Uchaguzi 2020 Leila Sheikh: Marekani wana kizabinazabina kwa matamko yao kuhusu uchaguzi wa Tanzania

Yeye kuongea haina maana ndio ushahidi. Aonyeshe offer aliyopewa na hizo NGO za Marekani, na zithibitishwe kwamba ni za kweli na sio forgery.
Miaka ya nyuma alikuwa anaonekana sana kwenye maluninga akapotea naona sahv kaja kwa style hii
Any way anatafuta ugali[emoji23][emoji23][emoji23]

Ova
 
Huyu Leila ni nani hasa?

Tunaweza kuwa tunapoteza kujadili kauli zisizo na maana kutoka kwa watu ambao haishangazi kutamka vile kutokana na uelewa wao mdogo au kutokana na unafiki wao.

Tutakuja kupoteza muda kujadili hata kauli za watu ambao ni mentally reterded au watu ambao siyo genuine.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yeye kuongea haina maana ndio ushahidi. Ni tuhuma tu. Aonyeshe offer aliyopewa na hizo NGO za Marekani, na zithibitishwe kwamba ni za kweli na sio forgery.
Je hizo NGO hapa TZ zilitimuliwa??
Kama zpo ina maanisha nn?[emoji3][emoji3]
 
Nahisi ashakuwaga mkurugenzi wa tamwa zamani
Alikuwa anazungumzia sana mambo ya wanawake
Ila alipotea.....ni juve sahv
Huyo ndy Leila sheikh nnaye mjua mimi

Ova
 
Wakishafanyiwa hiyo testing, kuna Mental Health Recovery Program? Na je, inalipiwa? Mimi nipo tayari kulipa kwaajili ya Bia Yetu na Jingalao, alimradi malipo yasizidi shilingi milioni 20 kwa wote wawili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bado sheria imempa nafasi Hakimu kumsikiliza mtuhumiwa utetezi wake ni tofauti na sheria inavyosema kuhusu makosa kama ya Murder ambapo ikithibitika kwamba mtuhumiwa aliua adhabu yake ni moja tu Kunyongwa hadi Kufa no other option.
 
Mwandishi wa habari na mtetezi wa masuala ya wanawake.
Ni mweupe au mweusi? Ana maoni gani kuhusu ile kauli ya mgombea kuwasikiliza zaidi wanawake weupe kuliko weusi.. Nyerere aliwahi kusema ukila nyama ya mtu huwezi kuacha, huyu mgombea alianza kuwabagua watu kwa vyama vyama na sasa ameleta rangi ya ngozi.
 
Kichwa ako.
 
Basi kasome Tanzania daima

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
Nimesikiliza huo mjadala, huyo Leila Sheikh hata kujieleza kwa ufasaha ni shida. Alikuwa ni kama kada wa ccm zaidi kuliko muandishi wa habari.
Siku hizi ukisema ukweli, ukipingana na mataifa ya ulaya na kutanguliza uzalendo wanakuita mwana CCM
Kweli CCM kimekua chama bora💥👌

CCM endeleeni kukamatia hapohapo na msisahau kutoa maelekezo ya watanzania wapya wanaotaka kadi za chama
 
Inasikitisha wakoloni wale wale wanarudi kupitia CHADEMA na Lisu.

Yaani siamini CHADEMA hii hii ya mtaa wa ufipa pale Kinondoni inataka kutuuza utumwani , siamini kabisa.
Mbn CCM imeshatuuza sana kwa mabeberu tumechoka ngoja tar28
 

Kwa taarifa yako hata mtangazaji alimpuuza maana aliona bado yuko kwenye propaganda mode, huku kipindi hicho kikiangalia ukweli. Huyo dada alistahili kufanya mahojiano na TBC, channel 10 nk, maana huo utoto aliokuwa anaongea ndio una nafasi.
 
Kada wa CCM huyo. Kwa asiyemjua - hana tofauti na yule mwandishi aliyenyooshwa vilivyo na wale wajumbe pendwa.
 
Sio lazima mfanane mitazamo!
 
Yaani huyo mnayemwita Leila Sheikh hebu muulizeni mbona kwenye kutembeza bakuri la msaada Marekani hasemi wanavizabinazabina , Pimbi mkubwa huyo . Mwambieni Leila mwdka huu CCM hawaibi kura hata wafanyaje .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…