Polepole wengine hamtusikilizi kama mwenye ubora, bali tunataka kuoma wa ccm wakivuana nguo. Sio zaidi ya hapo. Lema akienda kinyume na msimamo wa chama chake tutasikiliza ana jipya lipi.Na ndiyo maana niko hapa kumpasha, na ninajua ujumbe umemfikia na akipenda kupima maji aitishe mhadhara wake wa mawaidha kama hayo. Nininajua hata wewe hutakuwapo kumsikiliza.
Huko tunafata madini ya waliosoma kama kina Polepole. Tukihitaji alliance za kuleta mabadiliko sasa. Asiyetaka mabadiliko Kwa kujua au kutokujua hiyo wengine haituhusu.
Agreed .Call it a change not a coup. Don't play in their hands. In which case we are all Ibrahim Traore. What do you think about that
Polepole wengine hamtusikilizi kama mwenye ubora, bali tunataka kuoma wa ccm wakivuana nguo. Sio zaidi ya hapo. Lema akienda kinyume na msimamo wa chama chake tutasikiliza ana jipya lipi.
Ubora wa mtu tunaupima kwa utu wake, sio maneno yake hata kama ni ya kweli. Polepole alishiriki moja kwa moja kwenye ukatili wa Magufuli dhidi ya wapinzani, na kuharibu demokrasia ya nchi hii, hakuna uwezo wa sisi kusahau eti kisa anapambana na wanaccm wenzake sasa. Kwamba tutamuunga mkono bila kuangalia madhila aliyotusababishia tutakuwa wajinga wa mwisho. Ni lazima alipie uovu alioshiriki kwa mikono yake.Suala la ubora wa mtu halipimwi Kwa niaba. Hilo ni suala binafsi la observer na aghalabu vyeti vya shule alivyo navyo mtu anayeangaziwa.
Kwamba Polepole alikuwa kwenye tume ya Warioba nadhani utakubaliana nami kuwa angalau ni bora kuliko wewe, Lema na labda miye.
Kujifunza kuwa appreciate watu waliotutangulia hata Kwa uzoefu tu si unyonge!
Au nasema uongo?
Ubora wa mtu tunaupima kwa utu wake, sio maneno yake hata kama ni ya kweli. Polepole alishiriki moja kwa moja kwenye ukatili wa Magufuli dhidi ya wapinzani, na kuharibu demokrasia ya nchi hii, hakuna uwezo wa sisi kusahau eti kisa anapambana na wanaccm wenzake sasa. Kwamba tutamuunga mkono bila kuangalia madhila aliyotusababishia tutakuwa wajinga wa mwisho. Ni lazima alipie uovu alioshiriki kwa mikono yake.
Unasema nijizungumzie mimi, ila ww unajiweka kwenye sisiππ Mbona ww usiseme usinizungumzie mimi, au ww ndio una uhalali wa wingi? Ni hivi, Polepole alishiriki kuharibu demokrasia ya nchi hii, na kushiriki uovu wa magufuli, kama ww au nyinyi mmesahau hiyo ni kimpango wenu.Badala ya kusema "sisi ungejikita kwenye Mimi" yaani wewe.
Mandela aliwasamehe makaburu akafanya kazi na kina Buthelezi.
Anasema Heche anamwunga mkono Polepole sembuse wewe ndugu?
Hata Gwajima ni mwenzetu na wengi wengine hata wasiokuwamo nasi chamani.
Mwenye mawazo kama yetu leo ni mwenzetu, si wa jana wala juzi.
Kigaila, Mwalimu, na wenzao leo si wenzetu, hao tuliokuwa nao juzi si leo.
Tafadhali usituzungumzie na sisi wengine kwenye bag lako la wabinafsi katika agenda ya ukombozi isiyokuwa na star wala mwenyewe katika jumuiya ya waungwana.
Unasema nijizungumzie mimi, ila ww unajiweka kwenye sisiππ Mbona ww usiseme usinizungumzie mimi, au ww ndio una uhalali wa wingi? Ni hivi, Polepole alishiriki kuharibu demokrasia ya nchi hii, na kushiriki uovu wa magufuli, kama ww au nyinyi mmesahau hiyo ni kimpango wenu.
We uliyemtakatifu una mchango gani kwenye mapambano ya kulileta Taifa la haki?Nisahihi Lema kutoa maoni. Huyo mpolipoli alishiriki kuikataa katiba aliyoipambania awali, alitetea chaguzi ovu,hakubali kuteswa kufungwa na kuuwawa kwa watu. Actually mikono yenye damu iliyokauka ndiyo iliyochochea mikono ya damu mbichi kuendelea kumwaga damu za watu.
Muovu ni muovu tuu na haijawahi kutubu Kwa uovu wake bali hujitetea kipumbavu huku akitumia neno la Mungu kwa Hila.
Kuna watu wanamuamini lema atawaletea ukombozi wa nchi πππLema anafanya siasa isiyokuwa na tija! Mpiganaji wa adui yako akimuasi adui yako hupaswi kumshambulia. You now have a common enemy. Unapaswa kumtumia vizuri kummaliza adui yako!
Hata Yesu aliwaambia wanafunzi wake asiye kinyume chetu ni mwenzetuLema anafanya siasa isiyokuwa na tija! Mpiganaji wa adui yako akimuasi adui yako hupaswi kumshambulia. You now have a common enemy. Unapaswa kumtumia vizuri kummaliza adui yako!
Hata Yesu aliwaambia wanafunzi wake asiye kinyume chetu ni mwenzetu
Kuna watu wanamuamini lema atawaletea ukombozi wa nchi πππ
Siasa za lema ni za kijinga sana,kaandamanisha vijana Arusha kwa ubunge wake wamekufa,yeye saizi yupo Canada na familia anacheza gofu
None of them.Miye nimemnukuu Heche ndugu.
Heche na mimi si ndiyo sisi hao? Au?
Tunamwangalia mtu leo si jana wala juzi. Au nawe ni kiziwi kama wa Kizimkazi? Mara ngapi nimekukumbusha hilo?
Au kati ya mwamba na Polepole kumbe leo mwenzetu nani?
Polepole anasema NRNE tangia mwanzo wala si kuwa hapa Kuna champion wa hilo.
Wasiotaka reforms ni wahuni waliouvuruga mchakato wa katiba mpya tokea 2014 huko!
None of them.
hii nchi ina wajinga wengi sana, yani kuna watu tena wanaotokana na upinzani wanamshabikia polepole? dah Inasikitisha sana