Wenye mawazo mafupi nanwasio waza kesho wote wanaakili kama zako ndio maana mmekuwa vibaraka wa wao linyonya taifa hili.Una hakika hao tone tone wakichukua nchi mpaka waje wavimbiwe wakukumbuke wewe ni lini bora zimwi likujualo kuliko hayo mazimwi mapya hawajapewa nchi wameanza kutafunana wenyewe kwa wrnyewe!
Wapo hivyo..Ukitaka kujua simba na yanga zina mbumbuu wengi leo mchezaji akifuga ni mkali mara ajengewe sanamu , kesho akikosa goli,kahongwa mara kocha anamekosea kumpanga🚮
Mzee Kiranga inabidi hii comment yako waisome viongozi wote wa CHADEMA. Lema alipogusa ni pabaya mno.We can chew gum and walk.
Mbona Uingereza wana ushabiki wa mpira mpaka football hooliganism, na bado kwenye kuwekana sawa serikalini wanawekana sawa vizuri tu?
Lema alitakiwa kujua kujipenyeza kwenye kitu kinachopendwa na watu na kukitumia kwa faida ya ajenda yake. Si kutaka kubomoa ushabiki wa mpira ambao una mizizi mirefu kuanzia kabla hata ya uhuru.
Nyerere hakuwa mpenzi wa mpira, michezo pekee aliyocheza ni darts, bao na pool. Lakini alielewa umuhimu wa kutumia klabu za michezo kwenye harakati za TANU.
Na hapo ndipo CCM inapovishinda hivi vyama vya upinzani.
You are not supposed to alienate the people you are fighting for?
Tunisia kuna kijana mmoja baada ya kuchoshwa na serikali mambo ya kodi ajira hakuna aliamua kujichoma moto mbele ya jengo la serikali kuonyesha hasira na kuchoshwa na madhila..sasa wewe hasira zako unanimalizia mimi ambaye hunijui natumia id fake ni kwanini tusikutane msimbazi central tukamtoe Heche...Wenye mawazo mafupi nanwasio waza kesho wote wanaakili kama zako ndio maana mmekuwa vibaraka wa wao linyonya taifa hili.
Sera za nchi zikiwa nzuri hata bibi yako kule nanjilinji atanufaika nazo, sio kama sasa fisafi mmoja aliye jificha CCM na anakifadhili chama na chawa chawa za aina yako ,anahujumu billions of government fund kwa mikataba na miradi hewa halafu anafunikwa na kofia ya CCM na anakuwa hagusiki halafu huko nanjilinji huko bibi yako anaambiwa akanunue syringe na gloves hapo kituo cha afya hawana Hujiooni kwamba wewe ni kenge tu.
Mnaandamwa na roho uuwaji na umwagaji damu za wanao pingana na hiyo tabia ya watu kujificha kwenye chama huku wana liibia taifa na wewe na chawa wenzio mnageuzwa ndio wapigania chama kumbe bila kujua wenzenu wanalinda mali zao kwq mgongo wa chama kwa manufaa ya watoto wao na wajukuu zao sasa wewe mwenzangu wa mchamba wiba unakalia kujibu Oyeeeeeeee! Mitano tenaaaaaaaa! 🤣🤣🤣 kwa ka elfu 30,000/= na nauli ya basi iliyo lipwa. Muwe na future ya taifa hili kwa manufaa ya watoto na wajukuu zenu msije kuwa kama kina butiku na kina warioba ambao leo ndio wana ilalamikia serikali wakati na wao walipo kuwepo madarakani walitoa maneno ya kejeli kama yakoTunisia kuna kijana mmoja baada ya kuchoshwa na serikali mambo ya kodi ajira hakuna aliamua kujichoma moto mbele ya jengo la serikali kuonyesha hasira na kuchoshwa na madhila..sasa wewe hasira zako unanimalizia mimi ambaye hunijui natumia id fake ni kwanini tusikutane msimbazi central tukamtoe Heche...
Ni kweli kabisa mkuu. Haya unayosema ndiyo njia na yanawezekana kama dola haitatumika. Watatumia njia gani kupenyeza wakati hata kusogelea karibu hawaruhusiwi?Mkuu,
Kama hilo ni kweli, huoni kwamba hiyo ni challenge kwa Lema na CHADEMA kujiingiza katika hivi vilabu na wao wapenyeze ajenda zao, wawaondoe hao Magabacholi?
Yanga na Simba ni constituency kubwa sana hiyo. Kusema tu zinatumika na Magabacholi na kuzisusia ni sawa na kusema watu wa Dar wanatumika na Magabacholi hivyo hatutajihusisha nao.
Mwanasiasa anatakiwa ajue mbinu za kupigania ajenda yake iongeze ushawishi sehemu nyingi zaidi.
Mwanasiasa hatakiwi kuisusia constituency muhimu kama ya watu wanaopenda michezo.
Wewe ni mtu wa low life, sidhani kama una uwezo wa kuona hata kitu kilichopo mbele yako futi moja.Elimu hii unayotoa mkuu iwafikie vijana wa mihemko!
stupid / a neck with a pumpkin on top.Kabila yangu ni marufuku kuongea na mwanamke akiwa kwenye hedhi koma hedhi siku saba ukiwa twahara njoo tuongee..
Uyo M00 alikamatwa nanani mbona polisi walikana kumshikilia moo Simba!!!!Mo alishawai tekwa sio
Hata wewekamashabik
wa yanga ukisikia kiongozi wako kakamatwa na polisi anashikiliwa utafanya nini,
Lema anajitengenezea unnecessary antagonism.Mzee Kiranga inabidi hii comment yako waisome viongozi wote wa CHADEMA. Lema alipogusa ni pabaya mno.
