Nzie ya Mana
JF-Expert Member
- Aug 23, 2020
- 1,515
- 1,730
Huyu Leila sijui ameishia la ngapi! Labda Marekani ya Tandahimba ndio anayoizungumzia!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Brother, Layla maana yake sio mwendawazimu. Layla kwa kiarabu maana yake ni usiku. Isije ikawa umechanganya na Story maarufu ya kiarabu ya Majnun Layla.Leila kwa kiarabu maana yake ni Majinuni yani mwendawazimu kwahiyo sishangai kwa aliyoyasema.
Itakuwa amechanganya na story maarufu ya kiarabu Majnun Layla au Layla and Majnun.Layla maana yake ni night sio majnuun
Wagombea wa ccm huwa wanatuambia Tuache Kutegemea Kuajiriwa Na Serikali, Tujitegemee Na Tujiajiri Wenyewe!! Wakati Wao Wanatuomba Kura Ili Tuwape Ajira Waajiriwe Na wananchi.Leila Sheikh mwanahabari na mtetezi wa haki za wanawake, wakati akishiriki mjadala wa waandishi wa habari uliotayarishwa na radio DW Kiswahili leo mchana ametoa matamko ambayo hata NEC wala viongozi wa CCM hawawezi kutamka moja kwa moja kuishambulia Marekani kwa kuitaja kwa jina zaidi ya kuishia kutaja mabeberu.
Leila akichagia mjadala huo uliohusu waandishi wanavyouona uchaguzi wa Tanzania alionekana kutofautiana na waandishi wenzake kutoka mataifa ya nje kwa jinsi alivyokuwa akiitetea NEC na Rais Magufuli kwa kudai kuwa uchaguzi unaendeshwa kidemokrasia na kuongeza kuwashambulia wapinzani wanaotishia kupeleka wananchi barabarani kama watashindwa.
Alikanusha kutokuwepo uhuru wa habari kipindi hiki cha uchaguzi.
Usitichoshe na ujinga wenu, mnajifanya mna mwanasheria nguli lakini hawezi kusaidia hata wagomnea wake kujaza form sasa mnamlaumu nani?Leila Sheikh ana mtizamo gani kuhusu wagombea wa upinzani ambao mpaka leo hii bado hawajaruhusiwa na wasimamizi kuanza kampeni?
Masuala kama haya ilipaswa yakemewe na kila anayeitakia mema nchi yetu. Haiwezekani tufanye uchaguzi halafu baadhi ya wagombea wanapata nafasi kufanya kampeni kwa miezi miwili, na wengine wanapewa nafasi kufanya kampeni kwa wiki 2.
Ni Leilah SheikhLeila ni nani?
Africa is fighting independence for the second time everywhere. This indigenous colonialists like maccm represent the worst form of colonialism, because they can camouflage as if they have the best interest of people.Ni Leilah Sheikh
Huyo kada wa chama ni mnafiki, bongolalaAlikanusha kutokuwepo uhuru wa habari kipindi hiki cha uchaguzi.
Watuache kwanza tuibiwe kura?Marekani watuache kwanza ..wao ni nani
Marekani watuache kwanza ..wao ni nani wapambane na Trump wao
Mwandishi wa habari na mtetezi wa masuala ya wanawake.
Kinachoripoti habari.Wa chombo gani cha habari?
Hata alichokuwa akieleza hakijui nafikiri anatafta nafasi ya polepoleNimesikiliza huo mjadala, huyo Leila Sheikh hata kujieleza kwa ufasaha ni shida. Alikuwa ni kama kada wa CCM zaidi kuliko muandishi wa habari.
Jaji Radhia mpole sana yule mama wa watu,Hamida nae ni advocate mzuri yuko vizuri ila mkorofi kinoma na umri umekwenda ila mi naipenda ile familia wako vizuri kichwani,enzi zao mtoto wa kike kusoma vile sio mchezoKweli aunt Laila amekua teja wa kutupwa. Baada ya kuachwa/achana na Sagafu alihalibikiwa mno na ameshindwa simama mpaka leo. Dada zake wako njema sana, Jaji Radhia (as the zen was) Advocate Hamida, Jamila....wametoka familia nzuri na wote ni well educated.
Kasoma kakaa england miaka kibao sema dishi limeyumba sababu ya bangiHuyu Leila sijui ameishia la ngapi! Labda Marekani ya Tandahimba ndio anayoizungumzia!
Usiwe na wasi wasi na wapiga porojo hao, CCM ni chama makini kitakwenda kumpiga mtu knock out hawataamini.Inasikitisha wakoloni wale wale wanarudi kupitia CHADEMA na Lisu.
Yaani siamini CHADEMA hii hii ya mtaa wa ufipa pale Kinondoni inataka kutuuza utumwani , siamini kabisa.