Eugene Krabs
JF-Expert Member
- Feb 19, 2026
- 451
- 859
First learn the difference between pathophysiology and physiology.What do you know about physiology?let alone about spot diagnosis....kaa kimya kwenye sayansi hiyo kwa sababu utaumbuka...rudi kwenye mada dunderhead!
Pole, kama huo ndio msimamo wako.ni mpuuzi,mwendawazimu na gaidi anayetaka madaraka ya Rais yapunguzwe...Unataka apunguziwe nani ???ili afanyie nini??
Lazima awepo mtu/kiumbe ambaye anakasamiwa NGUVU za kipekee na za maamuzi ya mwisho ili nchi na dunia iwe salama kwa wote.
Saying it so, doesnβt make it so.Else I can attest at the time I was the only member advocating madaraka ya raisi ni shida. Wakati wengine shida yao ikiwa serikali ya majimbo.
I remember that for certain.
ππni mpuuzi,mwendawazimu na gaidi anayetaka madaraka ya Rais yapunguzwe...Unataka apunguziwe nani ???ili afanyie nini??
Lazima awepo mtu/kiumbe ambaye anakasamiwa NGUVU za kipekee na za maamuzi ya mwisho ili nchi na dunia iwe salama kwa wote.
Tangu lini chawa mkawa wachambuzi π, stop pleaseHayo ni mapokeo ya watu wa kawaida...lakini kwa wana tasnia ,wanasayansi,wachambuzi,wafuatiliaji na weledi watanielewa!
Unfortunately IDβs change over time.Saying it so, doesnβt make it so.
I can also say the same thing.
Where are your receipts?
Dunderhead!First learn the difference between pathophysiology and physiology.
Hayo mengine siongei bali naweza yadadavua (pathophysiology) ya magonjwa ya uzeeni and it takes to end a life.
Didnβt I tell you kunifuata mimi huku nikutaka kukuthibitishia kifo cha βAlute Lissuβ ni foul play.
Do you even know what does understanding of βpathophysiologyβ of medical conditions entails (not even doctors know that without referring to their books, on all conditions)..
Aargh (acha kulazimisha mijadala ya vitu ambavyo) you have no knowledge off.Dunderhead!
Physiology is normalcy....Pathophysiology is ab-normalcy....Again ...do you recognize Spot Diagnosis?
Hebu ondoka kwenye forum hii nenda jukwaa la mapenzi huko ...hatutaki walevi kwenye hoja za maanaUnfortunately IDβs change over time.
At the time I was the only member advocating for the reduction of presidential powers.
Not sure if I was Eric Cartman or what username.
I canβt hold to that, but then I always say things which happen.
I am certain I was the first to say in this forum huyu mama box; tumepigwa. Na huko mbele ata vuruga hakuna atakaeweza mvumilia.
Surely you can remember me stating those claims before anyone. If not I have no time to argue (it is, what it is).
Nachangia JF kwa zaidi ya 20 waulize mods ata kwa IP yangu watakwambia 98% ya michango ya ni siasa.Hebu ondoka kwenye forum hii nenda jukwaa la mapenzi huko ...hatutaki walevi kwenye hoja za maana
Kama wewe umeelewa hivyo usiite wengine akili ndogo. Unaweza kuwa wewe ndio akili ndogo. Kwa maana nyingine wewe na Lema mnataka CHADEMA waipigie magoti CCM hii ya watekaji na wauaji. Huo ndio ujinga wa mwisho.Kama huna akili huwezi kumwelewa Lema
Lema anajaribu kutumia njia ambazo zitakinusuru chama katika mazingira magumu tuliyopo ila akili fupi haziwezi kuelewa
Maandamano lazima yawe na justification. Oct 29 yalitokea kwa sababu ya justification.Nyie mnaosema hamna kitu tokeni hadharani itisheni maandamano
Hapo sasa ndio kasheshe linapoanzia ! ππ ββοΈNyie mnaosema hamna kitu tokeni hadharani itisheni maandamano
Acha upotoshaji wewe. Allute alikuwa ana umwa muda mrefu muondoe kwenye upuuzi wako. Hivi aliye haribu mchakato wa Katiba Mpya ni nani? Unaongea kana kwamba watu wawili wangeweza kupitisha katiba mpya, ila wale wajinga wa bunge la Katiba huwaoni?.Shida ya viongozi wa CHADEMA ni uchanga wa uelewa wa siasa.
Na kusikiliza wanaharakati uchwara.
Miaka hiyo ya mjadala wa katiba (yours truly) nilikuwa nawaambia bandugu; muhimu kwenye katiba mpya ni kupunguza madaraka ya raisi.
Wanaharakati wa wakati huo wakiongozwa na Mzee Mwanakijiji, Nguruvi3 and other stupid vita yao ilikuwa serikali ya majimbo bara na serikali tatu za muungano.
Hakuna hata mmoja alikuwa anapigania kupunguza madaraka ya raisi.
Na hiyo rasimu ya Warioba aijagusia kuondoa madaraka ya raisi. Ni rasimu ya ujinga mtupu if you know anything about politics.
The whole thing is nonsense, Lissu anaumia bure.
Hata kifo cha Alute ni miscalculated moves za wanaharakati kumtaka aropoke aliyo ropoka kwenye interview aliyofanya kufanya watu wajihami.
Kaazi kweli kweli
Punguza upotoshaji. Yule Mzee mgonjwa. Acha stori za vijiweni. Waliouawa wanajulikana.Unajua watanzania wangapi wa umri wa Alute Lissu, wanaishi na old age medical conditions.
Na what it takes to exacerbate the condition to cause death?
Hili sio jukwaa la kuandika ujinga kama hujui pathophysiology ya magonjwa.
Unadhani watu ufariki tu kishamba kisa wanaishi na magonjwa.