Uchaguzi 2020 Leila Sheikh: Marekani wana kizabinazabina kwa matamko yao kuhusu uchaguzi wa Tanzania

Huyu Leila sijui ameishia la ngapi! Labda Marekani ya Tandahimba ndio anayoizungumzia!
 
Leila kwa kiarabu maana yake ni Majinuni yani mwendawazimu kwahiyo sishangai kwa aliyoyasema.
Brother, Layla maana yake sio mwendawazimu. Layla kwa kiarabu maana yake ni usiku. Isije ikawa umechanganya na Story maarufu ya kiarabu ya Majnun Layla.
 
Wagombea wa ccm huwa wanatuambia Tuache Kutegemea Kuajiriwa Na Serikali, Tujitegemee Na Tujiajiri Wenyewe!! Wakati Wao Wanatuomba Kura Ili Tuwape Ajira Waajiriwe Na wananchi.

TUSAIDIANE MAWAZO HAPA VIJANA WENZANGU, HAWA WATU ZIMO KWELI VICHWANI MWAO ?


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usitichoshe na ujinga wenu, mnajifanya mna mwanasheria nguli lakini hawezi kusaidia hata wagomnea wake kujaza form sasa mnamlaumu nani?
Mliwaacha kama watito wa bata, sasa wametumbukia kwenye mashimao mnataka kulazimisha kuwa wameonewa.
 
Leila ndo leo namsikia! kumbe bongo imesheheni waandishi makini! Dada yuko sahihi nani kutoka Afrika anaweza kuingilia uchaguzi wa US? watuache!

Marekani inajitutumua tu haina maajabu tena kama zamani Rais wao amepona Corona juzikati wamwangalie huyo kwanza kisha wapambane na China kwanza waliowasha indiketa kuwapita kiuchumi!

Hali ni ngumu sana bongo raia wanatapatapa kutafuta msosi wala hakuna anaewasikiliza wamarekani nchini. Siasa zetu bongo za majitaka mabeberu kamwe hawatazielewa!
 
Ni kizabizabina na sio “kizabinazabina”.

Kama ni teja atakuwa kaahidiwa fix baada ya kuropoka.

Ni wa kupuuzwa tu na kuhurumiwa.
 
Nimesikiliza huo mjadala, huyo Leila Sheikh hata kujieleza kwa ufasaha ni shida. Alikuwa ni kama kada wa CCM zaidi kuliko muandishi wa habari.
Hata alichokuwa akieleza hakijui nafikiri anatafta nafasi ya polepole
 
Jaji Radhia mpole sana yule mama wa watu,Hamida nae ni advocate mzuri yuko vizuri ila mkorofi kinoma na umri umekwenda ila mi naipenda ile familia wako vizuri kichwani,enzi zao mtoto wa kike kusoma vile sio mchezo
 
Inasikitisha wakoloni wale wale wanarudi kupitia CHADEMA na Lisu.

Yaani siamini CHADEMA hii hii ya mtaa wa ufipa pale Kinondoni inataka kutuuza utumwani , siamini kabisa.
Usiwe na wasi wasi na wapiga porojo hao, CCM ni chama makini kitakwenda kumpiga mtu knock out hawataamini.

October 28 kura zote kwa JPM.

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…