Hayo ni mapokeo ya watu wa kawaida...lakini kwa wana tasnia ,wanasayansi,wachambuzi,wafuatiliaji na weledi watanielewa!Hakuna ujumbe wowote ule ulio mzito.
Lema is a sucker. He proved just about every allegation leveled against him.
Kama huna akili huwezi kumwelewa LemaHakuna ujumbe wowote ule ulio mzito.
Lema is a sucker. He proved just about every allegation leveled against him.
Mmhh hamna kituKama huna akili huwezi kumwelewa Lema
Lema anajaribu kutumia njia ambazo zitakinusuru chama katika mazingira magumu tuliyopo ila akili fupi haziwezi kuelewa
FOH 🤣.Hayo ni mapokeo ya watu wa kawaida...lakini kwa wana tasnia ,wanasayansi,wachambuzi,wafuatiliaji na weledi watanielewa!
Nyie mnaosema hamna kitu tokeni hadharani itisheni maandamanoMmhh hamna kitu
Yanatokea wapi hayoNyie mnaosema hamna kitu tokeni hadharani itisheni maandamano
Unafikiri Lissu alishindwa alishindwa kutumia njia hizo ili kuita hiyo unayosema kunusuru chama. Siasa za kidalali zimekataliwa, zikiongozwa na Lissu na HecheKama huna akili huwezi kumwelewa Lema
Lema anajaribu kutumia njia ambazo zitakinusuru chama katika mazingira magumu tuliyopo ila akili fupi haziwezi kuelewa
Alute alikuwa Mgonjwa...tusiunganishe sceneShida ya viongozi wa CHADEMA ni uchanga wa uelewa wa siasa.
Na kusikiliza wanaharakati uchwara.
Miaka hiyo ya mjadala wa katiba (yours truly) nilikuwa nawaambia bandugu; muhimu kwenye katiba mpya ni kupunguza madaraka ya raisi.
Wanaharakati wa wakati huo wakiongozwa na Mzee Mwanakijiji and other stupid vita yao ilikuwa serikali ya majimbo bara na serikali tatu za muungano.
Hakuna hata mmoja alikuwa anapigania kupunguza madaraka ya raisi.
Na hiyo rasimu ya Warioba aijagusia kuondoa madaraka ya raisi. Ni rasimu ya ujinga mtupu if you know anything about politics.
The whole thing is nonsense, Lissu anaumia bure.
Hata kifo cha Alute ni miscalculated moves za wanaharakati kumtaka aropoke aliyo ropoka kufanya watu wajihami.
Kaazi kweli kweli
Unajua watanzania wangapi wa umri wa Alute Lissu, wanaishi na old age medical conditions.Alute alikuwa Mgonjwa...tusiunganishe scene
Hauko sahihi.Shida ya viongozi wa CHADEMA ni uchanga wa uelewa wa siasa.
Na kusikiliza wanaharakati uchwara.
Miaka hiyo ya mjadala wa katiba (yours truly) nilikuwa nawaambia bandugu; muhimu kwenye katiba mpya ni kupunguza madaraka ya raisi.
Wanaharakati wa wakati huo wakiongozwa na Mzee Mwanakijiji, Nguruvi3 and other stupid vita yao ilikuwa serikali ya majimbo bara na serikali tatu za muungano.
Hakuna hata mmoja alikuwa anapigania kupunguza madaraka ya raisi.
Na hiyo rasimu ya Warioba aijagusia kuondoa madaraka ya raisi. Ni rasimu ya ujinga mtupu if you know anything about politics.
The whole thing is nonsense, Lissu anaumia bure.
Hata kifo cha Alute ni miscalculated moves za wanaharakati kumtaka aropoke aliyo ropoka kwenye interview aliyofanya kufanya watu wajihami.
Kaazi kweli kweli
What do you know about physiology?let alone about spot diagnosis....kaa kimya kwenye sayansi hiyo kwa sababu utaumbuka...rudi kwenye mada dunderhead!Unajua watanzania wangapi wa umri wa Alute Lissu, wanaishi na old age medical conditions.
Na what it takes to exacerbate the condition to cause death?
Hili sio jukwaa la kuandika ujinga kama hujui pathophysiology ya magonjwa.
Unadhani watu ufariki tu kishamba kisa wanaishi na magonjwa.
That’s not rocket science rasimu ya jaji Warioba na madaraka ya raisi sio shida zake.Hauko sahihi.
Tokea enzi za nyenzi.com watu tumekuwa tukisema kuwa urais wa Tanzania kwa mujibu wa katiba iliyopo ni umungu mtu.
Sikumbuki mtu yeyote aliyekuwa pro Katiba mpya ambaye alikuwa halizingumzii hilo suala la kupunguza madaraka ya Rais.
Unaweza labda kuweka ushahidi wa hao ambao walikuwa hawazungumzi kuhusu kupunguza hayo madaraka?
Mtu ambaye sikumbuki yeye kuwa pro Katiba mpya ni Mzee Mwanakijiji.
Wengine wote waliokuwa wanazungumzia Katiba mpya, moja ya hoja zao ilikuwa ni madaraka makubwa ya Rais.
ni mpuuzi,mwendawazimu na gaidi anayetaka madaraka ya Rais yapunguzwe ...Unataka apunguziwe nani ???ili afanyie nini??That’s not rocket science rasimu ya jaji Warioba na madaraka ya raisi sio shida zake.
If anything sehemu kubwa ya mapendekezo ya rasimu yake ni maswala ambayo hakuna nchi duniani inaweza guarantee
Else I can attest at the time I was the only member advocating madaraka ya raisi ni shida. Wakati wengine shida yao ikiwa serikali ya majimbo.
I remember that for certain.