Lema ajitetea amuangushia jumba bovu Makamu mwenyekiti

Nafurahi kuona watu mnachanganua mambo Kwa hoja, ijapokuwa wapo wenaotoa maoni Kwa mihemuko
 
Ila mbona hata amani gogulwa hakuteswa na mafwele kwasababu amekiri wanajuana toka huko kwao je nae atiliwe shaka?
 
Na amani gogulwa nae aliposhikwa wakampeleka kwa mafwele hakumtesa kwasababu wanajuana tangu kitaa je vipi nae Amani gogulwa tumtilie shaka?
 
Hivi ingejulikana kuwa Mbowe amesaidiwa na mtu wa serikali kupata passport ingekuwaje?

Sidhani kuna lolote baya alilofanya Heche lakini ni mbinu hizi hizi za insinuations bila ushahidi ndio wanatumia dhidi ya Mbowe. Mkuki kwa nguruwee...na what goes around comes around.

Amandla...
 
Sasa hii ni habari gani ya kipuuzi hivi? Hapa uzi tayari au utakuja kuweka nyama baadaye mkuu?
 
Ila mbona hata amani gogulwa hakuteswa na mafwele kwasababu amekiri wanajuana toka huko kwao je nae atiliwe shaka?
So, unamaanisha na Heche nae anajuana na DG wa TISS toka huko kwao?!

Au kama sijaelewa point yako...
 
there's something fishy going on with Lema.

Wakati ule kuelekea kwenye uchaguzi Oktoba, aliomba awekwe jela.
Hivi na yeye alikuwa jela wakati huo kama ilivyokuwa kwa Heche?
 
Huelewi concept. Wamekuwa wakizungumzia passport ndio Lema akagusia ya Heche, hajakosea popote.

Huyo Sativa nani anataka kujua habari zake..
Ile habari unaweza kweli kusema ilihusu "kugusia"; au kuna maandishi mengine ambayo wengine hatuyaoni?
 
Lema yupo sahihi sana Sema kuna ujinga flan chadema wanao. Wanataka kuendesha chama kwa mani ya mitandaoni
 
there's something fishy going on with Lema.

Wakati ule kuelekea kwenye uchaguzi Oktoba, aliomba awekwe jela.
Hivi na yeye alikuwa jela wakati huo kama ilivyokuwa kwa Heche?
Alikuwa huru
 
Ile habari unaweza kweli kusema ilihusu "kugusia"; au kuna maandishi mengine ambayo wengine hatuyaoni?
Kina Sativa na Hilda ni chawa wa Heche, kila mara humshambulia Lema kwa tuhuma tofauti wasizo na uhakika nazo.

Sasa Lema akijitetea na kutoa mifano ya issues tofauti, matokeo yake ndio huibua hoja kama hiyo ya passport.

Until the day Heche ajitokeze ajibu tuhuma dhidi yake, na wala sioni ubaya akijibu hadharani kama kweli anajiona msafi asie na dola.

-Kumtetea akajibie kwenye vikao vya ndani ni muendelezo wa kuficha udhaifu wake, kama kweli CDM ni chama cha watanzania wanastahili majibu pia.

Kwanini akajibie vikaoni ndani? nachojua Heche yupo kimya kujibu hadharani kwasababu anajua akiongea tu, basi Lema ndio atamaliza kila kitu.

Heche ana urafiki na wafanyabiashara wa CCM, hawa ndio humuwezesha kurahisisha mambo yake akitaka msaada toka kwao, Nilesh alishawahi kusema hili.
 
hao jamaa wameanza na waislamu, wazanzibari, watu wa pwani sasa naona wanaenda na wachaga
Lema ndio mwakilishi wa wachaga?

Ni lini Chadema (taasisi) ilitoa waraka kwamba haiwataki wazanzibari, waislamu na watu wa pwani?
 
Ile habari unaweza kweli kusema ilihusu "kugusia"; au kuna maandishi mengine ambayo wengine hatuyaoni?
Yaani Lemma kaingia kwenye mtego wa chizi Sativa kibwege sana, angempotezea Sativa angepungukiwa nini kwani credibility ya Sativa inaeleweka.
 
Mbowe ni dalali na tulishamalizana naye siku nyingi. Peleka mapenzi yako huko mlikokutana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…