Lema alipokutana na Heche jana alitikea Sea Cliff hotel au Arusha?

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
51,453
Reaction score
41,274
Na walizungumza nini kwa mfano?
Na mbona facial expressions na body language zao hazina chemistry ya pamoja na kwamba ni kama vile hakuna cha maana kilichojadiliwa miongoni mwao jana?

au wewe umeobserve nini politically miongoni mwa mafahali hao wawili wanaokabiliwa na tuhuma za ufisadi na usaliti ndani ya chadema?

Ni nani kwanza pale Chadema, ana uwezo wa kuwakutanisha vijana hao jeuri na wenye viburi sana ndani ya chadema taifa?🐒

Mungu Ibariki Tanzania
 
Attachments

  • Heche lema.png
    Heche lema.png
    276 KB · Views: 20
Na walizungumza nini kwa mfano?
Na mbona facial expressions na body language zao hazina chemistry ya pamoja na kwamba ni kama vile hakuna cha maana kilichojadiliwa miongoni mwao jana?

au wewe umeobserve nini politically miongoni mwa mafahali hao wawili wanaokabiliwa na tuhuma za ufisadi na usaliti ndani ya chadema?

Ni nani kwanza pale Chadema, ana uwezo wa kuwakutanisha vijana hao jeuri na wenye viburi sana ndani ya chadema taifa?🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Project zenu zinazidi kufeli kmmk
 
Sayansi ni fomula nazo mmebakiza ngap?
hivi ukitembea mjini na ukikuta kampuni ya ujenzi inajenga ghorofa,
halafu imezungushia mabati au mapazia jengo lote linalojengwa kuanzia chini hadi juu,

unadhani hua ni kwanini wanafanya vile gentleman?🐒
 
Wewe unadhani wanaficha ushirikina????
 
Na walizungumza nini kwa mfano?
Na mbona facial expressions na body language zao hazina chemistry ya pamoja na kwamba ni kama vile hakuna cha maana kilichojadiliwa miongoni mwao jana?

au wewe umeobserve nini politically miongoni mwa mafahali hao wawili wanaokabiliwa na tuhuma za ufisadi na usaliti ndani ya chadema?

Ni nani kwanza pale Chadema, ana uwezo wa kuwakutanisha vijana hao jeuri na wenye viburi sana ndani ya chadema taifa?🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Maswali na cooments za kiCCM, yaani kuchunguza watu wamelala wapi, wamekula nini, na kama hivyo, ndiyo nchi mlivyoifikisha, kila mtu umbea, hata wanaume kiumbea mbea tu! Kama alivyo JK kucheka cheka na umbea kipwani pwani!!!! Kuna wakati hii nchi inaudhi kweli. Jitu zima eti mtu kalala Sea Cliff; what is that?
 
Ok.
relax bas na makasiriko yako ukiwa pointless gentleman na itapendeza zaidi 🐒
 
Hapana hii nchi Nyerere alirahizisha sana mambo, ndiyo haya tuyayapata sasa, watu wamekuwa wambaye sana, uswahili ndiyo umetawala, uongo uongo, sasa kama wewe sijui hata kandika topic kama hii umefikiria nini? Mtu kalala Sea Cliff kila siku umekazania hiyo, unataka akalale wapi? CCM mnalala wapi. Tabia za kishenzi shenzi badala ya kujihusisha na mambo ya maana
 
Gentleman,
huna haja ya kusingizia wengine kwenye umaskini wako wa kifikra na uvivu wako katika kazi.

epuka kubebwa ufala wa kifikra na vibaka wa kisiasa na kua mfuata mkumbo useless, zidisha juhudi katika kazi na ujikomboe kiuchumi kwa kufanya kazi kwa bidii ili hatimae usiwe mnyonge kiuchumi na mwenye mihemko na makasiriko yasiyo na kichwa wala miguu kwenye mijadala Jf na itapendeza zaidi 🐒
 
Hivi niwe masikini halafu niandike hivi? Hebu sikiliza, yeyote yule anayeshabikia CCM hana kitu, au mjinga mjinga kama wewe, wenye akili hawawezi kushabikia CCM, ni wale 1% wanaofaidi pale juu ndiyo wanafaidi, nyie 99% mpo kila siku na walala hoi wengine wanaojitambua.

Wewe sasa hivi umepata ubunge, mwa 2030 huo ubunge utakua huna, hapo tena baada ya miaka 3 tu baada ya ubunge utaungana tena na walala hoi kupand basi, ndiyo laana yenu ilipowafikisha. Mnaangalia kesho na leo tu.

Wale cream kule juu wanawachezesha ngoma nyie mnanengua viuno. Kalaga baho
 
sasa mihemko na makasiriko hua vinatoka wapi gentleman kama sio inferiority complex inasumbua?

it's obvious,
mtu mwenye mihemko useless na makasiriko ya hovyo hovyo tu kwenye mijadala jukwaani, daima ni dhahiri ana changamoto ya aina fulani ya umaskini 🐒
 
Sina inferiority yoyote ile. wala sina kisrirani, ila tu watu kama nyie mmeharibu sana hii nchi. Mimi nimetosheka sana kwa uwezo wangu, na nina surplus, sitegemei ubunge wa kupewa kama wewe, ulikuja kuomba kura.
 
Hivi niwe masikini halafu niandike hivi? Hebu sikiliza, yeyote yule anayeshabikia CCM hana kitu, au mjinga mjinga kama wewe, wenye akili hawawezi kushabikia CCM, ni wale 1% wanaofaidi pale juu ndiyo wanafaidi, nyie 99% mpo kila siku na walala hoi wengine wanaojitambua.

Wewe sasa hivi umepata ubunge, mwa 2030 huo ubunge utakua huna, hapo tena baada ya miaka 3 tu baada ya ubunge utaungana tena na walala hoi kupand basi, ndiyo laana yenu ilipowafikisha. Mnaangalia kesho na leo tu.

Wale cream kule juu wanawachezesha ngoma nyie mnanengua viuno. Kalaga baho
Mkuu unajisumbua tu na hii k.enge inayolipwa kushinda jamii forums jukwaa la siasa na kiingereza chake pekee anachojua cha useless, nonsense ok, na vi emoji vya kichoko. Analipwa kuanzisha mada za ki.senge usihangaike nae, hilo jina lake lisome kama taahilah
 
Sina inferiority yoyote ile. wala sina kisrirani, ila tu watu kama nyie mmeharibu sana hii nchi. Mimi nimetosheka sana kwa uwezo wangu, na nina surplus, sitegemei ubunge wa kupewa kama wewe, ulikuja kuomba kura.
relax bas na itapendeza zaidi gentleman 🐒
 
Back
Top Bottom