Uchaguzi 2020 Leila Sheikh: Marekani wana kizabinazabina kwa matamko yao kuhusu uchaguzi wa Tanzania

Uchaguzi 2020 Leila Sheikh: Marekani wana kizabinazabina kwa matamko yao kuhusu uchaguzi wa Tanzania

Hivi MAREKANI hadi ahangaike msagane au mpigane mipini ili afaidike nn yeye??
Na je ...kuna anaetulazimisha tufanye hayo mambo??

Swali rahisi....wanaosagana na kupigana mipini hapa bongo wapo??na kama wapo wamefanywa nn???wamekuwepo kipindi kipi??kwann hawashughulikiwi tunakalia kuwasingzia WAMAREKANI wakat wanaopaswa kushughulika nao ni wenye mamlaka...mamlaka zenyewe zinasemaje??kwann haziwashughulikii hadi wamekuwa hivyo walivyo?
Wiki mbili zilizopita wamefungwa miaka mitano au faini. Vipi hauko Tanzania nini mkuu?
 
Wiki mbili zilizopita wamefungwa miaka mitano au faini. Vipi hauko Tanzania nini mkuu?
Unajua sheria ya hayo unayohisi wamefungwa nayo ni miaka 14 bila faini wala nini???
Hao wamefungwa miaka 5 au walipe faini mil. 11....una uhakika wamefungwa kisa hayo unayotwambia hapa????
 
Huyo ni mwandishi wa habari mbobezi na yuko "site" na hivyo anachosema ni kweli, Wamarekani waache kujiingiza kwenye mambo yetu wakati ya kwao yanawashinda. Huo ni UZABIZABINA at its worst level. Nawashauri washughulike na uchaguzi wao wa 03/11/2020.
 
Wao mambo yao yapo automatic.
Hawana mawazo ya kuibiwa kura.....

Kinachofurahisha raia takriban lak 2 washapiga kura...
Wao sku yotote unafanya maamuzi na kura yako unaiona inakokwenda....
Wao ni probability aidha Trump aondoke au abakie wananchi wataamua kama ambavyo washa anza kuamua mdo mdo...
 
Mbona walishalalamika Mama Clinton alilalamika kuwa mashine walizichezea wakati wa uchaguzi uliopita pia wakati wa Bush??
 
Mbona walishalalamika Mama Clinton alilalamika kuwa mashine walizichezea wakati wa uchaguzi uliopita pia wakati wa Bush??
Walivyozichezea ikalaumiwa tume ya taifa ya uchaguzi nchini humo??
Walioshindwa waligomea kushindwa kwao??

Hata sasa hivi TRUMP...Amiri jeshi mkuu analalamika kwmb uchaguzi unaweza kuchezewa[emoji3][emoji3][emoji3]
Wachezee mashine au wasizichezee....anaeshindwa anakubali kiulaini maana mambo yanakuwa atleast wazi.....anaeshinda anapewa kijiti kiroho safi.....

Njooo huku sasa uone
 
Inasikitisha wakoloni wale wale wanarudi kupitia Chadema na Lisu.

Yaani siamini Chadema hii hii ya mtaa wa ufipa pale kinondoni inataka kutuuza utumwani , siamini kabisa.
Na huna haja ya kuamini kwa kweli kwa sababu ni uongo.
 
Ona sasa...ndo maana nimekwambia kasome hiyo hukumu halafu...uje utwambie walitumia kifungu kipi

Unaniambia magazeti ya Tz...how?
Magazeti haya haya ya MUSIBA Na UZALENDO ndo unatwambia tusome?

Mm nmekuletea kifungu cha katiba yetu na adhabu kwa atakaekutwa na hatia...halafu unaruka ruka hapa...
Swali langu lilikuwa kama adhabu ni miaka 14 bila masharti mengine...imekuwaje hawa wakahukumiwa miak 5 au fain ya mil. 11????????
Ndo swali lang kubwa hapa
Mkuu kwanza naona umekosea hiyo siyo Katiba bali ni Penal Code pia kumbuka hao vijana walishitakiwa na makosa mengi likiwemo la kufanya tendo kinyume na maumbile na Hakimu kwenye hukumu hiyo aliwapata na hatia na makosa hayo na kwenye hukumu yake alisema kabisa kuwa amewahukumu miaka mitano kwa kuzingatia mambo mengi ikiwemo umri wao. Pia kumbuka hiyo sheria uliyoitaja haisemi kuwa lazima afungwe miaka 14 labda hiyo ni interpretation yako tu.
 
Si kweli alikuwa akiongea kwa facts
Sasa mbona wasanii wakubwa nchi hii ambao wanawapamba asilimia kubwa ni wali nazi
na wapo huko kwenye mikusanyiko wamejaa tele

Ova
 
Mkuu kwanza naona umekosea hiyo siyo Katiba bali ni Penal Code pia kumbuka hao vijana walishitakiwa na makosa mengi likiwemo la kufanya tendo kinyume na maumbile na Hakimu kwenye hukumu hiyo aliwapata na hatia na makosa hayo na kwenye hukumu yake alisema kabisa kuwa amewahukumu miaka mitano kwa kuzingatia mambo mengi ikiwemo umri wao. Pia kumbuka hiyo sheria uliyoitaja haisemi kuwa lazima afungwe miaka 14 labda hiyo ni interpretation yako tu.
Hiyo adhabu haisemi miaka 14?
Any way.
Ila nahisi umepata logic yangu ninayohtaji kujua....
Adhabu ni miaka 14....
Imekuwaje hawa wakapgwa miaka 5???
Ndo naona ukakasi wa sheria.

Tutatokomezaje sasa haya mambo?
Mwiaho tuendelee kuwasema Wamarekani kwamba ndo wanayaleta huku...ila wanaoyafanya tunawaonea huruma ilihali adhabu zko wazi[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom