Lema amegeuka kuwa mchungaji au nabii ndani ya CHADEMA?

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
48,475
Reaction score
70,102
Lema huwa anapenda sana kuleta mambo ya kidini katika siasa kana kwamba dini inaweza kutatua jambo lolote katika siasa, hivi huko CHADEMA kumegeuka kuwa nyumba ya ibada?! Lema aache kuwa delusional, apambane bila kutafuta huruma ya kidini.
Screenshot_20241027-163047_X.jpg
 
Lema huwa anapenda sana kuleta mambo ya kidini katika siasa kana kwamba dini inaweza kutatua jambo lolote katika siasa, hivi huko CHADEMA kumegeuka kuwa nyumba ya ibada?! Lema aache kuwa delusional, apambane bila kutafuta huruma ya kidini.
View attachment 3136473
Kuwaambia watu wamuombe Mungu imekuwa kosa?
 
Mungu huwa hadhihakiwi, unaweza mdhiki binadamu maana hajui yaliyo moyoni mwako ila sio Mungu.
 
Kuwaambia watu wamuombe Mungu imekuwa kosa?
Amejuaje kwamba wakiomba kwa siku 7 ndio Mungu ataipigania nchi??
Halafu mimi hata sijasema ni kosa, naona ni kupoteza muda tu kwa sababu hata CCM nao huwa wanamuomba mungu huyo huyo sasa kwa nini awasikilize CHADEMA asiwasikilize CCM wakati inasemwa hana ubaguzi wote ni wake??
 
Lema huwa anapenda sana kuleta mambo ya kidini katika siasa kana kwamba dini inaweza kutatua jambo lolote katika siasa, hivi huko CHADEMA kumegeuka kuwa nyumba ya ibada?! Lema aache kuwa delusional, apambane bila kutafuta huruma ya kidini.
View attachment 3136473
Kama kuna viongozi wanaoharibu hii SACCOS ni huyu jamaaa aisee
 
Lema huwa anapenda sana kuleta mambo ya kidini katika siasa kana kwamba dini inaweza kutatua jambo lolote katika siasa, hivi huko CHADEMA kumegeuka kuwa nyumba ya ibada?! Lema aache kuwa delusional, apambane bila kutafuta huruma ya kidini.
View attachment 3136473
Kama ameshachoshwa na siada akae pembeni, siyo kutaka kugeuza jukwaa la kisiasa kuwa la kidini. Ametaka siada, amepewa rihaa, atimize majukumu na wajibu wake wa kisiasa
 
Maombi yamewashinda waisrael mpk wanatumia mtutu kupambana na Hamas na Hezbollah, itakuwa Lema??

Matatizo ya kisiasa hutatatuliwa kisiasa na siyo kwa maombi.

Kuna nchi nyingi sana zinatawaliwa kidikteta miaka nenda rudi. Lema anataka kusema kuwa nchi hizo hawana Mungu isipokuwa Tanzania ??
 
Lema alijazwa upepo kwenye mitandao kuwa yeye ni nabii na kwa maana hana uwezo wa kufikiri kisawasawa(no elimu dunia) ndio kila mara anajifanya mtu wa mungu wengine sisi sio 🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️
 
wewe ulitaka awe nani?
Lema ni mpuuzi hawezi badilika ,embu fikiria familia yake inatunzwa na yeye bado anazo nguvu za kufanya kazi hata ya kuendesha mkokoteni ila hataki ,kutwa nzima anashinda kwenye mitandao baba mtu mzima 🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️
 
Maza ako mwenyewe anatamani angezaa na Lema badala ya dingi ako ili ukoo wenu upate watu wenye akili
 
Lema huwa anapenda sana kuleta mambo ya kidini katika siasa kana kwamba dini inaweza kutatua jambo lolote katika siasa, hivi huko CHADEMA kumegeuka kuwa nyumba ya ibada?! Lema aache kuwa delusional, apambane bila kutafuta huruma ya kidini.
View attachment 3136473
Yeye mwenyewe ana historia ya ujambazi atatuambia nn watoto wa Ngulelo
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
Back
Top Bottom