Ndiyo upo!Ushahidi wa hayo unao?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo upo!Ushahidi wa hayo unao?
Uko wapi?Ndiyo upo!
Wiki mbili zilizopita wamefungwa miaka mitano au faini. Vipi hauko Tanzania nini mkuu?Hivi MAREKANI hadi ahangaike msagane au mpigane mipini ili afaidike nn yeye??
Na je ...kuna anaetulazimisha tufanye hayo mambo??
Swali rahisi....wanaosagana na kupigana mipini hapa bongo wapo??na kama wapo wamefanywa nn???wamekuwepo kipindi kipi??kwann hawashughulikiwi tunakalia kuwasingzia WAMAREKANI wakat wanaopaswa kushughulika nao ni wenye mamlaka...mamlaka zenyewe zinasemaje??kwann haziwashughulikii hadi wamekuwa hivyo walivyo?
Anao yeye mwenyewe!Uko wapi?
Unajua sheria ya hayo unayohisi wamefungwa nayo ni miaka 14 bila faini wala nini???Wiki mbili zilizopita wamefungwa miaka mitano au faini. Vipi hauko Tanzania nini mkuu?
Nani?Anao yeye mwenyewe!
LeilaNani?
Si kweli alikuwa akiongea kwa factsAnaweza akawa anazusha au anatia chumvi.
Wao mambo yao yapo automatic.Huyo ni mwandishi wa habari mbobezi na yuko "site" na hivyo anachosema ni kweli, Wamarekani waache kujiingiza kwenye mambo yetu wakati ya kwao yanawashinda. Huo ni UZABIZABINA at its worst level. Nawashauri washughulike na uchaguzi wao wa 03/11/2020.
Mkuu usihangaike na huyo Nyani Ngabu ni mshiriki mzuri hivyo atetea professional yake!Si kweli alikuwa akiongea kwa facts
Mbona walishalalamika Mama Clinton alilalamika kuwa mashine walizichezea wakati wa uchaguzi uliopita pia wakati wa Bush??Wao mambo yao yapo automatic.
Hawana mawazo ya kuibiwa kura.....
Kinachofurahisha raia takriban lak 2 washapiga kura...
Wao sku yotote unafanya maamuzi na kura yako unaiona inakokwenda....
Wao ni probability aidha Trump aondoke au abakie wananchi wataamua kama ambavyo washa anza kuamua mdo mdo...
Walivyozichezea ikalaumiwa tume ya taifa ya uchaguzi nchini humo??Mbona walishalalamika Mama Clinton alilalamika kuwa mashine walizichezea wakati wa uchaguzi uliopita pia wakati wa Bush??
Kuongea kwa facts ndo kukoje?Si kweli alikuwa akiongea kwa facts
Na huna haja ya kuamini kwa kweli kwa sababu ni uongo.Inasikitisha wakoloni wale wale wanarudi kupitia Chadema na Lisu.
Yaani siamini Chadema hii hii ya mtaa wa ufipa pale kinondoni inataka kutuuza utumwani , siamini kabisa.
Mkuu una njaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wekeni picha yake nione kama anafaa...
Mkuu kwanza naona umekosea hiyo siyo Katiba bali ni Penal Code pia kumbuka hao vijana walishitakiwa na makosa mengi likiwemo la kufanya tendo kinyume na maumbile na Hakimu kwenye hukumu hiyo aliwapata na hatia na makosa hayo na kwenye hukumu yake alisema kabisa kuwa amewahukumu miaka mitano kwa kuzingatia mambo mengi ikiwemo umri wao. Pia kumbuka hiyo sheria uliyoitaja haisemi kuwa lazima afungwe miaka 14 labda hiyo ni interpretation yako tu.Ona sasa...ndo maana nimekwambia kasome hiyo hukumu halafu...uje utwambie walitumia kifungu kipi
Unaniambia magazeti ya Tz...how?
Magazeti haya haya ya MUSIBA Na UZALENDO ndo unatwambia tusome?
Mm nmekuletea kifungu cha katiba yetu na adhabu kwa atakaekutwa na hatia...halafu unaruka ruka hapa...
Swali langu lilikuwa kama adhabu ni miaka 14 bila masharti mengine...imekuwaje hawa wakahukumiwa miak 5 au fain ya mil. 11????????
Ndo swali lang kubwa hapa
Sasa mbona wasanii wakubwa nchi hii ambao wanawapamba asilimia kubwa ni wali naziSi kweli alikuwa akiongea kwa facts
Hiyo adhabu haisemi miaka 14?Mkuu kwanza naona umekosea hiyo siyo Katiba bali ni Penal Code pia kumbuka hao vijana walishitakiwa na makosa mengi likiwemo la kufanya tendo kinyume na maumbile na Hakimu kwenye hukumu hiyo aliwapata na hatia na makosa hayo na kwenye hukumu yake alisema kabisa kuwa amewahukumu miaka mitano kwa kuzingatia mambo mengi ikiwemo umri wao. Pia kumbuka hiyo sheria uliyoitaja haisemi kuwa lazima afungwe miaka 14 labda hiyo ni interpretation yako tu.