Lema asema hakubali mtu kuuawa kwa kuwa ni shoga

What is the meaning of Leviticus 20 15?

If a man has sexual intercourse with an animal, he must be put to death; you are also to kill the animal. NLT 'If a man has sex with an animal, he must be put to death, and the animal must be killed.
Though it was an old testament, but still its able to depict the things happening currently
 

Biblia inasema watu wanaofanya makosa mengi tu wauawe, wakati sheria hazisemi hivyo.

Leviticus 20:13.

“If a man has sexual relations with a man as one does with a woman, both of them have done what is detestable. They are to be put to death; their blood will be on their own heads.”

Sasa hapo anakubali Biblia au sheria?
 
Nadhan anatembea na Sheria
 
exactlly!!
 
Unamshangaa Lema lakini hauishangai serikali kutotunga Sheria ya adhabu Kwa wanaojihusisha na ushoga, bila kutunga Sheria maana yake yameruhusiwa yafanyike tu
Una uhakika hakuna sheria inayokataza kuingiliana kinyume na maumbile?
 
Mungu mwenyewe si awaue? Kwani hawaoni? Tuue halafu mwisho wa siku akatuchome moto.
Halafu hilo bandiko walikuwa wanaambiwa walawi sio sie wasukuma
 
Mungu mwenyewe si awaue? Kwani hawaoni? Tuue halafu mwisho wa siku akatuchome moto.
Halafu hilo bandiko walikuwa wanaambiwa walawi sio sie wasukuma
Kwani Mungu ndivyo alivyokuambia??? Andiko lililesa hili ni la walawi tu ??
Wahindu huruhusu mjomba kuoa mpwa wake. Ndugu wa mama anaweza kuoa binti yake. Sheria ya Musa amani iwe juu yake inakataza jambo hili. Uislamu pia unakataza.

Agano jipya hata halishughulikii suala hilo, kwani halishughulikii 95% ya masuala yoyote ya kijamii huko nje! Si chochote ila hadithi na simulizi ambazo hata zinapingana kuhusu Yesu, kusulubishwa kwake na kufufuka kwake.

Swali langu hapa ni:

Iwapo Mhindu mpagani anakubali ukristo, basi je, bado anaweza kuoa mpwa wake (binti ya dada yake), kwani Agano Jipya halikatazi jambo hilo?
 
Mhindu akiukubali ukristo maana yake ataachana na taratibu zake za zamani atafata taratibu za kikristo.
 
Mhindu akiukubali ukristo maana yake ataachana na taratibu zake za zamani atafata taratibu za kikristo.

Kwani tunaongelea taratibu au sheria katika biblia ??
 
Kuuwa watu nayo ni laana sijui kama kuna imani inayo ruhusu watu kuuana
@ Demi

Wakristo lazima wafuate sheria za Agano la Kale ambazo hazijabadilishwa au kubadilishwa na mpya zaidi katika Agano Jipya.

Vinginevyo, ikiwa tungefuata Agano Jipya pekee, basi tungekuwa hatuna sheria za maisha au maelekezo ya kufuata.

Hii ina maana kama nilivyotaja hapo juu, mtoto wa kiume anaweza kuoa mke wa zamani wa baba yake, au kaka anaweza kuoa dada yake, au mjomba anaweza kuoa mpwa wake, nk... kwa vile Agano Jipya halijawahi kuzungumzia masuala haya.
 
Kwani tunaongelea taratibu au sheria katika biblia ??
Ndo hizo sheria atafata za kikristu maana ameamua kuhamia huko . Hatafata tena mila maana ukristu hauna mila. Na mila zotr potofu zinapingwa.
 
Ndo hapo biblia inapojichanya na kunichanganya mimi zaidi sijawahi kuielewa. Ni mambo mengi tu inajicontradict yenyewe.
Wanayoielewa zaidi watasema. Mimi upeo wangu juu ya biblia umeishia hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…