ngosha wa mwanza
JF-Expert Member
- Feb 23, 2015
- 5,059
- 15,862
Lema ni mpiga dili, acheni kuremba mwandiko...Kama huna akili huwezi kumwelewa Lema
Lema anajaribu kutumia njia ambazo zitakinusuru chama katika mazingira magumu tuliyopo ila akili fupi haziwezi kuelewa
Hata kama ni mgonjwa, suala la ndugu yake kwa anayopitia ilipelekea pia hali yake ya kiafya kudhoofika zaidi...Punguza upotoshaji. Yule Mzee mgonjwa. Acha stori za vijiweni. Waliouawa wanajulikana.
Justification ! Sio kwa sababu ya Mange wala si kwa sababu ya other KEYPADS WARRIORS ?!Maandamano lazima yawe na justification. Oct 29 yalitokea kwa sababu ya justification.
Nje ya mada.Wewe ulitaka huo mjadala nikakuonya sasa hivi unaukimbia...dunderhead
Wewe ni CCM, tujuze tu ni wa tawi gani.Kama huna akili huwezi kumwelewa Lema
Lema anajaribu kutumia njia ambazo zitakinusuru chama katika mazingira magumu tuliyopo ila akili fupi haziwezi kuelewa
povu la nini?mbona sijawahi kukuona kwenye mijadala ya jukwaa la siasa kwa narrative na tone hii?Nachangia JF kwa zaidi ya 20 waulize mods ata kwa IP yangu watakwambia 98% ya michango ya ni siasa.
2% iliyobaki ni international forum, habari na business: Yaani mimi na malaya wa chitchat if only.
Uvumilivu ni kwamba JF lazima ili kudumu lazima liwe jukwaa la watanzania halisi.
Or else niulizie mimi na malaya wa chitchat wanaochangia humu kwenye siasa (god knows) how I hate them.
Ushawahi kuniona mimi chitchat au nina mazoea na Malaya yeyote au wachangiaji wa chitchat.
Hujui tu ni kiwango gani Sipendi mazoea na watu wajinga wajinga kwenye maisha yangu,
Actually ndio sababu ya kupunguza kuchangia JF ni sababu ya kujadiliana na mataahira kama wewe.
Sio mimi tu, ndio sababu ya msingi ya watu wengi kupoteaJF ni kukwepa ku-deal na sakapoko kama wewe.
Yaani mnakera hamjui tu
But then ndio watanzania ambao JF lazima iwafikie.
Hivi ni kama mtu unajisikia tu kutaja majina au basi tu?Shida ya viongozi wa CHADEMA ni uchanga wa uelewa wa siasa.
Na kusikiliza wanaharakati uchwara.
Miaka hiyo ya mjadala wa katiba (yours truly) nilikuwa nawaambia bandugu; muhimu kwenye katiba mpya ni kupunguza madaraka ya raisi.
Wanaharakati wa wakati huo wakiongozwa na Mzee Mwanakijiji, Nguruvi3 and other stupid vita yao ilikuwa serikali ya majimbo bara na serikali tatu za muungano.
Hakuna hata mmoja alikuwa anapigania kupunguza madaraka ya raisi.
Na hiyo rasimu ya Warioba aijagusia kuondoa madaraka ya raisi. Ni rasimu ya ujinga mtupu if you know anything about politics.
The whole thing is nonsense, Lissu anaumia bure.
Hata kifo cha Alute ni miscalculated moves za wanaharakati kumtaka aropoke aliyo ropoka kwenye interview aliyofanya kufanya watu wajihami.
Kaazi kweli kweli
Wadanganye wengine lkn Lema is doneKama huna akili huwezi kumwelewa Lema
Lema anajaribu kutumia njia ambazo zitakinusuru chama katika mazingira magumu tuliyopo ila akili fupi haziwezi kuelewa