Lema alipokutana na Heche jana alitikea Sea Cliff hotel au Arusha?

Public domain za Lumumba.
kulingana na maoni yako ikiwa public domain ni huko, bas it's okay.

but ufisadi wa heche uko kwenye public domain, full stop. Upende usipende.πŸ’
 

nyie wajinga jinga . Hamjui hata watu sisi watu wa Arusha tunajua Lema ni billionea siku nyingi sana huwezi kumuhonga hoteli wajinga jinga . Ungejua utajiri wa Lema ungefunga mdomo wako. Lema miaka ya Ubunge zaidi ya 10 alikopesha na kurudisha zaidi ya 500M kabla ya Magufuli unategemea sasa ana utajiri gani?
 
nyie wajinga jinga . Hamjui hata watu sisi watu wa Arusha tunajua Lema ni billionea siku nyingi sana huwezi kumuhonga hoteli wajinga jinga . Ungejua utajiri wa Lema ungefunga mdomo wako
in fact,
angeendelea kua jambazi wa malori kabla ya kuokoka, angekua ni miongoni mwa matrilionea wa Africa.

huenda baada ya kuacha ujambazi ndio mambo yakaanza kuharibika. Lema alikua sii mtu wa kufedheheka na mikopo ya kausha damu mitaani gentleman.

halafu addictions za kubeti nadhani ndio zinamuathiri zaidi.
Lema wa sasa ni kanyaga twende bora liende, unaweza kumtuma afanye chochote kwa pesa kidogo tu πŸ’
 
Jibu kwanza swali langu mmebakiza mbinu ngapi kumyonga mtu mlisha muua?
siasa ni sayansi gentleman,

hiyo marking scheme yako ni vizuri ukaitunza kwajili ya wavamizi na vibwengo wa siasa πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…