Lema alipokutana na Heche jana alitikea Sea Cliff hotel au Arusha?

Lema alipokutana na Heche jana alitikea Sea Cliff hotel au Arusha?

Na walizungumza nini kwa mfano?
Na mbona facial expressions na body language zao hazina chemistry ya pamoja na kwamba ni kama vile hakuna cha maana kilichojadiliwa miongoni mwao jana?

au wewe umeobserve nini politically miongoni mwa mafahali hao wawili wanaokabiliwa na tuhuma za ufisadi na usaliti ndani ya chadema?

Ni nani kwanza pale Chadema, ana uwezo wa kuwakutanisha vijana hao jeuri na wenye viburi sana ndani ya chadema taifa?🐒

Mungu Ibariki Tanzania

nyie wajinga jinga . Hamjui hata watu sisi watu wa Arusha tunajua Lema ni billionea siku nyingi sana huwezi kumuhonga hoteli wajinga jinga . Ungejua utajiri wa Lema ungefunga mdomo wako. Lema miaka ya Ubunge zaidi ya 10 alikopesha na kurudisha zaidi ya 500M kabla ya Magufuli unategemea sasa ana utajiri gani?
 
nyie wajinga jinga . Hamjui hata watu sisi watu wa Arusha tunajua Lema ni billionea siku nyingi sana huwezi kumuhonga hoteli wajinga jinga . Ungejua utajiri wa Lema ungefunga mdomo wako
in fact,
angeendelea kua jambazi wa malori kabla ya kuokoka, angekua ni miongoni mwa matrilionea wa Africa.

huenda baada ya kuacha ujambazi ndio mambo yakaanza kuharibika. Lema alikua sii mtu wa kufedheheka na mikopo ya kausha damu mitaani gentleman.

halafu addictions za kubeti nadhani ndio zinamuathiri zaidi.
Lema wa sasa ni kanyaga twende bora liende, unaweza kumtuma afanye chochote kwa pesa kidogo tu 🐒
 
Jibu kwanza swali langu mmebakiza mbinu ngapi kumyonga mtu mlisha muua?
siasa ni sayansi gentleman,

hiyo marking scheme yako ni vizuri ukaitunza kwajili ya wavamizi na vibwengo wa siasa 🐒
 
Back
Top Bottom