Lema ajitetea amuangushia jumba bovu Makamu mwenyekiti

Lema kaguswa kidogo na mtu hata kadi haijulikani kama anayo then anakimbilia kushambulia Makamu direct!
Huwezi kuwa kiongozi alafu kwenye public una react kijinga namna hii. Hiyo tweet umefanya niamini yanayosemwa juu yake. Heche ni mkomavu sana
Hata mimi nimefikiria hivyo. Response ya Lema inaibua maswali mengi. I hope I'm wrong.
 
We jamaa uko vizuri sana. Hilo linyumbu lifuata mkumbo halina hoja linatapatapa tu kijingajinga wa kimtandao.......
 
Wenye akili kubwa tumemuelewa Lema kafunga mjadala.

Hakuna Mwanachadema asiyemuamini Heche, sasa Lema ana akili kuliko hao oyaoya bin roporopo.

Mjadala umefungwa.
Mi si mfuasi wa mada za manyumbu lakini itoshe tu kusema kuwa kwenye hili majibu Yako yameenda shule.
 
Heche huwa hajibu ujinga heche anashughulika na kupambana na wafiraji na watekaji mpaka wakimbie Nchi
 
Hakuna mchagga anaweza kuchomoa mbele ya Pesa. Huwa wanawa ektia tu kujifanya wazalendo, ila uhalisia wao ni tofauti
Alipoona ngoma inakolea oktoba mwaka jana Maalim akamstua Dalali mwenzie jifanye unaenda Kupumzika ughaibuni.

Yani katikati ya mapambano unaenda kupumzika ?
Hapo kashakunja B2 za Samia.
 
Unapoanza kuona uchokonozi kama huu anaofanya Lema sasa hivi, na hasa wakati mgumu kwa chama kama ulivyo sasa; haihitaji akili kubwa kujuwa tatizo lipo wapi.

Huyu Lema analo jambo, siyo bure.
 
Hao Wanaharakati uchwara wanajua eti siasa ni chuki na uadui ,wakati siasa ni kama taaluma..

Huku nje wanalipopata hifadhi ,wanatakiwa kuendelea kushambulia serikali zao ili waendelee kukaa ...
 
Hivi hili swala la hati ya kusafiria ndio muhimu zaidi wakati huu; na kama hili halitoshi, hata zile pesa alizochukuwa Heche bado halijafahamika ilikuwaje!
Sasa kweli tuseme hapa kuwa Lema hana jambo na Heche?

Hili swala la passport lina umuhimu gani katikati ya kupambania kesi inayomkabili Mwenyekiti?

Haya mapambano ya Lema haya kweli yatawaacha CHADEMA salama?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…