Lema asema hakubali mtu kuuawa kwa kuwa ni shoga

Mbona unajichanganya unaposema Mungu ni roho , halafu unasema Yesu ni mungu.
Hivi uliwahi kuiona roho ?
MAJINI unayoswali nayo ni ROHO,

Kwani majini hayaonekani yakiamua kuonekana?

Anyway Mungu ni ROHO.

Mtu pia ni ROHO, anayo NAFSI na anaishi ndani ya MWILI.

Mungu ni MMOJA na YESU ndilo JINA lake.

Amen
 
MAJINI unayoswali nayo ni ROHO,

Kwani majini hayaonekani yakiamua kuonekana?

Anyway Mungu ni ROHO.

Mtu pia ni ROHO, anayo NAFSI na anaishi ndani ya MWILI.

Mungu ni MMOJA na YESU ndilo JINA lake.

Amen

Wapi Yesu alisema maneno hayo ?
Hiyo Roho uliiona wapi ?
 
Haya Majini uliyoandika hapa, uliyaona wapi?

Kuna mtu anakuandikia sometimes?
 
Haya Majini uliyoandika hapa, uliyaona wapi?

Kuna mtu anakuandikia sometimes?

Unakuwa husomi post ninazokuandikia
Otherwise usingalijibu hivi ulivyojibu

Kwanza kabisa yatupasa kuelewa nini maana ya neno jini,

Neno jini linatokana na neno la kiarabu Jinn (djinn au Jinnee).

Na lina maana ya kitu kisichoonekana au kilichofichika. (Mapepo).

Biblia inasema Mungu ni Spirit. Spirit haionekani.
Yesu kaonekana, hawezi kuwa spirit, Si Mungu hajakuwa Mungu wala hatokuwa Mungu.
 
Nimepata maono juu Yako GAVANA.

Nimeona Bahari imetapika samaki mkubwa, Mimi katika maono hayo niliona ni fursa kwangu, nikasogea kwenda kumchukua samaki aliyekuwa kwenye maji mafupi.

Nilipofika karibu, kumbe samaki yule hakuwa hai, Bali amekwisha kufa,Hivyo nikagairi kumchukia samaki huyo maana haikuwa riziki.

(Luka 5:10). Yesu anamwambia Petro, tangu sasa, utakuwa mvuvi wa watu.

So kulingana na maono hayo,

Hii ndiyo comment yangu ya mwisho kwako, sababu wewe Si Kondoo, Bali mbwa mwitu.
 

Ndiyo kwa maneno hayo, Yesu amekuwa spirit, haonekani , kwa hivyo umemfanya mungu?
 

Maneno ya Bwana Yesu yako wazi

Anakwambia Yeye si Mungu

Yohana 20:17

Yesu akamwambia, “Usinishike, kwa maana sijapaa kwenda kwa Baba. Lakini nenda kwa ndugu zangu ukawaambie,

‘Ninapaa kwenda kwa Baba yangu ambaye ni Baba yenu,

kwa Mungu wangu ambaye ni Mungu wenu.’ ”
 

 
Tunawezaje kumchangia mbunge huyu pesa kdg Kwa HOJA nzuri alitoa bungeni leo?

Jenister Msavantavangu; Kuna NG'O chini ya wizara ya JAMII na Maendeleo
mbeya zinatoa mafunzo Kwa watoto wetu shule za boarding Kwa mwamvuli wa kufundisha ujasiriamali KUMBE ndani ya mafunzo wanagawa vilainishi na kuwafunza USHOGA.

In other words, Siririikali ndiyo inayogawa vilainishi na kufundisha watoto USHOGA via ng'o hizo.

Je ni Kweli wazazi tumeruhusu watoto wafundishwe Elimu hizi za kipepo?

Kupambana na USHOGA ni siririkali kufuta usajili Kwa ng'o hizo Ili zisifundishe watoto Kwa lazima.

Kwa NJE ni SAMAKI, bt ndani yake ni JOKA lenye vichwa vitatu.

Walaaniwe wote wanaoshiriki uozo huu Kwa Uzao wetu ujao.

Amen
 
MAJINI unayoswali nayo ni ROHO,

Kwani majini hayaonekani yakiamua kuonekana?

Anyway Mungu ni ROHO.

Mtu pia ni ROHO, anayo NAFSI na anaishi ndani ya MWILI.

Mungu ni MMOJA na YESU ndilo JINA lake.

Amen
Majini hayapo
 
Ushahidi uko wapi
 
Aende akayaseme hayo kwa mzee Museveni, auone moto wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…