Tatizo lako ni uoga tu ndio maana unahisi kama una akili na mjuaji bila kujua kilema chako cha uoga unaweza kinasababisha kukuletea hasira mimi siendeshwi kwa kufuata upepo wacha mali wale wachukue na wewe kachukue...Mnaandamwa na roho uuwaji na umwagaji damu za wanao pingana na hiyo tabia ya watu kujificha kwenye chama huku wana liibia taifa na wewe na chawa wenzio mnageuzwa ndio wapigania chama kumbe bila kujua wenzenu wanalinda mali zao kwq mgongo wa chama kwa manufaa ya watoto wao na wajukuu zao sasa wewe mwenzangu wa mchamba wiba unakalia kujibu Oyeeeeeeee! Mitano tenaaaaaaaa! 🤣🤣🤣 kwa ka elfu 30,000/= na nauli ya basi iliyo lipwa. Muwe na future ya taifa hili kwa manufaa ya watoto na wajukuu zenu msije kuwa kama kina butiku na kina warioba ambao leo ndio wana ilalamikia serikali wakati na wao walipo kuwepo madarakani walitoa maneno ya kejeli kama yako
Ni kuwa creative na imaginative tu.Ni kweli kabisa mkuu. Haya unayosema ndiyo njia na yanawezekana kama dola haitatumika. Watatumia njia gani kupenyeza wakati hata kusogelea karibu hawaruhusiwi?
Manji aliisha wahi kuLema akitaka kuhakikisha Simba na Yanga ni zaidi ya CHADEMA aombe polisi wamchukue Hersi au Mo dewji kama wataweza si kama viongozi wa CHADEMA wanachukuliwa kindezi mbele ya wafuasi wao..
Soma Pia: Lema: Simba na Yanga zinanikera, namuomba Mungu aziondoe mara moja
Wajaribu kuchukua kiongozi wa Simba au Yanga kama atatoka mtu...Chadema ina wapiga soga mitandaoni hawana watu wa kweli ni heri walivyojiondoa uchaguzi kura ilikuwa hakuna.
Manji wakati alipokuwa kiongozi mkuu na mfadhili wa Yanga,aliwai kupimwa mkojo na Makonda wakati hakiwa mkuu wa Mkoa na hakuna mwanachama au shabiki aliyejitokeza,mwisho wa siku Manji mpaka hakaama nchi.Usicheze na dola ndugu dola ikiamua huyo injinia wako ananyanyuliwa kama mwewe anavyonyakua kifaranga akiwa na Mama yake na hakuna chochote unachoweza fanya.Lema akitaka kuhakikisha Simba na Yanga ni zaidi ya CHADEMA aombe polisi wamchukue Hersi au Mo dewji kama wataweza si kama viongozi wa CHADEMA wanachukuliwa kindezi mbele ya wafuasi wao..
Soma Pia: Lema: Simba na Yanga zinanikera, namuomba Mungu aziondoe mara moja
Wajaribu kuchukua kiongozi wa Simba au Yanga kama atatoka mtu...Chadema ina wapiga soga mitandaoni hawana watu wa kweli ni heri walivyojiondoa uchaguzi kura ilikuwa hakuna.
Nashukuru kwa hilo ila Lema amechemka ukweli usemwe..Wewe ni mtu wa low life, sidhani kama una uwezo wa kuona hata kitu kilichopo mbele yako futi moja.
Hiyo siku alipoyasema aliyasemea chumbani...Ni kweli kabisa mkuu. Haya unayosema ndiyo njia na yanawezekana kama dola haitatumika. Watatumia njia gani kupenyeza wakati hata kusogelea karibu hawaruhusiwi?
Wakoloni walikuwa ni wastaarabu. Nakuhakikishia wakoloni wangekuwa jeuri kama hawa viongozi wetu basi wangekuwa na uwezo wa kututawala mpaka sasa. Lema kuji-organize? Hili ni rahisi kulisema kuliko kutenda, ila sisemi umekosea japo linahitaji uwezo na coordination ya hali ya juu. Kwa mfano njia moja ambayo huwa naifikiria ni kupenyeza sleeper cells ndani ya serikali, vyombo vya usalama, tume ya uchaguzi na chama tawala. Hii njia inahitaji usiri na utulivu wa hali ya juu sana na pia muda mrefu.Ni kuwa creative na 8maginative tu.
Msingi na mtaji mkubwa wa chama cha siasa ni support ya watu. Ukiwa na support ya watu na akili utapenya popote.
Kina Nyerere walibanwa na wakoloni wakaji organize mpaka nchi imepata uhuru.
Lema na CHADEMA kushindwa kuji organize ni kukubali kwamba ama hawana support ya watu, ama hawana ujanja wa kuitumia hiyo support ya watu waliyonayo.
Bottom line Lema hatakiwi kuzishambulia Simba na Yanga, anatakiwa kuwa na mkakati wa kujipenyeza Simba na Yanga.
Huyo ni mgeni mjini, Simba na Yanga zimeanzishwa 1935 & 1937 atalinganisha na Chadema ya juzi tu hapa.Lema akitaka kuhakikisha Simba na Yanga ni zaidi ya CHADEMA aombe polisi wamchukue Hersi au Mo dewji kama wataweza si kama viongozi wa CHADEMA wanachukuliwa kindezi mbele ya wafuasi wao..
Soma Pia: Lema: Simba na Yanga zinanikera, namuomba Mungu aziondoe mara moja
Wajaribu kuchukua kiongozi wa Simba au Yanga kama atatoka mtu...Chadema ina wapiga soga mitandaoni hawana watu wa kweli ni heri walivyojiondoa uchaguzi kura ilikuwa hakuna.
Kwanza wewe huna hadhi ya kujibizana na mimi. Ngoja nikutwange block.Hiyo siku alipoyasema aliyasemea chumbani...