watu wana vichwa viwili? Hahaaa!
 
Kama ni kweli basi serikali haijawahi kufanya juhudi za makusudi kukomesha hii hali,maana mimi nimeyasikia haya mambo kwa miaka mingi sana lakini sijawahi kusikia lecturer au mwanafunzi kakamatwa...

Wapo wanaokamatwa lakini wanachomoa!
 
Anakufelishaje? Hebu acha kupayuka kama mwehu!!!!

Chuo gani hicho Lecturer anafelisha mwanafunzi makusudi?

Unajua kwamba kila chuo kina idara ya QAB (Quality Assurance Bureau)? Unajua ina kazi gani?

Hiyo Bureau huchukua sample ya watahiniwa tu wala haipitii karatasi za kila mtahiniwa!
 

Kwani Lecturers wote ni wanaume? Kwa Lecturers wanawake wanapenyaje hao mabinti?
 

Solution Lecturers wafanye kazi ya kufundisha lakini mitihani itoke University of Cambridge kama zamani kwenye shule za sekondari na ikasahihishwe huko huko!
 
Mlio na madada vilaza hii mada inawahusu.
Hata hivyo nimeona watu wanamwaga nyongo sana kana kwamba kuna la ziada na machungu ya ziada juu ya wadada vilaza na wavivu makazini.From my experience,wakaka ni mambumbu zaidi nilipopita!.

Lakini walimu wengine wanaofundidha ni wanawake, sasa nao hao ni vinyemelea wa wanafunzi wakiume? Hao wanadada wanakatizaje hapo?
 
Watu wanadhani tatizo lipo kwa ma-lecturer la hasha! hawa mabinti wa sasa ni matatizo. Marafiki zangu ambao ni wahadhiri wanakutana na mitego mingi mnoo kutoka kwa hawa mabinti.

Ngoja niishie hapa!
 
Mlio na madada vilaza hii mada inawahusu.
Hata hivyo nimeona watu wanamwaga nyongo sana kana kwamba kuna la ziada na machungu ya ziada juu ya wadada vilaza na wavivu makazini.From my experience,wakaka ni mambumbu zaidi nilipopita!.
Elezea kidogo kuhusu wakaka na mada husika!
 
hatari sana hii
 
Acheni kutukana mabinti za watu fala nyie roho mbaya inawasumbua na diploma zenu mtoto wa watu kafaulu kamaliza degree kisa mzr unasema degree vichupi nasema hivi acheni wivu wa kijinga na nyie toeni utamu wenu mpewe hizo digriii shezi sana.Watoto wanasoma wakike wapo vzr acheni mawazo mgando.
 
Kuna lecturer yupo chuo x Mwanza kazi yake ni kuwatafutia wanafunzi sup na carry za lazima uongozi unajua ujinga huu ila wako kimya
 
Watu wanadhani tatizo lipo kwa ma-lecturer la hasha! hawa mabinti wa sasa ni matatizo. Marafiki zangu ambao ni wahadhiri wanakutana na mitego mingi mnoo kutoka kwa hawa mabinti.

Ngoja niishie hapa!
Mkuu malizia tu..tupate mbivu na mbichi.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa wewe hoja yako ipi?mbona hueleweki.?

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niajiri na Mimi boss wangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…